Muonekano mpya wa barabara za Jiji la Arusha

Muonekano mpya wa barabara za Jiji la Arusha

View attachment 782610
Hii ni barabara mpya four ways ya Sakina - Tengeru ambayo ndiyo iko katika hatua za mwisho mwisho kukamilika matengenezo yake katika Jiji la Arusha.

Kwa wale ambao walifika Arusha miaka michache iliyopita wakifika leo watapigwa na bumbuwazi kwa kutoamini maendeleo yaliyofanyika kujengwa kwa four ways Arusha.
Nasema hivi shikamoooo Lema!
 
wamepindisha barabara baadhi ya maeneo ili upanuzi usifanyike, hapa ni opposite mount meru hotel,(DTB bank) hii ndio sehemu haijaguswa kabisa kuanzia tengeru hadi sakina
IMG_20180105_145658.jpg
 
ddsvxnjvwaiuret-jpg.782610

Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
U r a GT salute u bro with an eagle eye. am sure u perfomed well in ur studies.

Tatizo sasa mahaba
 
ddsvxnjvwaiuret-jpg.782610

Kuna Noah au Alphad upande huu wenye bodaboda inaenda WRONG-WAY....Ndio ugeni wa dual carriageway?!!!
Kaka hizi barabara kiukweli hazujakamilika hivyo kuna sometimes wanaruhusu kutumia hivyo barabara
 
Arusha sasa imeanza kuwa jiji.....ila naona bado wengi hawajazoea hizo barabara maana kuna dereva hapo amevuta bangi kabisa......
 
Jambazi Jambazi Jambazi... Muogope Mungu wako.
Uwe unafanya toure ndani ya nchi yako uenjoy, kazi inayo fanywa na serikali ya awamu ya tano... Hizo barabara ni za vijijini

Hii ni kutoka Mbeya kwenda Chunya.

Hapa ni Tarime Bunda
DdpJyxaUQAAiCWO.jpg:small


Enjoy Kiwira-mbeya City Road
Dcx86ViX4AElcte.jpg:small
 
Back
Top Bottom