Pamoja2015
Member
- Mar 22, 2014
- 23
- 10
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHASO IFM na Mjumbe wa uhamasishaji wa CHASO mkoa wa Dsm MUSA NDILE sasa ajitosa kuwania nafasi ya uenyekiti wa bavicha taifa, akizungumza kwa njia ya simu kamanda huyo anaonekana ni mtu sahihi wa kurith mikoba hyo iliyo achwa wazi na JOHN HECHE ambaye ametangaza hatagombea tena nafasi hyo.. Kuendana na uzoefu aliokuwa nao musa ndile nazani BAVICHA itaimarika zaidi na zaidi pia amewahi kuwa waziri mkuu katka serikali ya wanafunz IFM SO. Mungu amtie nguvu kamanda huyu