Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
๐ ๐ ..mkiambiwa muwe mnatoka mlipozaliwa hamuelewi..yaan ajabu sana kuja kuanzisha uzi kuisifia geita...tokeni mtembee nyie wasukuma๐ ๐Ha ha ha Manengelo mkuu hata kukosoa ni ruksa
mm hiyo minaraminara au mashine za Mjerumani za kuchenjua madini sitakiHa ha ha Manengelo mkuu hata kukosoa ni ruksa
Huo mnara uko vizuri
Shida yangu ni hivyo vifaa vilivyoonyeshwa.
Ballmill na hiyo jaw crusher.
Wametaka kureplicate fish monument ya mwanza au askari monument ya moshi.
Hivyo vifaa havina historia, ni technology inayopita.
At one point in future time hakutakuwa na maana ya kuvielezea.
Geita kuna historia nyingi zinazodumu.
Kama Lupondije
Lyambasa
Mwanamalundi
Hata hao waarabu waliojenga misikiti.
Lengo ni zuri ila utekelezaji haukuwa na fikira ya kina
mm hiyo minaraminara au mashine za Mjerumani za kuchenjua madini sitaki
wamesema Bar za hapo hazina sehemu ya kuchaji simu/umeme
je kuna nyamachoma, kilagi na Guest nzuri? maana Dar, Arusha, Dodoma hakuna dhahabu lkn nyama choma kibao na vile vitu vyetu huulizi
View attachment 1253027
Mkuu ukwaju usidanganywe na maneno ya kuambiwa inategemea mtu alienda wapi mbona haduma hizo ziko kila mahali hata mtu akienda Mji Mdogo wa Katoro vinapatikana tu.mm hiyo minaraminara au mashine za Mjerumani za kuchenjua madini sitaki
wamesema Bar za hapo hazina sehemu ya kuchaji simu/umeme
je kuna nyamachoma, kilagi na Guest nzuri? maana Dar, Arusha, Dodoma hakuna dhahabu lkn nyama choma kibao na vile vitu vyetu huulizi
View attachment 1253027
Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Geita Kuna mnara wa mashujaa na Kuna majina ya wafia nchi Cha ajabu umetelekezwa, huu mnara upo eneo linaitwa uwanja wa mashujaa.Huo mnara uko vizuri
Shida yangu ni hivyo vifaa vilivyoonyeshwa.
Ballmill na hiyo jaw crusher.
Wametaka kureplicate fish monument ya mwanza au askari monument ya moshi.
Hivyo vifaa havina historia, ni technology inayopita.
At one point in future time hakutakuwa na maana ya kuvielezea.
Geita kuna historia nyingi zinazodumu.
Kama Lupondije
Lyambasa
Mwanamalundi
Hata hao waarabu waliojenga misikiti.
Lengo ni zuri ila utekelezaji haukuwa na fikira ya kina
Kama haukuiona geita ya miaka ya 2009 hadi 2015 basi huweziona mabadiliko, ila kama uliiona Geita ya miaka hio basi mabadiliko ya sasahivi lazima yakushangaze sana. Hio round-about hapo ilikua hata haina maua kpnd kile.Sio mimi niliyesema ina maji...nimesema ni ya kawaida sana!kawaida mno!
DaaaahMji wangu niliokaa miaka minne hapo nikisoma GESECO! Hongera kwa mabadiliko makubwa. Enzi zetu mji ulikuwa vumbi jekundu sana! Usafiri ilikuwa saa 10 uko barabarani kutokea Mwanza, leo hii ni kugusa tu!
.Kama haukuiona geita ya miaka ya 2009 hadi 2015 basi huweziona mabadiliko, ila kama uliiona Geita ya miaka hio basi mabadiliko ya sasahivi lazima yakushangaze sana. Hio round-about hapo ilikua hata haina maua kpnd kile.
Ni kweli hapo palikua na nyasi fln tu za ukoka, baadae kabisa zikatolewa wakaweka maua fln hiv wanapenda sana kupanda watoto wa shule za msingi baada ya hapo ndo wakaanza kuipamba kwa vitu serious kdg..
๐คฃ๐คฃ๐คฃ.. A very good observation...kwamba maua haykuwepo๐คฃ๐คฃ๐คฃ...au umeongea kwa dhihaka mkuu!? Duh maua tu๐ค
Ni kweli hapo palikua na nyasi fln tu za ukoka, baadae kabisa zikatolewa wakaweka maua fln hiv wanapenda sana kupanda watoto wa shule za msingi baada ya hapo ndo wakaanza kuipamba kwa vitu serious kdg.
Nakumbuka hamna kitu kilikua kinaniuma kama mwonekano wa hio roundabout coz kipindi kile kila alhamisi au ijumaa ndege(baadae helicopter) ilikua inakuja kuchukua madini pale GGM lkn mji wenyewe ulikua wa hovyo sana,kiukweli haya maendeleo yalipasa kuwepo tangu zamani coz output ya GGM sio ya kitoto.
Haaahaaaaa,Daah zamani pale Round about kulikua kumepandwa mchicha,matembele,bamia palipendeza kinoma aisee.
Mkuu na wewe ulipita hapo? Kalangalala, maili moja, Mugusu kwenye machimbo yetu ya dhahabu! Loooh, kwa kweli ilikuwa raha sana!Daaaah
GESECO,KALANGALALA & NYANZA.
Some good old memories!
Kwenu palikoendelea ni wapi ili tupafananishe na usukuman tujue[emoji28][emoji28]..mkiambiwa muwe mnatoka mlipozaliwa hamuelewi..yaan ajabu sana kuja kuanzisha uzi kuisifia geita...tokeni mtembee nyie wasukuma[emoji28][emoji6]
Kwenu palikoendelea ni wapi ili tupafananishe na usukuman tujue
Geita ndio mkoa wenye magari aina ya 'hummer' mengi kuliko mkoa wowote Tz.
Naona wasukuma waliyapenda sana,maana kule gari yoyote ndogo hata ikiwa ni benz/bmw/porsche wao wanaita tu ni TAX.