Museveni's List of Properties and Abnormal Wealth Links

Mkuu mbona unaongea kama dereva hohe hahe au mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwahiyo Mchakato anaosimamia museveni kumtangaza J.K.N kuwa mwenye kheri unahusiana vipi na uhalali au ukweli wa hiyo taarifa!

yaani sijui umeingiliwa na lidubwasha gani unaongea mavitu hata hayaeleweki kabisa mkuu.
Njaa haijawahi kuwa na baunsa mkuu
 
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
ARE YOU SERIOUS OR JUST JOKING, ati who are your role models kagame, museveni and mugambe, you have broken my ribs with laughter kaka,it was a nice joke anyway, nice weekend sir
 
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
Kaka Pascal, naheshimu mawazo yako. Lakini Hivi kweli kwa hilo unaloliita jicho na sikio la tatu unaamini kweli Mugabe na Museveni ni ma role modal wa Demokrasia? Au una maanisha nisichotaka kukiamini?
 
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
The Beutiful Ones are Not Yet Born in Africa.
 
Paskali, sijui kuhusu Kagame sababu bado anaendelee kuibadirisha Rwanda. Lakini kwa Mugabe na Museveni naona kesi imekwisha na hukumu tayari. Mugabe kashindwa kuwa mwenye hekima na matokeo yake kaicha nchi mbaya kuliko alivyoichukua kutoka kwa Wakoloni (tunaweza kubishana kuhusu mkakati wake wa kurudisha Ardhi mikononi mwa wazawa na mbinu alizotumia). Hakuna ubishi kuwa tamaa ya Uongozi pia na maslahi yatokanayo na Uongozi vimemuharibu aliyewahi kuwa mwanamapinzuzi wa kutegemewa sana. Yoweri Kaguta Museveni alipopata madaraka Uganda alikuja UDSM pale Nkrumah hall kuongea na wanachuo. Nilimsikia akiongea Museveni nakumbuka kumwambia jamaa yangu kuwa huyu atakuja kuwa Kiongozi mzuri sana. Yoweri Museveni is a brilliant man, but believe me something went wrong. Aliandika kitabu chake cha What is Africa's Problem, akijaribu kurudi nyuma na kujiuuliza matatizo yetu yako wapi kiasi hatuonekani kufanikiwa. Alijaribu kushawishi kuwa yeye atajifunza kutokana na makossa yaliyofanywa na viongozi wenzake na kuwa mabadiriko yatakayokuja Uganda yatakuwa ya kimsingi haswa. Hata Baba wa Taifa alikuwa ameongelea si mara moja kuhusu umakini wa Museveni. Lakini Uganda leo badala ya kuwa nchi ambayo ingekuwa inapiga hatua kimaendeleo imekuwa nchi yenye matatizo ya machafuko na manung;uniko ya kisiasa na uongozi ikiwa bado haijakaa sawa kabisa kiuchumi. Sijui kama kuna lolote Zaidi ya utulivu na kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe, Museveni alilolifanya Uganda. Unaweza kupuuzia hii video ambayo sidhani kama ina ukweli mwingi, lakini Museveni anazo kashfa za kiwango Fulani za kuwa corrupt na nepotism. Kuna kipindi aliwahi kuhalalisha mkewe kwenda kujifungua Ujerumani akisema hawaamini madaktari wa Uganda. Kaifanya serikali ya Uganda ni kitengo cha familia yake akiwemo mke na watoto kwenye nafasi za uongozi. Huyo Kakake alietajwa hapo kwenye hiyo video anakashfa za matumizi mabaya ya Uongozi tangu miaka ya 80 na 90 na Museveni ameshawahi kumuongelea kuhusu ubadhrifu wake. Sasa mke wa Kaisari sio tu hatakiwa kutokuwa mwaminifu kwa Mumewe lakini pia hatakiwa hata kuhusishwa na kashfa yo yote ile, hicho ndiocho kiwango cha usafi wa mke wa Kaisari.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hii kukaa sana madarakani sio jambo zuri na ushahidi uliotuzunguka unadhibitisha hayo. Gadafi alikuwa kiongozi wa mfano sana, lakini ilifika wakati Libya ilianza kuwa mali ya familia ya Muamar Gadafi, wanafamilia ya Gadafi wakaanza kuwa na nguvu na kuonekana wana utajili usioelezeka umepatikana vipi Zaidi ya kuwa baba yako alikuwa Mkuu wa nchi. Madaraka ya muda mrefu hutokea kuwaribu hata wale wenye nafsi na nia njema.
 
Mkuu Dunyua, kwanza asante kwa objectivity yako katika mchango huu na in-depth analysis. Pili nakubaliana na wewe kabisa ila kuna ukweli wa aina mbili, ukweli wa "is" na ukweli wa "ought to be". Ukweli wa is, ni.ukweli uliopo, na ukweli wa ought to be ni ukweli unaopaswa kuwa. Hivyo
huu ukweli wewe uliouweka hapa ni ukweli wa ought to be, ule unaopaswa kuwa. Mimi ni realist, na kwa sababu ni msoma trends mzuri, nakuhakikishia, Magufuli ni kama Museveni, Mugabe na Kagame, kubali, kataa!. Hivyo ushauri wangu huu,
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
ndio reality iliyopo 2020 na 2025!.

Wengi wamemfahamu Magufuli baada ya kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM, lakini angalia sisi wasoma trend, tulijua lini na tulisema nini!
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Ukipata muda unaweza kusoma baadhi ya trends nilizoziona, ila inakubidi unisome huku umetulia haswa, maana maandiko yangu, wengi humu ama hutoka kapa, ama huishia chaka!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

P
 
HAKUNA KAKA, pls i think in africa we need deliverance, who came some people amass illegal and ill goten wealth as if they will carry it to the next world, i have no problem with one getting rich amazon boss jeff bezos , worlds richest fellow at a massive 118b us dollars worked for each and every one of his dollar, paid all taxes, but this aafrica dictators, why couldnt they learn from mobuto seseseko of congo, and the likes of bukasa central africa,
 
Ulipomtaja Mobutu Ssese Sekou Kuku Ngbendu Wa Za Banga of Congo, kuna kitu nimekumbuka, mimi mwenzenu
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums
P.
 
Nimekumbushwa umbeya na fitina za wabongo enzi za utwala wa Kikwete. Hotel za 5* zote za Mwanza na Dar, vituo vya mafuta, kampuni za usafirishaji, Maduka ya Dar, tuliaminishwa ni ya Ridhiwani Kikwete😂😂😂
Leo Mseveni anamilikishwa hadi Tasisi za Umma Duuh!!
 
Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
Yani mtu kusimamia utakatitifu wa mtu mwingine na yeye anakuwa mtakatifu....hio logic yako aisee
 
Wabongo wako bize jukwaa la Ug kujadili ya uganda, ilhali waganda wenyewe wala hawapo ktk jukwaa lao na hawana mpango. Yote haya ni ktk kujifariji.
 
Yani mtu kusimamia utakatitifu wa mtu mwingine na yeye anakuwa mtakatifu....hio logic yako aisee
Yes hii ndio kanuni ya utakatifu, ndio maana hata Ikulu yetu ni mahali patakatifu, hivyo aliyepo ikulu yetu anapaswa kuwa ni mtakatifu, na ndio maaa sisi wengine tunamuita mtukufu rais!.

Ili kupata uhalali wa kushughulikia utakatifu, kwanza lazima wewe mwenyewe uwe mtakatifu!, hivyo kufuatia Museveni kusimamia mchakato wa utakatifu wa Nyerere, sisi kwetu Museveni anapaswa kuwa mtakatifu, hata kama in reality kule kwao huyu ni shetani, lakini kwetu sisi huyu ni mtakatifu, kwa jinsi ile ile wakati sisi Watanzania kuna watu wanalia na Magufuli, watu wanapigwa risasi 38 mchana kweupe!, miili ya watu inaopolewa kwenye viroba!, watu wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, kina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo!, vifo vya kikatili vya ajabu kama kifo cha kamanda Mawazo!, etc, etc, lakini kuna wenzetu wanatulilia tuwaazime Magufuli wetu awanyooshe hata kwa mwaka mmoja tuu utawatosha!.

P.
 
Back
Top Bottom