Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Around milioni huko ughaibuni, Tena brand ndogo, brand kama LG ni around 1.2m

Uzito ni around kilo 10, hivyo andaa kama laki 6 hivi usafirishaji.

Hivyo kuleta bongo itakucost around 2m.

Kenya naziona around 60k ambayo ni 1.2m ya huku.
Sio mbaya kwa saving ya 6 months unapata kitu cha kupendeza, shukrani mkuu
 
Hii nilipata huko huko. Hapo nmeunganisha na laptop via vga. Nilishangazwa na quality yakeView attachment 1760922
Issue ya tv mkuu si quality, kuna tv zina quality kubwa tu ya picha na vikorokoro vyote sijui hdr10, 4k, Dolby atmos etc.

Tatizo ni input lag, hasa kama unacheza online, ila unabonyeza button mpaka reaction kuja kutokea kwenye TV inakuwa sio real-time.
 
Hapana ultra wide curve ni kubwa sana, inch 34 kupanda.

africa-en-c49j89-lc49j890dkuxen-swivelblack-230313398

HII inakuzunguka kabisa.
Ooooooh!!! Dah! Basi kumbe sio bei nilichojua kitakua na kioo kidg sana
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Issue ya tv mkuu si quality, kuna tv zina quality kubwa tu ya picha na vikorokoro vyote sijui hdr10, 4k, Dolby atmos etc.

Tatizo ni input lag, hasa kama unacheza online, ila unabonyeza button mpaka reaction kuja kutokea kwenye TV inakuwa sio real-time.
Mkuu input lag inakuwa imeandikwa kwenye specifications au nitaujuaje ubora wake ktk TV kabla ya kununua?
 
Mkuu input lag inakuwa imeandikwa kwenye specifications au nitaujuaje ubora wake ktk TV kabla ya kununua?
Wana andika ndio sema sio TV zote. Na bei za TV zenye input lag ndogo zinakuwa kubwa sana, even Wachina kina TCL na hisense unakuta ni karibia milioni 2.

Wana andika ndio sema sio TV zote. Na bei za TV zenye input lag ndogo zinakuwa kubwa sana, even Wachina kina TCL na hisense unakuta ni karibia milioni 2.

Samahani mkuu, na ntajuaje hii ina input lag kubwa hii ndogo? Au haina kiwango inakuwa labeled to high input / low input lag?
 
Samahani mkuu, na ntajuaje hii ina input lag kubwa hii ndogo? Au haina kiwango inakuwa labeled to high input / low input lag?
SI unit yake ni sekunde,

Mfano ukienda kwenye link niliyotuma wameandika 20ms ama 100ms ama 50ms etc, hio ms ni Milisecond, Milisecond 1000 ndio sekunde 1,

Mfano wakiandika 100ms ina maana kutoka kwenye pc ama game console ina chukua Milisecond 100 picha ama reaction kufika, hio ni kubwa sana na haifai Sababu kama unapigana na mtu online ama unacheza mpira ukiclick mpaka kile kitendo kutokea kwenye TV kitachukua hio 0.1 sekunde. Hapo hujahesabu lag nyengine kama za network,

Monitor nyingi input lag ni chini ya 10ms unakuta 9 ama 8ms etc.
 
definition rahisi ni software za kulipia zimeongezwa/kupunguzwa vitu ili zitumike bure.
Mkuu!! Hiv hiz graphics card kama hii yangu inaweza kuwa inakula ememe sana mfano kama nikitumia siku nzima naweza tumia unit 5?....
 
Back
Top Bottom