Museveni ampandisha cheo mwanae kuwa Luteni Jenerali

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,029
Points
2,000
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,029 2,000
wananchi Uganda

Takriban maafisa 2,000 wa kijeshi wamepandishwa ngazi katika mabadiliko yaliofanywa Ijumaa Februari 8, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni

Miongoni mwa wale waliopandishwa ngazi ni pamoja na mwanawe Museveni Muhoozi Kainerugaba.

Muhoozi aliteuliwa kuwa Luteni Jenerali pamoja na majenerali wengine 10.

Ingawa Muhoozi yuko na mafunzo ya juu sana ya kijeshi, kupandishwa kwake kwa madaraka kwa muda mfupi umezua hisia mseto miongoni mwa wananchi Uganda.

Wakosoaji wa rais huyo mwenye umri wa miaka 87 wanaamini kuwa Muhoozi anaandaliwa kuchukua hatamu za uongozi kutoka kwa babake punde atakapostaafu.

Muhoozi alianza mafunzo yake ya kijeshi mwaka wa 1994 punde tu alipomaliza masomo ya sekondari, alijiunga na jeshi mwaka wa 1999 na akaandikwa kazi katika jeshi la Royal Military Academy Sandhurst kule Uingereza.
 
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
1,924
Points
2,000
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
1,924 2,000
Yapo menhi mahumu hapa kwetu waganda waachieni mambo yao wale huwa siwaelewi kama nisivyojielewa Mm kwenye maswala ya siasa zetu. Honherenk wakenya
Basi Kutakuwa na tatizo mahali maana kiukweli upandaji katika hizo ranks unabase katika operations alizofanya mpandaji huyo.
 

Forum statistics

Threads 1,316,462
Members 505,652
Posts 31,891,206
Top