Geita ni kati ya miji ya hovyo sana Tanzania, jaribu kuvuta picha kama kusingekua na madini.
Ishu iliyopo hapa ni kusifia mkoa umebadilika...!kwetu ni usukumani..!sijui km pameendelea coz sijazaliwa huko...una jingine??
Umezaliwa wapi? Unajua kama hii geita ni wilaya? Ni juzi tu ndo imepewa hadhi ya kuwa mkoa?
Wenzio wanakwambia imebadilika siyo kama zaman wewe nawe unakuja na shobo dundo hapa
Uliwahi fika geita miaka ya 2010?
Punguza shobo au una stress?
Ishu iliyopo hapa ni kusifia mkoa umebadilika...!kwetu ni usukumani..!sijui km pameendelea coz sijazaliwa huko...una jingine??
Kwenu ni usukuman sehemu gan na kama wewe ukiwa msukuma mimi nitahama kabila sijawahi ona msukuma kama wewe mtu wa kudandia kila kitu kilicho mbele yake
Msukuma gan kajanja kajanja kama wewe
Poa...!
Nakweli kanjanja! Furahi basi
Wakuu npo geitaa usiombe mvua inyeshe n mji wa hovyoo munooo maj yote mliman yanakujaa twn yaan geita yaa kawaidaa sn
Unaenda sawa lakini changes ni kubwa sanaMimi mwenyewe geita naenda sana sijaona ch kusfikia kwakweli...ndo maana nimeishia kushaa!
Unaenda sawa lakini changes ni kubwa sana
Usikute huyo jamaa kwao ni Lindi au HandeniKwenu palikoendelea ni wapi ili tupafananishe na usukuman tujue
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.
Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Naungana na mleta uzi Geita pamebadlika kiasi chake, mim nimezaliwa na kukulia geita toka miaka ya 90s, Elim yang ya msingi nimesoma hapo pia
Kipind hiko hakukua na soko zuri kama linalojengwa sasa,hakukua na maji kama sasa wala miundombinu ya barabara haikua rafk sana. Ilituchua hadi masaa manne kutembea kwa basi la Lushanga au Nyehunge toka Mwanza mpk Geita umbal wa km90 tu
Zaman mji uliishia Maili moja (Gerage ya Lushanga) upande wa kaskazin na Mbugani upande wa kusini ila kwa sasa ni habari nyingne kabisa
Kaz bado ipo kipind hiki ambacho imekua Mkoa maendeleo ya kijamii yanapaswa kufanana na yale tunayo yaona mikoa mingne mipya kama Njombe na Simiyu/Bariadi
Mkuu NYANZA nayoijua mimi!!?Daaaah
GESECO,KALANGALALA & NYANZA.
Some good old memories!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hata mimi zamani nilikuwa najua tax ni aina ya gari!!Hahahaa kabisa mkuu hata ikiwa subaru au athletic wao wanaita tax huwaga nachoka sana
Pombe ni pombe haiwezi kuwa juice, ata Mobutu alijenga kwao lakini sasa ivi ni magofu.Badala ya kuweka sanamu ya ng'ombe au burungutu la almasi mnakwenda kuweka machine ya kale aliyovumbua mjerumani, hivi nyie hamna ya kwenu ya kujivunia?