Mbona wamemwaga kokoa ya maziwa!
Hii ni choka mbaya sana.
Wauza mafuta ya Alizeti hawataki utani na mkoa wao.nimeona stand ya singida ile mpya aise ni ya kimataifa ile stand, nadhan itakua inaonngoza kwa hapa bongo
kuna mtu ashawahi niambia hii kitu, mkuu unaweza weka pichanimeona stand ya singida ile mpya aise ni ya kimataifa ile stand, nadhan itakua inaonngoza kwa hapa bongo