Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nafikiri kufanyia kazi hili wazo lako.

View attachment 2934249
Hii itakubali hiyo processor yangu ya ryzen 5 3400g??
Am4 inakubali Ryzen zote mkuu mpaka 5xxx series, kuanzia 7xxx series ndio zinataka Am5.

Kupata uhakika zaidi unaangalia website ya gigabyte.

Ama wasiliana na seller Aliexpress akupe uhakika zaidi.
 
Poa boss jamaa pia kanipa mwongozo ngoja niilipie. Chamoto case nzuri nitumia ipi mkuu ili mobo ikae poa.
 
Case mkuu inategemea na wewe, kama hutaki urembo na hujali muonekano Kariakoo na machinga Complex kuna case used za kutosha tu.

Otherwise itabidi uagizishie nje.
 
Poa nikipata ya hp pavilion TP01 itakuwa poa.?
81wimF7H1JL._AC_UF350,350_QL80_.jpg
tp01-2137c_800x.jpg
 
Poa nikipata ya hp pavilion TP01 itakuwa poa.?View attachment 2934346View attachment 2934347
Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.

Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.

Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
 
Nimechukua B450M mkuu.
 
Mkuu samahani Sana kuna swali nje ya mada naomba kuuliza 🙏🙏🙏🙏🙏

Hivi unaweza ukatumia simu ya uwezo kama redmi note 8 halafu ukaweka memory card ya 2TB na ikafanya kazi kama kawaida??? Au itabidi kuchukua memory ndogo ili simu iweze kufanyakazi inavyotakiwa???
 
Unaweka, hata Nokia ya tochi miaka 10 iliopita inakaa cha muhimu tu format kutokana na simu yako inataka nini.

Sema kuwa makini sd card za 2TB likely ni fake
 
Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.

Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.

Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Habari mkuu nishapata case moja atx

Case ya asus psu watt 500 na cpu cooler.

Nimepatia machinga complex leo

So nasubiri motherboard ifike niunganishe mashine.

atx_power_supply_1588166327_0ad28ab8.jpg
IMG_20240315_135728_295.jpg
IMG_20240315_135351_913.jpg
 
Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.

Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.

Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Habari mkuu nishapata case moja atx

Case ya asus psu watt 500 na fane...

Nimepatia machinga complex leo

So nasubiri motherboard ifike niunganishe mashine

View attachment 2935248View attachment 2935252View attachment 2935254
Bei kiasi gani mkuu
Cooler 10,000 case 25000 psu 50,000

Jumla 85000.
 
Bei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.
Yaah bei imekuwa nafuu kwangu maana kwa hela hiyo ningpata PSU tu huku AliExpress na ningelazimika kuongeza hela kidogo tena.

Case nzuri niliyoikuta ni hiyo tu. Pia psu nyingine ya watt 500 alikuwa nayo. Pia vibanda ni vingi pale. So ukihitaji parts wanatoa tu kwenye mashine nyingine wanakupa part unayotaka.
 
Samahani mkuu naomba kuuliza, nataka nichukue computer ambayo oia itaweza ku run adobe premiere? naje nitaipata kwa kiasi gani cha fedha?
Kwenye Video editing Nvidia then intel then Amd

Adobe premier minimum ni intel gen ya 7 kama unatumia Quicksync japo mimi na recomend angalau gen ya 8 ili upate all around machine.

Na kwa Machine ya Nvidia minimum ni gtx 1050.

Kwa Laptop nyingi zinaanzia around laki 5 na desktop around laki 4 zenye hizo specs.
 
Napata mpya au used?
 
Pia naweza weka naki game mfano mm kuna ka game ka online nataka nikaweke kanaitwa doomsday last survivor.
 
Back
Top Bottom