Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
uhuni tu![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!

Nimefika Dubai napajua vizuri sana....wala siko hapa kulinganisha miundombinu bali kuhakikisha na sisi tunajenga miundombinu ya maana kwa ajili sisi wenyewe na wageni wanaokuja kwetu.
Sasa huyo jamaa sijui anaenda wapi huko?![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
[emoji3] [emoji3]![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
View attachment 782610
Hii ni barabara mpya four ways ya Sakina - Tengeru ambayo ndiyo iko katika hatua za mwisho mwisho kukamilika matengenezo yake katika Jiji la Arusha.
Kwa wale ambao walifika Arusha miaka michache iliyopita wakifika leo watapigwa na bumbuwazi kwa kutoamini maendeleo yaliyofanyika kujengwa kwa four ways Arusha.
hii barabara inasimamiwa na jiji sio ya tanroadooh anajenga chato tu mengine tunamsingizia!
Huyo kaforce, anaenda ingia pale hiace inapotokea, zile roads pembeni gari zinaweza kwenda opposite.![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
Ushamba wa barabara Ar bado ni tatizo kubwa kwa madereva wengi![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
Mke Tanga si tamu kivileHahahaha....
Kama utamu wa jiji hili ni interms of soda basi Tanga watakuwa juu...
Wao wana Heltho...tamu kweri kweri.(in Le Papaaz voice)
aisee....watu wa mikoani mnatuaibisha "![]()