....muongo na mmbea....

....muongo na mmbea....

Nyie wawili tafuteni faragha. Hapa sio mahali pa kujadili private affairs.
Grow up!
 
Hahahahaaa wote hawafai aisee maana mbea anaweza kukuharibia dili lako na muongo anaweza kukuletea balaa
Hawakawii kuja kusema nilikuwa na Mamndenyi gesti hausi then Mr Rocky akaniletea noma bure....yan huyo ni Muongo na mbea at the same time

Erick hawa watu, mmbea na muongo ni watu wabaya sana....unaweza ukazushiwa jambo usilisikie siku ya kusimuliwa utakaa chini ujiulize kwa mshangao.....binadamu ndivyo tulivyo.
 
Back
Top Bottom