Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Luteni Jenerali

Usilazimishe taratibu za uteuzi kwa nchi wa magharibi ndio ziwe standard kwetu afrika, grow up! Toa hiyo slavery mentality, umeshakuwa sasa tumia akili yako.
kuna mahali katiba ya Ug imemkataza na yeye kaovunja kwa kufanya hivyo?

Grow up?WTF

Ila kwa sababu we ni CCM najua kwako nakuharibia ulaji,nenda kachukue posho yako ya simu acha watu wajadili mada ya maana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Grow up?WTF

Ila kwa sababu we ni CCM najua kwako nakuharibia ulaji,nenda kachukue posho yako ya simu acha watu wajadili mada ya maana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Povu la nini? Kisa nimekwambia usikariri kuwa vya ulaya sio standard afrika? Poor you!
GROW UP! namaanisha grow up mentally, i know physically you are way too old.
 
Povu la nini? Kisa nimekwambia usikariri kuwa vya ulaya sio standard afrika? Poor you!
GROW UP! namaanisha grow up mentally, i know physically you are way too old.

Povu ni nini?Kwa mipasho uko vzr,kudos

Dada kachukue posho yako,acha ajadiliwe mkoloni mweusi mwenzenu 'M7&his family.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu hawapandi vyeo kwa operations tu. Ukiwa unabakia kuzingatia hilo basi we bakia hapo lakini kikubwa kinachozingatiwa pia ni ufaulu wa masomo ya kijeshi. Faqat

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
La, watu hawapandi vyeo kwa elimu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Uganda Yoweri Museven jana amempandisha mtoto wake Keinarugaba kuwa luteni general huku kukiwa na habari kuwa huenda bwana mkubwa hatogombea mhula ujao.watu wanalitazama tukio hili kama la kujiwekea ulinzi mara atakapo kabidhi mali za ikulu ya waganda.
Asanteni sana viongozi wa Afrika!View attachment 1018949

In God we Trust
 
La, watu hawapandi vyeo kwa elimu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kama ulikuwa hujui nilimjibu huyo jamaa hivyo ili nione uelewa wake lakini hajui kitu. Ukweli ni kwamba kufanikisha operesheni nyingi sio kupanda cheo, nimemuuliza nini kuhusu elimu za kijeshi hajajibu. Ila licha ya yote ngoja nikwambie jinsi ilivyo.
Kupanda vyeo kijeshi inategemea na
1. Kufaulu kwa mitihani
2. Kozi za uongozi wa juu alizohudhuria
3. Elimu ya kijeshi
4. Hitajio linalokuwepo
5. Maamuzi ya rais mwenyewe

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Kaajiriwa jeshini 1999 mwaka 2001 akawa major sasa pima mwenyewe
Wakati hapa kwetu kuna watu wameajiriwa 2010 na 2011 tayari Meja.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Nadhani Mkuu Mwakibolwa anaweza kutueleza kwa undani alifikaje pale.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo unataka kusema alikuwa hahudhurii kozi za Uongozi na unadhimu? Acha zako wewe!

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Kwahiyo unataka kusema alikuwa hahudhurii kozi za Uongozi na unadhimu? Acha zako wewe!

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°

Nani alikua hahudhurii?

Unajua mwakibolwa amestaafu akiwa na cheo gani na amefanikisha mission ngapi?

Ukijua hayo,ndipo utaelewa hio CV ya mtoto wa M7 haimtoshi kupata cheo hicho.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nani alikua hahudhurii?

Unajua mwakibolwa amestaafu akiwa na cheo gani na amefanikisha mission ngapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ukijua wewe tu inatosha. Nilichotaka kukwambia ni kuwa kupanda vyeo hakutokani na kufanikisha mission bali ni kuhudhuria kozi mbali mbali za uongozi wa juu, kufaulu mitihani, kutokana na hitajio lililopo na vile vile akiona rais inafaa.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Nani alikua hahudhurii?

Unajua mwakibolwa amestaafu akiwa na cheo gani na amefanikisha mission ngapi?

Ukijua hayo,ndipo utaelewa hio CV ya mtoto wa M7 haimtoshi kupata cheo hicho.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dogo we bado mweupe sana, huyo mwakibolwa mwenyewe umekuja kumjua hapa juzi tu baada ya kwenda Congo chini ya monusco, tuheshimiane

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Muhooozi hajaongoza operation yotoye hadi apandishwe cheo kwa kasi hivyo?
Lieutenant General Muhoozi Kainerugaba, the Senior Presidential Adviser for Special Operations (Uganda) Hiyo ndio tittle yake, si kweli ukisema hajaongoza operation yoyote.
 
Lieutenant General Muhoozi Kainerugaba, the Senior Presidential Adviser for Special Operations (Uganda) Hiyo ndio tittle yake, si kweli ukisema hajaongoza operation yoyote.

Zaidi ya operation ya kumkamata Bob wine tutajie operation nyingine alizofanya?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom