Kwa nini mkuu P?Too good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Too good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Aiseee hii ni comment ya hovyo sana, nimekudharau sanaToo good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Umenichekesha sana mkuu lakini umewakilisha mawazo yangu, huyu jamaa muda mwingine anaongeaga vitu havieleweki kama vile kapagawa...Mkuu mbona unaongea kama dereva hohe hahe au mtu ambaye hajaenda shule kabisa.
Kwahiyo Mchakato anaosimamia museveni kumtangaza J.K.N kuwa mwenye kheri unahusiana vipi na uhalali au ukweli wa hiyo taarifa!
yaani sijui umeingiliwa na lidubwasha gani unaongea mavitu hata hayaeleweki kabisa mkuu.
Ng'wana Mayalla Gawiza!!!Too good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Tusiiamini kwa sababu zipi za msingi Pascal MayallaToo good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Nikw3likabisa tusiiamini hii video mtu kama wàmemruhusu kuwa raisi miaka 32 ujue anakùbalika. Naomba nasi tumpe nchi mtukufu raisi Magufuļi atutawale.kama Mseveni na Tanzania iwe nchi ya maziwa ña asali kama Uganda ilìvyo sasa wänavyofaidiWajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, ndipo unapata jibu la too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P
Asante Prince Kunta, hata mimi nilishauri hapa Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForumsNikw3likabisa tusiiamini hii video mtu kama wàmemruhusu kuwa raisi miaka 32 ujue anakùbalika. Naomba nasi tumpe nchi mtukufu raisi Magufuļi atutawale.kama Mseveni na Tanzania iwe nchi ya maziwa ña asali kama Uganda ilìvyo sasa wänavyofaidi
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
sasa pasikali mi natumia freebasics..si bora ungeorodhesha tu hapa kwa maandishi mali za mpiganaji wa msituniAsante Prince Kunta, hata mimi nilishauri hapa Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Mbona kwenye list hujamweka magufuli??Wajameni, this is just too good to be true!.