APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Asante mkuu nizakale kwa kuliona hiloKweli kabisa hata mie nilifika Geita nikashangaa panavyozidi kupendeza, barabara nyingi za mitaa zimewekwa lami, mji unazidi kupanuka na ongezeko la watu ni kubwa sana. Naamini muda wowote mji huu utapandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Geita Ya 2020 siyo Geita ya 2015 ni kweli kuna kazi kubwa imefanyika kwa serikali ya awamu ya Tano,Hongera sana Mhe Pombe Magufuri Rais wetu mpendwa ,hongera sana mbunge wa Geita mjini Kamanda kanyasu Hongera sana mwenyekiti wa halmashauli na madiwani wote ,hongera sana mkurugenzi wa mjini kwa usimamizi bora kabisa wa kazi ,hongera sana wananchi as Geita kwa kuwa wa kwanza kuanzisha soko la Dhahabu pongezi zako mkuu wa Mkoa Luhumbi kwa kuchangamkia fulsa.
Lutome thanks
Badala ya kuweka sanamu ya ng'ombe au burungutu la almasi mnakwenda kuweka machine ya kale aliyovumbua mjerumani, hivi nyie hamna ya kwenu ya kujivunia?Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Tatizo hakuna Town Centre na baa zao hazina sehemu za kuchajia simu kwa wateja.Kweli kabisa hata mie nilifika Geita nikashangaa panavyozidi kupendeza, barabara nyingi za mitaa zimewekwa lami, mji unazidi kupanuka na ongezeko la watu ni kubwa sana. Naamini muda wowote mji huu utapandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Majangata Mkuu uko sawa kabisa kwa sasa Geita to Mwanza ni kugusa tu pongezi kwa seriali.Mji wangu niliokaa miaka minne hapo nikisoma GESECO! Hongera kwa mabadiliko makubwa. Enzi zetu mji ulikuwa vumbi jekundu sana! Usafiri ilikuwa saa 10 uko barabarani kutokea Mwanza, leo hii ni kugusa tu!
Kuna watu inawauma sana.Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili na utali kwa kazi nzuri anazo zifanya jimboni kwake.Hata hivyo kuna kazi kubwa inafanywa na viongozi walio site hivyo nampongeza mkuu wa mkoa wa Geita Engineer Robert Gabriel Luhumbika,kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali fedha na kuhakikisha zinafanya kazi iliyokusudiwa bila kumsahau mkurungezi mtendaji wa Geita Mji.
Wakuu npo geitaa usiombe mvua inyeshe n mji wa hovyoo munooo maj yote mliman yanakujaa twn yaan geita yaa kawaidaa sn
Mkuu barafuyamoto kwa kweli watu wanaumia sijui kwa nini?? Uko sahihi 100% Mji kupendeza wanachukiaKuna watu inawauma sana.
Upo Geita ipi mkuu ambayo ina maji kiasi hicho, Hata hivyo Kama huwezi kuona maendeleo inawezekana unahitaji miwaniMimi mwenyewe geita naenda sana sijaona ch kusfikia kwakweli...ndo maana nimeishia kushaa!
Upo Geita ipi mkuu ambayo ina maji kiasi hicho, Hata hivyo Kama huwezi kuona maendeleo inawezekana unahitaji miwani
MkuuTakakeisho uko sawa kabisa sema kuna watu wanaumia na maendeleo ya Mji GeitaSehemu zote mvua ikinyesha Tanzania ni hovyo kuanzia mji namba moja DSM hadi wa mwisho Katavi.
Geita unaweza kwenda kuishi Mkoani, Nyamalembo, Mwatulole, Shilabela hata Nyankumbu ambako kuko juu japo bado ni mji wa kawaida ila taratibu watafika
Ha ha ha Manengelo mkuu hata kukosoa ni ruksaSio mimi niliyesema ina maji...nimesema ni ya kawaida sana!kawaida mno!