Museveni na Kagame, heko!

Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
 
Uwezo wako wa kufikr na utafiti umeishia hapo, umesikia huko hakuna vifo eti, au unataka kila kitu uambie ukweli kuwa CORONA imeua watu kadhaa??

wewe kula tu uendelee na maisha yako mambo ya kuongoza nchi yana mambo mengi!!!
 
Kusali tunasali kila siku bila kupangiana simu ngapi? Ukiwa kiongozi unapaswa kuzama kisayansi zaidi unaweka mbele utaalamu sia sala! Kama nihivyo tungesali basis ukimwi uishe,ama tusali uchumi ukuwe!! Hii vita ya korona tuipambanie kitaalamu tuchukuwe hatua kubwa lakini bila kupaniki lasivyo tutaja juta.
- ibada zisimame tusalie nyumbani
- mabaa gauze tunywee nyumbani
- vyakula isisitizwe take away tusikaekae hotelini
- vifaa tiba viongezwe elimu pia
- misibani waende wachache sherehe ziahirishwe
- tupime watu wengi iwezekanavyo na idadi itajwe
- solo la kariakoo na mengine yenye msongamano yadhibitiwe biashara ifanyike kwa deliveries zaidi.
Tujipange maisha ya kila RAIA ni muhimu kwake na kwa taifa kiujumla! Let's get serious sio mpaka wafe wengi ndipo tushtuke... Ile kinga nibora kuliko tiba ni hakika sio kajimsemo!!!
Nimeangalia soko la kariakoo na nikaangalia aina ya wateja na ushauri ulio utoa...no comment
 
Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.
Hiv we jamaa mtanzania kweli?maana unaakili sana! You think big.
 
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Ha ha ha wanakufa kwa njaa.
 
Back
Top Bottom