The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Huyu Mzee kwake kunawaka moto sijui haoni
Ndio kauli nyepesi za viongozi wetu kama hizo hazina tofauti kama mwenzake aliyetoa kauli kuhusiana na mauaji ya ARUSHAhata mie nimemsikia; ila aliniacha hoi aliposema "polisi walitumia nguvu kupita kiasi" kumuadhibu mpinzani wake Dr. Besigye
Mzee wa Ban kweli ndg yangu unanisikitisha wewe unathamini mawazo ya Musebeni. Huyo kwanza Urais ameona ni ufalme,mpinzani wake mkuu Col Kiiza Besigye yuko hoi hospitali kakungutwa na watu wake. Kipindi hiki anamwandaa mtoto wake Mhozi amempa Ubrugedia Generali ili akitoka yeye atawale. Sasa huyo anamawazo kweli ya kusaidia nchi kama Tanzania????????Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:
"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.
Wana-CDM wenzangu munasemaje?
Source: BBC Nairobi
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:
"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.
Wana-CDM wenzangu munasemaje?
Source: BBC Nairobi
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:
"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.
Wana-CDM wenzangu munasemaje?
Source: BBC Nairobi
Asisitiza wanasiasa wazungumzie hoja za msingi kama maendeleo na umeme. Namnukuu:
"...Unaweza kuwa na Baraza lenye waziri hata mmoja tu, lakini kama hakuna umeme ni kazi bura....".Mwisho wa kunukuu.
Wana-CDM wenzangu munasemaje?
Source: BBC Nairobi
Ndg Yangu FJM Watanzania wote tuungane kuhakikisha hatukubali political integrations ya EA States hadi hapo watawala ma dictator mfano wa Musebeni wameondoka, better late than never. Ni kweli lazima kuwe na ukomo wa Urais ktk EAC kwanza. Vinginevyo utakuwa utawala wa kifalme(Obukama) katika EA States.Museven is completely out of order. Majigambo anayatoa wapi hasa wakati hata kumkamata Joseph Kony kashindwa?. Halafu kashikilia hoja ya kuwa na Political Intergration East Africa. Nadhani Watanzania tuikatae hii hoja ya kuungana (political intergration) mpaka hapo kila nchi mwanachama itakapoweka kipengele ndani ya katiba (categoracially) cha ukomo wa urais. Hatuwezi kuungana na huyu mad dictator. Mental!
Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa
Na unaweza kuwa na mawaziri 70 na umeme usiwake pia ni kazi bure.....bora mmoja bila umeme kuliko 70 bila umeme....
Mawazo ya mtu aliye lala usingizi hayo, serikali yako ni mufilisi sasa kwa sababu ya utitili wa unproductive system ya utawala. Mawaziri sabini, kweli wewe ni Genius Brain au wababaishaji?????Kuwa na baraza dogo sio tija, kinachotakiwa ni ufanisi wa serikali . Na hilo ndilo amesema Museveni. Amesema tizama amerika , mawaziri wa mambo ya nje wapo zaidi ya 7, Waziri wa mambo ya nchi za nje Africa, Asia nk. Ni funzo kwa CDM kuwa sera zao hazitekelezeki. Na wakati wa uchaguzi , Dr Besigye alijifanya kuiga sera za cdm za bure bure, wananchi wakamwaga kama walivyo fanya kwa Slaa
Mkuu hapa umenena. What is the point of having a cabinet of over 60 members while the problem of power shortage/power rationing is still swallowing us?Na unaweza kuwa na mawaziri 70 na umeme usiwake pia ni kazi bure.....bora mmoja bila umeme kuliko 70 bila umeme....
Time to rest Mr. Museven
huyu mzee kwake kunawaka moto sijui haoni