Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Nimekumbuka mbali, nilikua na kipawa cha kucheza mpira wa miguu, nimecheza sana chandimu, piga dana dana kwa uzuri, nilipofika std 6, Mama akanikalisha chini, akanipa semina juu ya maisha hasa kwa upande wangu.
Niliamua ni focus na mambo mengine, kwa kweli namshukuru mno, sahivi naona nisingefika popote kupitia kipaji hiki,

Nimebaki na memories za piga chenga, kata funua, piga mduki, aiiih. Wakati ni ukuta.

Kila kheri kwako, ufanikiwe ktk hilo.
 
Tatizo uliwekeza kwenye chandimu.... ungefanikiwa sana ungekuwa na mpira wako tu wa makaratasi
 
Kwa nini uliacha aise!
 
Tatizo uliwekeza kwenye chandimu.... ungefanikiwa sana ungekuwa na mpira wako tu wa makaratasi
Huo wa makaratasi mie ndo mfumaji, naweka condom niliyo puliza, naviriga na vitambaa, nje naviriga nailoni, naanza kufuma, unatokea mpira unadunda haswaa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnanikumbusha mbali hatarii.
 
Huo wa makaratasi mie ndo mfumaji, naweka condom niliyo puliza, naviriga na vitambaa, nje naviriga nailoni, naanza kufuma, unatokea mpira unadunda haswaa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnanikumbusha mbali hatarii.
Kondom iliyotumika?
Kama ilitumika iltumiwa na Nani?
 
Daah mama alini stopisha, kuna kitu aliona mbeleni, nashukuru imenisaidia mno, sioni km ingenifikisha popote pira boli.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi jua labda Leo hii ungekuwa unasakata kabumbu barani ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…