Muongozo:Nahitaji Kununua Home Theathre!

Muongozo:Nahitaji Kununua Home Theathre!

Hiyo Hifi system ipoje na inatofauti gani na zingine
Nenda duka linalouza music systems halafu beba flash yako waombe wakupigie wimbo huo huo kwenye HI-FI music na Home Theatre utaona tofauti. Hi-fi ina mziki mzuri sana, home threatre ni nzuri kwa kupigia video, cinema na movie.
 
Hii inatofauti gani na HI FI ila hizi najua ule mdundo wake sio mkubwa wala mzuri View attachment 488987
Hi-fi ina speaker kubwa mkuu, home threatre ni kama sub woofer tu. Hi-fi sio kwenye mdundo tu, haina mikwaruzo na mziki wake ni quality. Wimbo unaoona ni mbaya ukiipiga kwenye Hi-fi utaona ni mzuri. Halafu Hi-fi ukiiwasha wewe uliye ndani hutasikia kelele ila mtu wa nje atasikia kelele.
 
Hizo zote hamna kitu mimi natafuta kitu kinaitwa BOSE ukisikia acha maneno weka mziki ndo hii hapa
47a943466263ff7c7613db5a75630346.jpg
Gharama yake je? Na unatafuta bongo hamna?
 
Anhaaa sawa mkuu...unaweza connect na Tv,Pc
Unaweza huwa zinakuwa na RCA input. Pia siku hizi kuna hadi zenye hdmi.

Usiwe na haraka wakati unanunua hakikisha ina kila kitu muhimu kwa ajili ya mahitaji yako.
 
Nenda duka linalouza music systems halafu beba flash yako waombe wakupigie wimbo huo huo kwenye HI-FI music na Home Theatre utaona tofauti. Hi-fi ina mziki mzuri sana, home threatre ni nzuri kwa kupigia video, cinema na movie.
Ila HI FI nazo pia zinatofautiana?
 
Hi-fi ina speaker kubwa mkuu, home threatre ni kama sub woofer tu. Hi-fi sio kwenye mdundo tu, haina mikwaruzo na mziki wake ni quality. Wimbo unaoona ni mbaya ukiipiga kwenye Hi-fi utaona ni mzuri. Halafu Hi-fi ukiiwasha wewe uliye ndani hutasikia kelele ila mtu wa nje atasikia kelele.
Oky nashukuru kwa maelezo inatofautiana na Kampuni au
 
tafuta radio moja ya sony ni laki 9 ina spika nne kubwa hata mviringo wake ni kama au zaidi ya mfuniko wa sado
 
Back
Top Bottom