Muongozo:Nahitaji Kununua Home Theathre!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nahitaji Kununua Radio kwa ajiri ya mZiki wa Nyumbani ki getho getho sasa Nina laki 5 Hadi 8 mwsho nahitaji kupata Home theathre nzuri..itakayo dumu,iwe na mziki mkubwa kama bufa na zaidi.....kifupi iwe na Quality nzuri! Sababu nina Bro alinunua hio Home threathre laki 3.5 lakini hata sabufa ina Afadhari!

Nizingatie nini wakati wa kununua nisije ibiwa...ushauri tafadhari
 
Inakuwa ni radio yenye speaker kubwa zote unaweza kuta ina speaker mbili tu, tatu,hata tano. Unaweza kuta pia ina sub yake lakini mara chache. Ingia google andika hi-fi music system utaona baadhi ya picha.
maxresdefault.jpg
Ndio hizi si ndio???
 
Mkuu huu mziki ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakumbuka kuna jamaa angu aliununua pale mlimani city mwaka 2013 mpaka leo hajawahi kufungulia volume mpaka mwisho maana hukomea 40 ila mziki poa sana kwa kipindi kile alinunua 800,000/=
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom