Mtoto wa Museveni atangaza kugombea Urais 2026

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
1678970564084.png
Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni Jenerali wa jeshi la Uganda, kupitia ukurasa wake wa #Twitter amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa nchi hiyo baada kudai kuwa anajua watu wengi walimtarajia kutangaza nia ya kugombea ifikapo 2026

Imeelezwa iwapo Muhoozi atagombea , atachuana na Rais Museveni aliyetangazwa kuwania kiti hicho na Chama chake cha Resistance Movement (#NRM) katika uchaguzi huo ambao utakuwa muhula wake wa 7 madarakani

Mnamo Januari, 2023, Muhoozi alidai kuwa ana uhakika wa kumrithi baba yake, Yoweri Museveni ambaye ametawala nchi hiyo tokea mwaka 1986
..........

Muhoozi, a controversial army general who is often sparking mixed reactions with his online posts, made the announcement in a tweet on Wednesday, saying people have been wanting him to make the announcement.

Ugandan President Yoweri Museveni’s son, General Muhoozi Kainerugaba, now says he will contest for the presidency in 2026.

“You have wanted me to say it forever! Okay, in the name of Jesus Christ my God, in the name of all the young people of Uganda and the world and in the name of our great revolution, I will stand for the Presidency in 2026!” he tweeted.

In January, Muhoozi said in yet another of his controversial Twitter posts that he was certain to succeed his father, who has ruled Kenya’s western neighbour since 1986.

The General noted that persons trying to prevent his ascension to Uganda's top seat were fighting a losing battle.

"I will be President of this country after my father. Those fighting the project are lost. MK Movement will win!" he said.

If Muhoozi runs for the top seat in 2026, he might be on the ballot with his father. Museveni’s National Resistance Movement (NRM) party last year announced that he will be its flag bearer in the polls, which will be his seventh term in office.

Source: Citizen Digital
 
Ukiangazia Siasa za Uganda Kiroho na kisiasa. Siasa za Uganda Ni kimapinduzi.

Mpaka Sasa Museveni hataki kuachia Ngazi inavyo onekana hivyo Ni mwanya kwa Ile Roho ya kimapinduzi kuingia ili intense kazi na Sasa Kama hayatafanyika Maombi basi atapinduliwa na mwanaye Mhoozi.

Sasa Angalia Katika Biblia Kuna kipindi Daudi alitakiwa kupinduliwa na mwanaye Absalom hivyo Kama hiyo roho ya mapinduzi haijawahi kuvunjwa hapo Uganda basi soon Inaenda kutenda kazi.

Haya ni maono ya Kinabii! PINGA, kataa, tukana. Tusubiri tu .
 
Ukiangazia Siasa za Uganda Kiroho na kisiasa.. Siasa za Uganda Ni kimapinduzi. Mpaka Sasa m7 Hataki kuachia Ngazi inavyo onekana hivyo Ni mwanya kwa Ile Roho ya kimapinduzi kuingia ili intense kazi na Sasa Kama Hayatafanyika Maombi Basi Atapinduliwa na mwanaye Mhoozi.
Sasa Angalia Katika Biblia Kuna kipindi Daudi alitakiwa kupinduliwa na mwanaye Absalom hivyo Kama ' hiyo Roho ya mapinduzi haijawahi kuvunjwa hapo Uganda Basi soon Inaenda kutenda kazi.
Haya Ni maono ya Kinabii! PINGA ,kataa, Tukana Tusubiri tu .
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
 
Hilo hata mimi huwa linanijia mara kwa mara ila itakuwa ni danganya toto kwa umma wa waganda halafu mzee atahamia nchi jirani kula matunda yake miaka michache kabla ya kurejea nchini.
 
Itakuwa janja janja ya kudanganya umma; ila kifamilia walishaweka mipango sawa
 
Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni Jenerali wa jeshi la Uganda, kupitia ukurasa wake wa #Twitter amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa nchi hiyo baada kudai kuwa anajua watu wengi walimtarajia kutangaza nia ya kugombea ifikapo 2026

Imeelezwa iwapo Muhoozi atagombea , atachuana na Rais Museveni aliyetangazwa kuwania kiti hicho na Chama chake cha Resistance Movement (#NRM) katika uchaguzi huo ambao utakuwa muhula wake wa 7 madarakani

Mnamo Januari, 2023, Muhoozi alidai kuwa ana uhakika wa kumrithi baba yake, Yoweri Museveni ambaye ametawala nchi hiyo tokea mwaka 1986
..........

Muhoozi, a controversial army general who is often sparking mixed reactions with his online posts, made the announcement in a tweet on Wednesday, saying people have been wanting him to make the announcement.

Ugandan President Yoweri Museveni’s son, General Muhoozi Kainerugaba, now says he will contest for the presidency in 2026.

Muhoozi, a controversial army general who is often sparking mixed reactions with his online posts, made the announcement in a tweet on Wednesday, saying people have been wanting him to make the announcement.

“You have wanted me to say it forever! Okay, in the name of Jesus Christ my God, in the name of all the young people of Uganda and the world and in the name of our great revolution, I will stand for the Presidency in 2026!” he tweeted.

In January, Muhoozi said in yet another of his controversial Twitter posts that he was certain to succeed his father, who has ruled Kenya’s western neighbour since 1986.

The General noted that persons trying to prevent his ascension to Uganda's top seat were fighting a losing battle.

"I will be President of this country after my father. Those fighting the project are lost. MK Movement will win!" he said.

If Muhoozi runs for the top seat in 2026, he might be on the ballot with his father. Museveni’s National Resistance Movement (NRM) party last year announced that he will be its flag bearer in the polls, which will be his seventh term in office.

Source: Citizen Digital
Nafkiri Kenya watazipokea habari hizi kwa mshituko maana jamaa ndio ashadai Nairobi ni sehemu ya uganda
 
Ukiangazia Siasa za Uganda Kiroho na kisiasa. Siasa za Uganda Ni kimapinduzi.

Mpaka Sasa Museveni hataki kuachia Ngazi inavyo onekana hivyo Ni mwanya kwa Ile Roho ya kimapinduzi kuingia ili intense kazi na Sasa Kama hayatafanyika Maombi basi atapinduliwa na mwanaye Mhoozi.

Sasa Angalia Katika Biblia Kuna kipindi Daudi alitakiwa kupinduliwa na mwanaye Absalom hivyo Kama hiyo roho ya mapinduzi haijawahi kuvunjwa hapo Uganda basi soon Inaenda kutenda kazi.

Haya ni maono ya Kinabii! PINGA, kataa, tukana. Tusubiri tu .
Bob Jr mpya
 
Back
Top Bottom