Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
😀😀😀
![]()
Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
Hata kama ingekuwa ni vitongoji vya Dubai lakini kwa upande wetu ukilinganisha na tulikotoka tumepiga hatua hakuna shida wewe nenda kaishi huko Dubai sisi tutaendeleza nchi yetu hatua kwa hatuaHizo barabara ni kama vijiji vya dubai/Oman 😀😀😀 bado tuko nyuma sana
Hapo anaona yopo sawa tu ngoja asogee mbele kitakachomkuta atasimulia maishaniNa ukute ndio katoka kulamba cha Ngaramtoni basi hata hizo lane hazioni...mwendo wa zigzag
Hata kama ingekuwa ni vitongoji vya Dubai lakini kwa upande wetu ukilinganisha na tulikotoka tumepiga hatua hakuna shida wewe nenda kaishi huko Dubai sisi tutaendeleza nchi yetu hatua kwa hatuaHizo barabara ni kama vijiji vya dubai/Oman 😀😀😀 bado tuko nyuma sana
Naona ukaamua uanzishie uzi wake kabisa,Arusha ni moja kati ya miji mitamu hapa Tanzania, wana soda fulani hivi inaitwa Krest ginger ale
Acha uongo wewe unavijua vijiji vya Dubai na Oman!?Hizo barabara ni kama vijiji vya dubai/Oman 😀😀😀 bado tuko nyuma sana
Acha uongo wewe unavijua vijiji vya Dubai na Oman!?
Vifodi au chai maharage[emoji23] [emoji23] .longtime[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hyu hajakutana na wale madereva vichaa wa viford tena yule kule anakuja lazima alilishwa matusi yakushiba
Chai maharage ni Zanzibar mkuuVifodi au chai maharage[emoji23] [emoji23] .longtime
Weka pichaNdiyo
Hata arusha zilikuwepo nakumbuka nimepanda sana moshi arusha miaka ya 89 hadi 90Chai maharage ni Zanzibar mkuu
Hata kama ingekuwa ni vitongoji vya Dubai lakini kwa upande wetu ukilinganisha na tulikotoka tumepiga hatua hakuna shida wewe nenda kaishi huko Dubai sisi tutaendeleza nchi yetu hatua kwa hatua
Weka picha
ooh anajenga chato tu mengine tunamsingizia!