Siro hana haja ya kuandaa bakora ataweka vijana wake tu ili wawalinde vizuri watu watakaompokea shujaa Lissu kama alivyoweka vijana wake wakati wa Mapokezi ya Hussein Mwinyi Zanzibar
Najua wajua kuwa huwezi kupona risasi 38 bila kuwepo kwa mkono wa Mungu. Mungu tu pamoja na Lissu na lolote mtakalopanga dhidi yake hamtafanikiwa. Amewaonyesha ana atazidi kuwaonyesha
Hivi kwa nini ukiwa CCM lazima uwe na roho mbaya,Muuaji,msema uongo,hutendi haki,ni zaidi ya mchawi,kama huamini angalia michango ya wana CCM inavyomzungumzia Tundu lisu,yaani ni zaidi ya makaburu kipindi kile cha ubaguzi wa rangi