M search andika Ibrahim RahbyMbona Sheikh km ana vitu vyangu. Picha yake nyingine iko wapi nimuone vizuri?
Ooh ahsante.M search andika Ibrahim Rahby
Niwe wa kwanza kupata kadi sasa mamilooMbona Sheikh km ana vitu vyangu. Picha yake nyingine iko wapi nimuone vizuri?
Hahaha makebo makubwaJina lako tu hapo ni matusi sasa nikutukane nini ?
USSR
Rahby na smaa ni wachambuzi wazuri kwenye Geopolitics lakn shida Yao kubwa ni chuki kuu ambayo wako nayo kwa Israel hii hufanya Ata pale kwenye ukweli inabidi upindishe kidogoIbrahim Rahbi huwa anaongea ukweli msioupenda wengi,
Na bahati nzuri anayochambua yote ndio mwisho wa siku hutokea.
Sasa kama yeye kuwa Muslim ndio kosa lake, okay sawa.
Wahouthi washapindua meza hukoLeo wahouth wanaliwa kichwa sijui atasemaje ?
USSR
Uzayuni/Zionism ni tatizo kubwa sana,bila hao hii Dunia ingekua positively differentBadala ya kuchambua siasa za Mashariki ya kati yeye kuwaaminisha Masheikh wa upanga kuwa tatizo ni uzayuni
Jamaa muongo muongo sana
USSR
View attachment 3684811
UsijariNiwe wa kwanza kupata kadi sasa mamiloo
Ndio mchugaji mwenzako shoga aliekuoa kadanganyaLeo wahouth wanaliwa kichwa sijui atasemaje ?
USSR
Ana chuki mno huyo Kenge! Kwake chochote kizuri kinachofanywa na USA/Israel au Ulaya hakifai au ni cha uongo ila wakifanya kibaya au makosa ni kweli!!!Badala ya kuchambua siasa za Mashariki ya kati yeye kuwaaminisha Masheikh wa upanga kuwa tatizo ni uzayuni
Jamaa muongo muongo sana
USSR
View attachment 3684811
Kama kila kobaz ni shehe na wewe tukuite mchungaji ***** kama hawa
Pale sns kwenye GPS Ally masubi ndio huongea fact huyu smaa kila kitu uzayuni greater Israel mwisho wa dunia na kuanza kusoma QuranAna chuki mno huyo Kenge! Kwake chochote kizuri kinachofanywa na USA/Israel au Ulaya hakifai au ni cha uongo ila wakifanya kibaya au makosa ni kweli!!!
Mwanzoni nilimfatilia sana ila baadae nikaja kugundua anaongozwa na chuki nikampuuza. Rahby na Dj Sma ni viumbe wanaoongozwa na chuki za kwenye chambuzi zao (ni kosa kuita uchambuzi, ule ni uchawa)
Mchambuzi pekee wa kusikilizwa ni Ally Masubi japo naye ni walewale ila angalau anajitahidi kubalance chuki.
View: https://youtube.com/shorts/UlR3vOkEBr0?si=iWYDSu3Uv0Atx8Nx
Nani aliyemlawiti na kumsilimisha Ibilisi?