wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,575
Usilazimishe taratibu za uteuzi kwa nchi wa magharibi ndio ziwe standard kwetu afrika, grow up! Toa hiyo slavery mentality, umeshakuwa sasa tumia akili yako.
kuna mahali katiba ya Ug imemkataza na yeye kaovunja kwa kufanya hivyo?
Povu la nini? Kisa nimekwambia usikariri kuwa vya ulaya sio standard afrika? Poor you!Grow up?WTF
Ila kwa sababu we ni CCM najua kwako nakuharibia ulaji,nenda kachukue posho yako ya simu acha watu wajadili mada ya maana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Povu la nini? Kisa nimekwambia usikariri kuwa vya ulaya sio standard afrika? Poor you!
GROW UP! namaanisha grow up mentally, i know physically you are way too old.
La, watu hawapandi vyeo kwa elimu tu.Watu hawapandi vyeo kwa operations tu. Ukiwa unabakia kuzingatia hilo basi we bakia hapo lakini kikubwa kinachozingatiwa pia ni ufaulu wa masomo ya kijeshi. Faqat
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
OngezeaTrainings+Succesfully operations=Competent Soldier
Ikimiss element 1 katika hio equation,then ni buureeeeeee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaajiriwa jeshini 1999 mwaka 2001 akawa major sasa pima mwenyewe1994 kachelewa sana kupata hicho cheo ukizingatia ana mafunzo makubwa pia elimu anayo
Shida hiko wapi vigezo anavyoKaajiriwa jeshini 1999 mwaka 2001 akawa major sasa pima mwenyewe
Mkuu, kama ulikuwa hujui nilimjibu huyo jamaa hivyo ili nione uelewa wake lakini hajui kitu. Ukweli ni kwamba kufanikisha operesheni nyingi sio kupanda cheo, nimemuuliza nini kuhusu elimu za kijeshi hajajibu. Ila licha ya yote ngoja nikwambie jinsi ilivyo.
Wakati hapa kwetu kuna watu wameajiriwa 2010 na 2011 tayari Meja.Kaajiriwa jeshini 1999 mwaka 2001 akawa major sasa pima mwenyewe
Kwahiyo unataka kusema alikuwa hahudhurii kozi za Uongozi na unadhimu? Acha zako wewe!Nadhani Mkuu Mwakibolwa anaweza kutueleza kwa undani alifikaje pale.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo unataka kusema alikuwa hahudhurii kozi za Uongozi na unadhimu? Acha zako wewe!
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Mkuu ukijua wewe tu inatosha. Nilichotaka kukwambia ni kuwa kupanda vyeo hakutokani na kufanikisha mission bali ni kuhudhuria kozi mbali mbali za uongozi wa juu, kufaulu mitihani, kutokana na hitajio lililopo na vile vile akiona rais inafaa.Nani alikua hahudhurii?
Unajua mwakibolwa amestaafu akiwa na cheo gani na amefanikisha mission ngapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na kweli Uganda kuna maajabuHuwezi kua Luteni general kwa utumishi wa miaka 12 popote duniani isipokua Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo we bado mweupe sana, huyo mwakibolwa mwenyewe umekuja kumjua hapa juzi tu baada ya kwenda Congo chini ya monusco, tuheshimianeNani alikua hahudhurii?
Unajua mwakibolwa amestaafu akiwa na cheo gani na amefanikisha mission ngapi?
Ukijua hayo,ndipo utaelewa hio CV ya mtoto wa M7 haimtoshi kupata cheo hicho.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lieutenant General Muhoozi Kainerugaba, the Senior Presidential Adviser for Special Operations (Uganda) Hiyo ndio tittle yake, si kweli ukisema hajaongoza operation yoyote.Muhooozi hajaongoza operation yotoye hadi apandishwe cheo kwa kasi hivyo?
Lieutenant General Muhoozi Kainerugaba, the Senior Presidential Adviser for Special Operations (Uganda) Hiyo ndio tittle yake, si kweli ukisema hajaongoza operation yoyote.
Full general(5 star general)Baada ya lt Jenerali kinafuatia cheo gani?