Musa Ndile ajitosa uenyekiti BAVICHA

Musa Ndile ajitosa uenyekiti BAVICHA

Kampeni bado, mpigie simu umpongeze. Hawa wanaojipigisha kelele mtandaoni tutakutana nao kwenye sanduku la kura... Tulieni muda ukifika pgeni debe.
 
Tv haikununuliwa chini ya uongoz wa musa ndile, acha uongo imenunuliwa chini wa HEMED mwaka jana, kwa hyo uache uongo
 
10629452_719049484834756_6761627247957588648_o.jpg

Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA STUDENT ORGANIZATION (CHASO) KATIKA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM), MUSA NDILE Amezidi kuchanja mbuga siku chache baada ya kutangaza kuwania nafasi ya KATIBU BAVICHA TAIFA, Habari za kuaminika kutoka katika vyanzo vya habari kutoka vyuo mbali mbali hapa Tanzania zinasema MUSA NDILE anaungwa mkono na viongozi na wanachama kutokana na ujasiri wake katika kusimamia hoja ambazo zinagusa maisha ya kila siku ya watanzania. Naomba tumuunge mkono kamanda wetu MUSA NDILE ili tuweze kuimarisha BAVICHA yetu...........
BAVICHA IMARA ITAJENGWA NA VIONGOZI IMARA KAMA MUSA NDILE.
 
Huyu kamanda sina shaka na uwezo wake,, ametumika sana pale IFM na mkoa wa DSM .....Mungu amtangulie
 
10592787_719942218078816_4777770357196452791_n.jpg

KAMANDA MUSA NDILE (PICHANI) AKIWAHAMASISHA WASOMI WENZAKE JUU YA KUJUA NA KUTETEA HAKI ZAO VYUONI.... IKUMBUKWE MUSA NDILE NI MIONGONI MWA WANAOGOMBEA NAFASI YA UKATIBU BAVICHA TAIFA. Habari za kuaminika zinasema musa ndile anaendelea kuungwa mkono sehemu mbali mbali za nchi na uwezekano wa kutwaa nafasi ya ukatibu wa bavicha ni kubwa sana
 
Kama hajawahi kukaa rumande hafai kabisa. Kiongozi gani hajawahi kupelekwa jela
 
Musa aliwatoa watu wa bwana toka kuleeee akawaleta kwenye nchi ya mungu hata bila kuwekwa lockup yamkin hiko si kigezooooo mkuu!
 
Kuna thred zako nyingi humu ukijizungumzia kuhusu huu uchaguzi ulifungua hii id ujipe promo nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom