Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Hii mitihani sio mizuri kabisa maana nimewamithi mpaka basi... Lipi jipya humu??
Hii mitihani sio mizuri kabisa maana nimewamithi mpaka basi... Lipi jipya humu??
pole Junior. Cux, ndo mitihan hyo. . . karibu tena mapya ni mengi we kodoa macho utayaona. . .
We peruziperuzi tu mbona mambo humu.
Hii mitihani sio mizuri kabisa maana nimewamithi mpaka basi... Lipi jipya humu??
Nitakwendea kwa fundi YM akuache.
Jipya ni kuwa Young Master katangaza hali ya hatari kwa atakayemtongoza cacico
cacico huyu huyu naemjua mimi au mwingine.. atakua kachelewa sasa, maana sio kutongoza tu I have gone much further
tumehama
Karibu sana Junior. Cux
Ametangaza kuroga mtu,lakini alichokataza ni kumtongoza,nadhani mengine ruksa
we nae.. mmehamia wapi thatha
tumehamia jukwaa la mwisho kabisa....