mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,334
- 57,157
Zaidi ya huu tulionao?
Jibu ni kuwa hatokosa uraisi mwaka huu. Njia ni nyeupe sana kwa Tundu Antipas Lissu mwaka huu.
Sahihi kabisa
Hujielewi!Ugeni gani unalo jiji???? Kwa taarifa yako nchi karibu zote duniani hakuna ndege inayoingia wala kutoka. Sasa huo ugeni ni upi uzuie mapokezi ya Lissu!!!
Lolote mnalofanya dhidi ya Lissu kumbukeni ndo mnazidi kumuongezea umaarufu na kufanya watu wampende zaidi. Hamjajifunza tu baada ya kumpiga risasi Dodoma???
Sahihi kabisa
Ninakuelewa vyema mkuu 'Lord'.Nguo nyeusi ni alama ya giza au majonzi. Hiyo jumatatu tutakapovaa nguo nyeusi hii itakuwa ni Alama kuwa hatujadharau msiba wa mzee huyu.
Bado sijamwelewa?Hukumuelewa ni mapokezi sio maandamano
Mataga umelewa wanzuki jumatatu yote hiiMlio enda airport tunaomba mtupe matukio kwa picha kinacho endelea uko Mana wengine tupo msiban
Ila naambiwa Walio ahid kwenda wote wameingia mitin
Kwahiyo timu zisizoweza kuchukua ubingwa wa Tanzania zijitoe zikacheze daraja la pili ziiachie simba na yanga? Hivi unajua faida za kugombea urais, unajua hata usiposhinda uchaguzi, wingi wa kura za urais unachangia kupata wingi wa viti maalum vya ubunge? Unajua chochote kuhusu hili, au unaleta siasa mfu hapa jukwaani?
Huna uelewa wowote wwWatanzania ni watu wenye uelewa mpana
Hatuwezi kuhangaika na mtu aliyetengeza movie ikabuma
Kabisaaa....... Inawezekana ni changamoto ya upumuaji. Alibanwa ghafla na bakupata msaada wa harakaInamaana huyu mzee hajafa! Na kama amekufa itakuwa CORONA alitoka nayo kwenye mkutano wa CCM Dodoma. Na wengine watafuata kutoka kundi lile.
Hahahaaa..... Hizi zote ni possibilities mkuuHaha ha haaaa... Duh
Jf is Never boring
Hawashindwi hawa jamaa.....Kuna kaukweli hapo
Shetani akiwa kazini anafanya chochote mkuuWajuba sio watu wazuri
Kabisa......Mungu Fundi, Mkapa sasa akakutane na wapemba aliodhulumu haki zao za kuishi huko.