Museven aiponda icc

Museven aiponda icc

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,251
Kwa speech yake wakati wa kuapishwa kwa Hon Uhuru Kenyata kuwa their shallow analysis distorts the meaning of that Court.
Infact he went further by saying they want to dictate Africa to elect leaders of their own
Watu wameshangilia sana maana raisi U.Kenyata ni mhanga wa maamuzi ta ICC
 
Tena kaongea kwa kiswahili.
Akahoji waganda laki 8 wameuwawa mbona ICC haikuja Uganda?
 
Amewapiga mawe ile mbaya that hatakubali kabisa kuingia Uganda, walikuwa wapi miaka ya nyuma waganda walipokimbia nchi yao kukimbia mauaji na waganda wengi walipoteza maisha! Amewashukuru wakenya kuonyesha ICC kuwa hawawezi kuchaguliwa viongozi. Amewashukuru watanzania kuwapokea Waganda walipokimbia mauaji kwao. amesema waafrika wana namna yao kumaliza matatizo ya ndani
 
Naamini kabla ya kufa nitaiona filamu hii ya raila&uhuru.na kama kunadhuruma itathibitika yetu macho
 
Leo ninafuatilia kwa umakini kabisa sherehe za kuapishwa Rais mteule Uhuru Kenyata na Makamu wake William Ruto. Baadhi ya Marais wa nchi za kiafrika walihudhuria katika sherehe hii ya kihistoria nchini Kenya.
Katika hotuba aliyoito Rais wa Uganda Mzee Museveni amesema mambo mengi ya msingi ikiwamo biashara na uzalishaji wa bidhaa nchi za kiafrika na namna ya ushirikiano wa wanachama wa nchi za kiafrika, pamoja na kuwapongeza vyombo vya habari kwa ukomavu wa utoaji na upashanaji habari.

Mhe. Museveni amesema hataki kusikia habari za ICC (International Criminal Court) nchini kwake Uganda. Amesema kwa kiingereza na akarudia tena kwa kiswahili. Akasisitiza kuwa masuala ya waafrika waachie waafrika wenyewe watayamaliza. Wakati anatoa statement hiyo nimemwona Mhe. Kikwete anacheka kwa kutokutegemea kauli hiyo na kama kawaida yake, Nikamwona Mhe. Kibaki anashangaaa, Nikamwona Mhe. Kagame ametulia kabisa, nikamwona Mhe. Mugabe akipongeza sana kauli hiyo na Mhe. Kaunda na hata rais Kenyata walionyesha kabisa sura za kukubaliana na kauli hii. Kwa mbali niliwaona wanaharakati mbalimbali pia kufurahia kauli hii.
Jambo la msingi hapa ni kwamba ni lazima kweli nchi za kiafrika kuwepo na msingi wa kutokuingiliwa na mataifa makubwa yenye nguvu za kiuchumi na kivita, maana wana lengo na kuwaweka (kuwapandikiza ) vibaraka wao na kuwaondoa watu makini ambao wana msimamo na uchungu wa nchi zao.
Na ukiangalia kwa hakika watu wengi wanaopelekwa ICC mara nyingi ni wale ambao wanaonekana kikwazo cha mataifa tajiri kama Marekani na marafiki wake.
Nimeipenda, Mungu ibariki Afrika.
 
Safi sana. Subiri mda unahesabika hawa wazungu watajua Afrika ni akina nani.
 
Tunapigana kwasababu ya ukosefu wa ajira ! Ugomvi huo kwao unageuka ajira ! Abarikiwe utegemezi mpaka lini.
 
Marehemu hawana msemaji wao wala wakili wao. Hiki ni kitendo cha kihuni sana kwa rais kutangaza kutotambua mahakama ya kimataifa wakati yeye mwenyewe anakesi huko
 
Lazima wadhungu wafundishwe ule msemo wetu wa ....Ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe
 
Amesema hawataruhusu ICC kwa mambo ya ndani ya nchi,akakiri walimpeleka muasi Kony huko sababu ana operate nje ya Uganda.

by the way,ulimwangalia Kikwete wakati Museveni anatoa kauli hiyo na wakenya kushinda hila za wazungu dhidi ya mgombea wanayemtaka?
 
Amesema hawataruhusu ICC kwa mambo ya ndani ya nchi,akakiri walimpeleka muasi Kony huko sababu ana operate nje ya Uganda.

by the way,ulimwangalia Kikwete wakati Museveni anatoa kauli hiyo na wakenya kushinda hila za wazungu dhidi ya mgombea wanayemtaka?

Ni dikteita huyo, anaelewa yupo madarakani kwa nguvu. Asilete visingizio. Wazungu wana matatizo yao ya kiuchumi na ata yeye ana yake binafsi wala si waganda
 
Marehemu hawana msemaji wao wala wakili wao. Hiki ni kitendo cha kihuni sana kwa rais kutangaza kutotambua mahakama ya kimataifa wakati yeye mwenyewe anakesi huko
huyu m7 hafai kabisa.kwani kuna tatizo gani kama wazungu watatumonitor?

Wao wanauzoefu na mambo haya wa utawala na haki za binadamu kuliko sisi wafrika.
 
Marehemu hawana msemaji wao wala wakili wao. Hiki ni kitendo cha kihuni sana kwa rais kutangaza kutotambua mahakama ya kimataifa wakati yeye mwenyewe anakesi huko

Huko sahihi mkuu, mimi nikiona baadhi ya Wafrica wenzetu wanafurahia hotuba za ma Rais ambao wanapania kuwa life Presidents nashangaa sana, wala awatafakali chochote kuhusu track record za ma Rais hawa, wengi wao ni wakatili, wengine wauaji, wengine hawaruhusu vyama vya upinzani nchini mwao. Sasa ma Raisi wa design za namna hiyo wakihachiwa wafanye watakavyo Nchi nyingi za Kiafrica zitakalika kweli, kama wanakubali UNO kwa nini waogope ICC na kuanza kuitupia madongo. Ma Rais wadirifu hawawezi kuogopa ICC - waovu ndio wenye woga.
 
huyu m7 hafai kabisa.kwani kuna tatizo gani kama wazungu watatumonitor?

Wao wanauzoefu na mambo haya wa utawala na haki za binadamu kuliko sisi wafrika.

Yaani watu zaidi ya 1000 waliuwawa Kenya, hawa watu hawakuwa na hatia. Leo hii unaona kuwahukumu wauaji ni kuwaonea waafrika. Hapa uzungu na uafrika unaanzia wapi? Hapa hoja ni kwa wauaji kupelekwa mbele ya haki na haki itendeke. Waliokufa ni binadamu kama sisi na wameacha watoto wao ambao wanamipango ya baadaye kama watoto wetu tofauti ni kuwa wao uwezekano wa kufikia ndoto zao ni mdogo kwa kuwa wazazi wao waliuwawa.
Mseveni ni mnafiki, anaona kumshitaki Kony ni sawa ila kushitakiwa Uhuru sio sawa kisa Uhuru ni rafiki yake. This is nosense. Tuwalaumu wazungu panapostahili lakini sio kwenye hili.
 
Huyu kangngania madaraka sasa anajua siku zake za kwenda kule zimekaribia sana sana...
 
Back
Top Bottom