Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

secretarybird we si Kocha wa mpira.....njoo umchukue kipa mdaka mihogo na ndizi😁
Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
Yeah, mchezaji wa kike anatakiwa awe na vitu vifuatavyo.

1. Awe na agility (Kasi)yaani awe mwepesi ili aweze kuendana na Kasi ya mchezo. ahimili miliki miliki kwa sababu Mpira wa miguu na kiteni na kindava haihitaji mtu lelemama

2. Awe na composure (utulivu). Utulivu WA mwili na akili ni wa muhimu Sana katika soka.

3. Endurance yaani kuwa fiti kimwili siyo upepo mkali ukipita unakuangusha. Mpira wa miguu na kitemi na kindava hauhitaji mtu lelemama.

4 Nidhamu, nidhamu, nidhamu.
 
Anastasia21 muongozo huo hapo

Zingatia namba 4 usimshawishi Kocha labda aanze kukutaka yeye
 
Yeah, mchezaji wa kike anatakiwa awe na vitu vifuatavyo.

1. Awe na agility (Kasi)yaani awe mwepesi ili aweze kuendana na Kasi ya mchezo. ahimili miliki miliki kwa sababu Mpira wa miguu na kiteni na kindava haihitaji mtu lelemama

2. Awe na composure (utulivu). Utulivu WA mwili na akili ni wa muhimu Sana katika soka.

3. Endurance yaani kuwa fiti kimwili siyo upepo mkali ukipita unakuangusha. Mpira wa miguu na kitemi na kindava hauhitaji mtu lelemama.

4 Nidhamu, nidhamu, nidhamu.
Ntafanya ivyo
 
Back
Top Bottom