Huwezi kudahiliwa mkuu kwasababu hujafikisha minimum 2D's wanayoitaka.Msaada kwa hizi alama nilizopata DEE ya combination ya HGE naweza kudahiliwa kujiunga na chuo kikuu kwa wanajua naombeni mnifahamishe
Post sent using JamiiForums mobile app
Jamani kwa matokeo haya huyu binti tushauri III-14 G/Studies S, Physics-F,Chemistry-C,Biology-D,BAM-F.(Naombeni Mwongozo anaweza kupata MD,PHARMACETICAL,NURSING)
Post sent using JamiiForums mobile app
Microbiologymimi nimesoma cbg wakuu faculty gani naweza somea uko chuo ili nisijutie badae
Hilo tangazo sinalo,ingekuwa vizuri kama ungeliweka hapa ili tuoneHaupo serious wewe,tangazo la TCU limeainisha kila kitu kuhusu kozi za afya ila bado unauliza maswali
Asante mkuu .daa!!Huwezi kudahiliwa mkuu kwasababu hujafikisha minimum 2D's wanayoitaka.
Post sent using JamiiForums mobile app
daaa,dg langu afya byby apoo ualimu utamuhusuCBG una kozi moja tu ya Afya, environmental health sciences inatolewa MUHAS na RUCU
Kuna mwenye GS E GEO E Chem F BIO F Bam F hapa anaweza Fanya nini kwa haya matokeo?
Kama zipi iZo mzeeMadogo fanyeni kweli msizingue ..mkopo ni magimashi mtaani pagumu ..kwa iyo chagueni kozi zenye akili ohooo!! usichague kozi usiyoijua MSIFUATE MKUMBO narudia tena MSIFUATE MKUMBO. Utajuta!
Post sent using JamiiForums mobile app
Tayari yametoka leoMatokeo yanatoka lini
Sahihi kabisa mkuu!Education anapata lakin inategemea na competition coz hapo BAM ana F itampunguzia kidg kukiwa na competition.....anaweza kusoma agriculture,veternary ,etc lakn kwa huo ufaul cdhan
Post sent using JamiiForums mobile app
Education bila shaka atapata. Iwapo BAM asingepata F basi angekuwa na uwanja mpana sana kwa hayo matokeo yakeNaombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 13 combination ya CBA kidato cha 6.
GS - F
Chemistry - S
Biology - D
Agr - C
BAM - F
Je education atapata kwa vyo kama DUCE. au UDOM?
Je nje ya education anaweza akasoma course ipi ya degree?
Post sent using JamiiForums mobile app
Naomba unitoe ushamba BAM nisomo la optional auNaombeni ushauri wadau,
Dogo kapata III ya 13 combination ya CBA kidato cha 6.
GS - F
Chemistry - S
Biology - D
Agr - C
BAM - F
Je education atapata kwa vyo kama DUCE. au UDOM?
Je nje ya education anaweza akasoma course ipi ya degree?
Post sent using JamiiForums mobile app
mkuu kwa aya matokeo naweza somea nn nina 2ya12 cbg chemistry e bios c geo d bam f gs eMicrobiology
Post sent using JamiiForums mobile app