Muonekano mpya wa barabara za Jiji la Arusha

Muonekano mpya wa barabara za Jiji la Arusha

Kama bunge lisinge idhinisha bajeti ya wizara ya ujenzi, ufipa ndiyo wangetoa hizo hela?
Sasa kwa nini awamu hii bunge linanyang'anywa mamlaka ya kuamua matumizi ya serikali, kama anatambua kuwa bunge lilikuwa linasimamia kipindi yeye akiwa waziri?
 
Uwe unafanya toure ndani ya nchi yako uenjoy, kazi inayo fanywa na serikali ya awamu ya tano... Hizo barabara ni za vijijini

Hii ni kutoka Mbeya kwenda Chunya.

Hapa ni Tarime Bunda
DdpJyxaUQAAiCWO.jpg:small


Enjoy Kiwira-mbeya City Road
Dcx86ViX4AElcte.jpg:small
Mkuu hiyo barabara ya kiwira-mbeya ni ya zamani me nimepita hapa kwa mara ya kwanza 2014 then unasema ni kazi ya awamu ya 5
 
Panafanana na kipande cha Kigogo round about kuja Magomeni mikumi Dsalaam.
 
View attachment 782610
Hii ni barabara mpya four ways ya Sakina - Tengeru ambayo ndiyo iko katika hatua za mwisho mwisho kukamilika matengenezo yake katika Jiji la Arusha.

Kwa wale ambao walifika Arusha miaka michache iliyopita wakifika leo watapigwa na bumbuwazi kwa kutoamini maendeleo yaliyofanyika kujengwa kwa four ways Arusha.
Inapendeza.....
 
Back
Top Bottom