Muonekano mpya wa barabara za Jiji la Arusha

Uwe unafanya toure ndani ya nchi yako uenjoy, kazi inayo fanywa na serikali ya awamu ya tano... Hizo barabara ni za vijijini

Hii ni kutoka Mbeya kwenda Chunya.

Hapa ni Tarime Bunda
DdpJyxaUQAAiCWO.jpg:small

Enjoy Kiwira-mbeya City Road
Dcx86ViX4AElcte.jpg:small
Kiwira mbeya nimepita sana hiyo barabara imetulia imeharibika kipande kidogo cha kuelekea boda
 
Uwe unafanya toure ndani ya nchi yako uenjoy, kazi inayo fanywa na serikali ya awamu ya tano... Hizo barabara ni za vijijini

Hii ni kutoka Mbeya kwenda Chunya.

Hapa ni Tarime Bunda
DdpJyxaUQAAiCWO.jpg:small

Enjoy Kiwira-mbeya City Road
Dcx86ViX4AElcte.jpg:small
Nimeitumia barabara ya Mbeya-Chunya tangu enzi za Land cruiser, nauli ikiwa sh.8000. Kufikia 2014 rami ilikuwa imewekwa sehemu kubwa japo ilikuwa kwa vipande vipande.
Awamu ya tano na barabara ya Mbeya-Kiwira inahusika vipi?
 
Jk alitoa hela? Miradi yote ipo ndani ya ilani ya ccm. Hela inaidhinishwa na bunge
bunge lina hazina? linapitisha fedha ambazo kiongozi mkuu anajua zimefikaje hazina iwe kwa kitembea na bakuli nje ya nchi n.k nani alifanya hiyo kazi? bunge?
 
Nimeitumia barabara ya Mbeya-Chunya tangu enzi za Land cruiser, nauli ikiwa sh.8000. Kufikia 2014 rami ilikuwa imewekwa sehemu kubwa japo ilikuwa kwa vipande vipande.
Awamu ya tano na barabara ya Mbeya-Kiwira inahusika vipi?
Zimesimamiwa na Magufuli wakati akiwa waziri na miradi ipo ndani ya ilani ya ccm
 
bunge lina hazina? linapitisha fedha ambazo kiongozi mkuu anajua zimefikaje hazina iwe kwa kitembea na bakuli nje ya nchi n.k nani alifanya hiyo kazi? bunge?
Kama bunge lisinge idhinisha bajeti ya wizara ya ujenzi, ufipa ndiyo wangetoa hizo hela?
 
ddsvxnjvwaiuret-jpg.782610

Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
Design ya hii barabara sehem nyingi imekosewa sana kama ile barabara ya mwenge-tegeta.
Mfano, pale katikati ya mianzin na triple A kuna petro station, hotel na feeder road flan ndogo hv, lkn ukitaka kuingia hapo ni lazima upitie wrong way kwnz ndio itafaniķiwa.
Kuna carwash pia, jamaa kaamua kitengeneza mwenyewe kipande cha kuingia kwake coz alikosa wateja kbs.
 
hilo ni tatizo
 
Back
Top Bottom