Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Wanaharakati nchini Uganda wamesha mkusanya saini milioni mbili ikiwa ni matakwa ya mahakama ya ICC ili iweze kupokea mashitaka husika.
Wanadai kuwa Museveni amehusika na uhalifu wa mauaji ya binadamu wengi nchini humo ikiwepo unyanyasaji kwa wanao
mpinga.
Source: ITV
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadai kuwa Museveni amehusika na uhalifu wa mauaji ya binadamu wengi nchini humo ikiwepo unyanyasaji kwa wanao
mpinga.
Source: ITV
Sent using Jamii Forums mobile app