Muonekano wa Geita mpya

Asante sana mkuu
 
Geita kuna maendeleo ya gesti,baa labda na barabara za lami kinyume na hapo hakuna la zaidi ya barabara mbovu na vumbi la rangi ya msimbazi.
 
Geita kuna maendeleo ya gesti,baa labda na barabara za lami kinyume na hapo hakuna la zaidi ya barabara mbovu na vumbi la rangi ya msimbazi.
Wewe ni wa ajabu, huoni mji unavyokuwa kwa kasi kuelekea pande zote za dunia. Wivu tu
 
Wewe ni wa ajabu, huoni mji unavyokuwa kwa kasi kuelekea pande zote za dunia. Wivu tu
Mji gani , Unaokua?
Huu ambao unaishia Buhalahala na Nyantorotoro?
Huu ambao umeme unaishia Mwatulole.

Huu ambao una barabara saba za kiwango cha lami.

Huu ambao stendi yake ni sawa na josho LA ng'ombe.

Huu ambao hauna soko, (Dhahabu na nyanya haciendani)

Geita Bado sana, labda Katoro
 
Yaani huo mnara tu ndo kumebadirika?,wekeni picha za street tuone
 
Nyanyado mkuu, sielewi unasema Geita haikuwi unailinganisha na Geita ya mwaka gani?? Nina sema Geita nikiilinganisha na Geita 2015 na ya Leo 2019
 
Mji wangu niliokaa miaka minne hapo nikisoma GESECO! Hongera kwa mabadiliko makubwa. Enzi zetu mji ulikuwa vumbi jekundu sana! Usafiri ilikuwa saa 10 uko barabarani kutokea Mwanza, leo hii ni kugusa tu!
Hujambo mwanaGeseco mwanzangu?
 
Mkuu, nami nilishawaza kama wewe, cha kushangaza eti hapo kuna mkuu wa mkoa ambaye ni Injinia, halafu hawezi hata kubuni mambo ambayo yanaweza kukaa kama historia, halafu anakuja mtu anaanza kusifia Ooh sijui magufuri sijui mkuu wa mkoa, sijui mkurugenzi, walioweka mnara wa askari pale posta daresalaam walikuwa na akili sana, sio hawa kuku wa ccm
 
Kumbe mji unaishia buhalahala?! Bas acha ubishi mji wa geita unaendelea kwa kasi, Mara ya mwisho nafika geita 2010 mji ulikuwa unaishia shilabela, sasa kama umeshafika buhalahala unachobisha nini sasa!!
 
Nyanyado mkuu, sielewi unasema Geita haikuwi unailinganisha na Geita ya mwaka gani?? Nina sema Geita nikiilinganisha na Geita 2015 na ya Leo 2019
Hakuna kinachokua hapo, msipende kusifia ili mpate uteuzi, mji hauna hata stendi ya mabasi inayoringana na hadhi yake !!, Kumbuka hapo pamechimbwa dhahabu kwa karibu miaka ishirini sasa, mnawekewa sanamu ya Mill na Crusher mnafurahi, sijui wabongo tunakwama wapi.
 

SIoni kipya hapo, Zaidi ya rangirangi na majani, lami zipo kila kona nchini, vipara vya ardhi vipo kila sehemu nchini hata taa za barabarani vilevile zipo kote.
 
Katoro kuna barabara ngapi za lami? Katoro yako imejengwa bila hata plani wala barabara za mitaa hakuna. Kutoka Buhalahala mpaka nyantorotiro karibu kilometa 15 na wewe unasema mji haukui. Ebu tuambie wewe mji unaotokea tuone jinsi unavyokuwa. Usilinganishe Geita na vitu vya kitoto kama Katoro. Wewe hapo Katoro ndio unapaona mjini . Kweli ushamba mzigo
 
Katoro ni bora kuliko geita
 
sehem kubwa ya maendeleo ktk mji wa Geita ni matokeo ya utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa sasa ( jina lake nimelisahau, lakini ni injinia) jamaa yupo committed kweli kweli na anapiga kazi kimya kimya bila majigambo. wanasiasa na hasa wa CCM wanamkebehi kebehi lakini hajali yeye anachapa kazi tuu
 
Acha kucheza na akili za watu na vi round about, yani kati ya maeneo ya yaliyo hovyo kulinganisha na rasilimali zilizopo ni Geita,, mji umejaa vumbi jekundu tu, stand tangu niko mtoto had mara ya mwisho napita hapo mwaka jana ni udongo mwekundu na vijumba chakavu vya mabati, kazi yenu kubandika picha za uchaguzi na mabango ya CCM huku mnakula vumbi,, miji midogo kama katoro imekuwa kwa haraka, Geita iko pale pale, ushamba tu, kwao uchaguzi haujaishaga hadi leo hii...
 
Anaitwa Gabriel Robert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…