Munich Security conference: Netanyahu awakebehi Waajemi

Mnajiuliza nn chanzo,hiyo middle east ni sehemu ya kufanyia majsribio ya silaha na ubora wa medani kwa wazungu kwa kuwapandikiza fitina mambumbumbu ya huko kwa kutumia dini na siasa
 
I am humbled kuitwa huku na mwanazuoni Malcom Lumumba kushiriki Kwenye huu mjadala. Nikianza na Legal system ya nchi kama Tanzania, Kifungu cha 4 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kinaelezea kuhusu mugawanyo wa madaraka wa mihimili ya serikali kama, Bunge, Executives na Mahakama. nimeanza kusema hivi kwa sababu kuna hoja huko mbele itakayojibiwa kuhusu Legal system, Katiba and jurisprudence. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Mfumo wa kisheria nchini Tanzania unategemea sheria ya kawaida ya Kiingereza ( English common law).. Hata hivyo Kwa mjibu wa ibara ya 2 of the Judicature and Application of Laws Act, Cap. 358, common law, doctrines of equity and statutes of general application are enforceable in Tanzania. Kwa mantiki ya kifungu cha sheria hapo juu, sisi tuliotawaliwa na waingereza tumejikuta tukitumia English Legal system, ingawa siyo wote e.g America etc. Baada ya utangulizi huu, nijikite kwenye kujibu hoja.though katika upembuzi wangu haraka haraka, nimeweza ku-note vitu vifuatavyo kutoka kwa mchambuzi wa awali comredi
myplusbee kama ambavyo nitaonyesha hapo chini;-

  1. Either mchambuzi hafahamu maana ya legal system, utendaji kazi wake na chanzo chake...
  2. Either Hafahamu maana ya jurisprudence na mapana yake..
  3. Either Ametawaliwa na hisia/emotions na kushindwa kujenga hoja bila kuathiri taratibu nyingine..
vyovyote itakavyokuwa, mimi naamini hakuna anayejua yote. ndo maana tupo kujifunza kila siku. kama Lord denning alivyosema, If we never do anything which has not been done before, we shall never get anywhere.

Nini maana ya Legal system? ni mfumo unaohusu utaratibu au mchakato wa kutafsiri na kutekeleza sheria. Inafafanua haki na majukumu kwa njia mbalimbali. Three major legal systems of the world consist of civil law, common law and religious law. Nijuavyo mimi nchi kama Iran mfumo wa kisheria rasmi ni muunganiko wa maadili na usomi /uwanazuoni kutoka kwa Uislam na tamaduni za Ki-Persia. Iran inafuata Islamic legal system na iko identified kama Islamic state.

kwa kuzingatia maelezo hapo juu, huwezi kutenganisha Sheria za dini nje ya Legal System hasa kwenye nchi ambayo ni ya Kiislamu kikatiba kama Iran.

Article 114 of Iran Constitution: It provides, The President of the Republic is elected for four years by the direct vote of the people. His consecutive election is allowed just for one additional term. Sina cha kuongeza wala kupunguza.

Article 115: The President of the Republic must be elected from among the religious and political elite who meet the following qualifications: Iranian origin, Iranian nationality, administrative leadership, clear past record, honesty and piety, believing in the fundamentals of the Islamic Republic of Iran and the official religion of the country.

Bila hata kwenda mbali, Rais anachaguliwa kwa mujibu wa katiba inayotokana na sheria za kidini yenye kulinda maadili, desturi, taratibu na mila za dini ya kiislam. kwa tofasiri nyingine, ili uweze ku-qualify kuchaguliwa kuwa rais nchini Iran-lazima uwe fundamentalists na muumin mkubwa wa uislam. (emphasis is mine)

Labda nikuulize ndugu, uliposema "Tafuta katiba ya Iran Article 114 to 132 ndiyo inaelezea kwa kirefu hii Executive Power halafu rudi hapa na hizo habari za Islamic Laws!" Je ulisoma na kuelewa vifungu hivyo?" kama ni hapana, basi shaka ondoa mkuu, that's why tupo kujadili @myplusbee

Mkuu Prof,
I am always intrigued by your unique ability and desired savvy in understanding the law beyond books (Law in action).
Hili ndilo tunatakiwa tuwajengee wasomi wetu wote wanaosoma Sheria, Siasa na masomo mengine ya sayansi ya jamii.
Mwisho wa siku ni lazima tufike mahali tukubali kwamba hakuna anayejua kila kitu na hatakuwepo, na mtu yeyote msomi kamwe hatakiwi kuwa na jibu moja tu kichwani: Kwasababu mifumo ya dunia hii ya leo inabadilika kila saa na dakika.

NB: Tufike mahali kama watanzania tufahamu kwamba tunaporuhusu uhuru wa kukosoana kitaaluma ndipo bongo zetu zinapata upenyo wa kutanuka kufikiri zaidi na zaidi. Kwasababu elimu yatu hii ya leo ni matoke ya mijadala ya kitaaluma iliyofanywa na wanazuoni wa karne zilizopita. Kama ambavyo wachina wanasema "Let a hundred flowers bloom, let a hundred school of thoughts contend" au Karl Marx alivyosema "Thesis against Antithesis equals to Synthesis". Mkuu Prof, once again I am deeply humbled na nashukuru kwa muda wako, kwasababu binafsi mbali na kusoma sana haya mambo leo tena umeniongezea kitu kipya cha jinsi ya kuangalia Legal Systems.

Cheers Mkuu!
 
Tuko pamoja mkuu. ngoja niki-settle tutasemezana zaidi. Otherwise, natanguliza shukrani. You Inspire me...Bless up
 
Middle east inakosa amani sababu ya hawa wayahudi....Binafsi naona wayahudi ni watu ambao wanaubaguzi sana...ni watu ambao hawataki kuchangamana na watu wengine....na hili ndo tatizo...ukiangalia katika historia ya ulimwengu jamii nyingi zimekua zikiingiliana...kwa kuoana ,kuzaliana na hivyo kutengeneza jamii nyingine ambayo inakua ni mchanganyiko wa jamii husika...ni kama hapa Tz..nafikiri miaka 100 mbele makabila yatakufa, sababu watu wanachangamana sana....
Wayahudi wako kivyao, hawataki.wanawaona wenzao kama race ndogo tu....Wayahudi waliwasuppport sana wazungu wa South Africa wakati wa Apartheid...waliwapa silaha etc....
Hawa jamaa historia yao ni ugomvi tu...ukisoma biblia kiujumla utaona Mungu anawapa nchi ambayo sio yao na tayar inakaliwa na wengine matokeo yake ndo haya sasa...watu hawakubali
Naweza kukubaliana na wewe hoja nyingine ila kuhusu kuchangamana siyo wao tu . Wahindi , Wachina ,na Waarabu hawachangamani pia
 
Duh haya maswali ni magumu sana umemuuliza watu wengi sana wana chukuliaga Iran kama nchi ya kiisalam 100% mwanzo ata mimi nilijuwaga hivyo nikakutana na bint mmoja kuongea naye kavaa kama katokea kuswali kumuuliza jina nikashangaa wa 2 naye hivyo hivyo wa 3 naye hivyo hivyo !!
Dah
Nimeijua Iran 2010 na kabla ya hapo nami nilikuwa naichukulia Iran kama wengi wanavyodhani! Wengi wanaoifahamu Iran kupitia Google wanajikita sana kwenye neno "Islamic country" basi ndo wanadhani kila kitu pale ni Quran!

Hata huu ubishani wangu na Malcom Lumumba ni kwa sababu tu yupo blinded na suala la Iran kuwa nchi ya Kiislam na kutamka kwamba inafuata Islamic Laws bila kufahamu mapana ya mfumo mzima wa sheria upo vipi!

Na watu wakiona Islamic law akili yao yote inawapeleka like how Saud Arabia works kumbe kuna nchi nyingi sana za Kiislam zinazofuata Islamic Laws lakini general practice ipo tofauti na Saudi Arabia ambao wako too consecutive with what they call Islamic Laws ambazo kimsingi zingine wala sio Islamic Laws!

Kuhusu huo mfano wa rafiki yako nami kwa mara ya kwanza nilishangaa nilipotua Tehran... the heart of Iran!

Wakati naamini hapa sasa hakuna ku-dodge salah; nakuta mmoja wa wenyeji wangu hata kufunga Ramadhan hafungi... Ramadhan ambayo hata walevi wa Tanzania haiwashindi!

Mambo mengi unayoweza kufanya Iran huwezi kuthubutu kufanya Saudi Arabia lakini watu wakisikia Iran ni Islamic country with Islamic Laws moja kwa moja wanavuta picha ya Saudi Arabia bila kufahamu ingawaje Iran ili-introduce Islamic Laws lakini hawakufuta all civil laws zilizokuwa zinatumika before revolution!

Na hata zile Civil Laws zilizofutwa after 1979 revolution; zingine zilirudishwa kwenye mabadiliko ya katiba ya 1982 presumably baada ya kuanza madness ya matumizi ya Islamic Laws na kuanza ku-excute watu hovyo hovyo kama walivyokuwa wanafanya Taliban!

Na hata ukiangalia political system ya Iran na Saudi Arabia ni tofauti ingawaje zote ni Islamic countries practicing Islamic Laws
 
100% Atakuwa amejifunza na kuelewa mkuu
umetoa somo zuri na lakueleweka kwa mtu mwenye mawazo huru,
wa Tanzania wengi sana huwa huongelea vitu ambavyo hawa vijuwi hutoa hukum bila kuelewa !
Ukimwambia mtu leo kuwa apo middle east malaya wengi niwa wa Iran na wengi wao sio waislam dah iliniumiza kichwa sana mtu kavaa kama katoka kuswali kumbe anaitwa juliana exposure ni kitu muhimu sana katika maisha !
 
Now i understand your confusion,
Hukunilewa mkuu kabisa nilivyosema kuhusu Legal System ya Iran kuwa A Holistic One.
Hapa ndipo shida ilipoanzia kwasababu wewe ulisema mimi nakuletea maneno ili nionekane niko deep(You were prejudiced)
Kisheria tunavyosema A Legal System is a Holistic One we mean it is an amalgamation of different or diverse set of laws, principles, jurisprudence and practice. Henceforth, Iranian Legal System is a hybrid creature of Islamic Laws, Positive Laws (Non Islamic Laws), Traditional practices (Persian practices) and Foreign Law (French Code/Roman Law).

Pia umechanganya mambo mawili yananyofanana lakini siyo kitu kimoja.
Umechanganya ISLAMIC LEGAL SYSTEM na SHARIA LAWS vitu ambavyo vinafanana lakini siyo kitu kimoja.
Tunaposema Islamic Legal System ni MFUMO na tunaposema Sharia Laws ni mkusanyiko wa kanuni na taratibu za kiislamu. Hivyo Sheria za kidini ni sehemu moja inayounda mfumo wa Sheria (Legal System). Ni lazima tuzielewe hizi tofauti mbili ili tuweze kuelewa mfumo wa Siasa wa Iran.

Tunaposema Islamic Legal System ni kwamba mfumo mzima wa Sheria za nchi unaundwa kutoka kwenye maadili ya dini ya Kiislamu. Sasa hapa kuna mambo makubwa mawili, aidha nchi inayofuata huu mfumo itaamua kabisa kwamba inajikita kwenye Mfumo wa dini ya Kiislamu pekee au itaweza kutohoa baadhi ya mambo kwenye vitu vingine nje ya dini ya Uislamu. Iran tangia kipindi cha Shah kama anavyosema Prof. Gordon Baldwin ni kwamba waliamua kuongezea vitu vingine nje ya mfumo wa sheria ya kidini. Hivyo basi wakaamua kuweka Customary Laws (Persian Law) na Positive Laws (Laws Made by the parliament) and Foreign Laws (French Codes). Baada ya mapinduzi ya Kiislamu ya 1979 Iran ilibadilika na kuwa Jamhuri ya Kiislamu inayofuata Islamic Legal System lakini bado wakaamua kuruhusu mfumo wao uwe na mambo mengine nje ya dini ya kiislamu.

Ndiyo sasa wakaruhusu:
  • Sheria za kimila za Kiajemi (Persian Customary Laws),
  • Sheria za Bunge (Positive Laws),
  • Sheria za nje ya nchi (Foreign Laws)

NB 1: Hizi sheria zinafanya kazi mkono kwa mkono na Sheria za kidini japo sasa ili hizi sheria zifanye kazi vizuri ni lazima ziwe zinaendana na maadili na dini ya Kiislamu kwasababu ndiyo msingi wa taifa. Kuamua kubomoa Makanisa na kulazimisha watu kufanya Mfungo ni uamizi tu wa watawala (Administrative Action) ambao utategemea wao wametunga sheria ambazo zinasema kwamba "Nchi hii ni lazima ifuate mfumo wa dini ya kiislamu pekee" Hivyo basi katika ISLAMIC LEGAL SYSTEMS mbali mbali za dunia kuna nchi ambazo zinatilia mkazo maadili ya dini ya Kiislamu kama ilivyo kule Saudi Arabia na United Arab Emirates na kuna zile ambazo hazitegemei sheria za dini pekee kama ilivyo Iran japo zote zinafuata ISLAMIC LEGAL SYSTEM.

NB 2: Hivyo tunavyosema Iran ni nchi ya Kiislamu na inafuata ISLAMIC LEGAL SYSTEM wala mimi na ndugu Prof hatujakosea kabisa. Iran inafuata sheria za dini ya Kiislamu japo haitegemei tu sheria za dini ya Kiislamu kama chanzo pekee cha kuendeshea maisha ya watu wake. Ndiyo maana hata Tanzania tunafuata Common Law Legal System lakini mfumo wetu unaruhusu kabisa kutumia sheria za kidini na za kimila endapo tu hazihatarishi ustawi wa jamii kwasababu Tanzania yetu haina dini wala kabila. Hapa pana Ugumu gani kuelewa hili ???

NB 3:
Miaka ya 1960's kulikuwa na kitu wanaitwa COMMON WEALTH COUNTRY JUDICIAL CAPACITY BUILDING.
Walikuja Majaji tokea nchini Uingereza ambao walisaidia nchi mbali mbali za Afrika zilizotawaliwa na Uingereza katika kujijengea mifumo yao ya Sheria. Kuna mjadala mkali uliibuka kwamba Tanganyika itumie mfumo gani wa Kisheria: Maana tangia ipate uhuru wake 1961 sheria zilisema kabisa tutatumia COMMON LAW. Lakini Lord Denning akasema hivi "Common Law is one of the most progressive legal system in the world that would suit an folk, but it must be remembered that whilst some common law practices may be very suitable for the English society: They may turn out to be repugnant within the African society" Ndiyo mwanzo wa sisi kutengeneza JUDICATURE AND APPLICATIONS OF THE LAWS ACT ili tuweze kuruhusu mfumo wetu uwe na vitu vingine mbali na sheria za Mkoloni: Hilia ameliongelea ndugu Prof hapo juu.

Kuhitimisha,
Tunaposema ISLAMIC LEGAL SYSTEM hatumaanishi kwamba nchi inafuata mifumo ya The Medieval Islamic Caliphate. La hasha, hapa inabidi utumie muda wako kuangalia mfumo wao unaruhusu kutumika kwa Sharia Law katika kiwango kipi. Pia tusisahau kwamba Law is a political phenomenon, siasa ya nchi ina nafasi kubwa sana ya kuendesha mfumo wa Sheria za nchi; hivyo basi hata kama nchi kama Iran na Saudi Arabia zinafuata Mifumo ya dini ya Kiislamu lakini kwasababu siasa zao ziko tofauti basi ni lazima kuna mambo katika mifumo yao za kisheria yatakuwa ni ya tofauti tu.
 
Mkuu sisi tunaongelea ISLAMIC LEGAL SYSTEM as the vehicle of Administration within The Republic of Iran.
Haya ya malaya wengi kuwepo mashariki au kuwepo na watu wasiyo waislamu nchi Iran havihusiani kabisa.
Halafu kwanini mnashambulia watu (Personal Attacks) bila hata kusoma hoja zilizoandikwa ???
 
Wakuu Malcom Lumumba na myplusbee tafadhali turudini kwenye mjadala wa ushiriki wa Russia ya Putin kwenye mzozo wa mashariki ya kati pamoja na uundwaji wa NWO kama mada ilivyoanza.
Ninachopenda kufahamu hasa ni nani yuko pamoja na Putin pia sababu zinazopelekea marekani kuwa mfuasi wa matamanio ya kataifa kadogo kama Israel kuitawala dunia. CC Elungata na Eiyer kama atafika pande hizi
 
Prof,

Naomba nikujuze mwanzo wa hili suala ilikuwa ni namna gani Rais wa Iran anachaguliwa, possible re-election and possible come back after serving 8 years!

Hapa nikazungumza rais wa Iran anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na nikatolea mfano kwamba katiba yao inafanana na Tanzania!

Hapa ndipo tulipotofautiana na Malcom Lumumba kwamba how come nilinganishe nchi inayofuata Common Law (Tanzania) na nchi inayofuata Islamic Laws! The way you guys talk it's like mkisikia Iran inafuata Islamic Laws ndo basi tena Iran ni kama Saudi Arabia huku mkisahau kwamba pamoja na kwamba Iran ni theocratic country lakini pia ni democratic republic na ndio maana pamoja na chuki zao zote dhidi ya Wayahudi but still Wayahudi wana uwakilishi bungeni as per the very same Islamic Law!

Nilichogundua kuna conflict of understanding kati yangu na yenu!

Wakati nyinyi mnalichukulia neno Islamic Laws kama lilivyotumika kwenye katiba bila kujali practical usage mimi nachukulia what could exactly look like kama huyo rais angekuwa anapatikana according to Islamic Laws bila kujali general usage of Islamic Laws phrase in the constitution!

Angalia strict iliyomo kwa sifa za kuwemo in Guardian Council na The Assembly of Experts halafu linganisha na sifa za Rais ambazo there's nothing serious zaidi common/general requirements!

Kwa nchi kama Iran kusema mgombea awe from religious so and so hiyo sio issue kwa sababu dini ni mfumo wao wa maisha; ni sawa na nchi kama US wakisema mgombea ni lazima awe Mkristo! Hiyo haiwezi kuwa issue kwa sababu majority ni Christians na hiyo inakuwa ni general requirement tu ambayo hata kama usingeiweka still chance ya kupata mgombea asiye Mkristo ni less than 5% na chance ya kupata rais asiye Mkristo ni less than 0.5%!

Aidha, nizungumzie hiyo Article 115!

Rais anatakiwa awe elected from AMONG Religious & Political Elites!

Kwenye maelezo yako naona umejikita sana kwenye dini kama kigezo; tena fundamentalism wakati katiba imesema wazi Rais anaweza kutokana miongoni mwa vikundi vya dini na POLITICIANS lakini emphasis ikiwa kwenye kuamini in fundementals of the Islamic Republic of Iran and official religion lakini emphasize sio kuwa religious fundementalist!

Again, in practical sense hiyo ni general requirement that can be met by majority of Iranians!

Lakini hao religious fundamentalists uliowataja ni part of Iranian Legal Systems kama wanaopatikana kwenye the Guardian Council & Assembly of Expert bila kumsahau Supreme Leader mwenyewe ambao being a Muslim isn't enough! Kuwa Mwislam unayekung'uta Sala 5 bila ku-miss huku ukiwa tayari kupigania Uislam still not enough hayo yanaweza kufanywa na "Mwislam" yeyote hata asiye na uwezo wa kuhifadhi japo juzuu moja! Fanya ufanyayo; place your vow before God or anyone else; but are you a Muslim Scholar? Are you an expert in Islamic Laws?

Yote hayo hayapo kwenye requirement ya urais!

But again; hata hiyo Assembly of Experts; ni nusu tu ya wajumbe ndio wanatakiwa kuwa wataalamu wa Islamic Laws huku nusu yake requirement ni expertism in Civil Laws!
 
Mkuu hujasoma bandiko langu [HASHTAG]#109[/HASHTAG].
Ambapo nimesema dhahiri kabisa kwamba Iran wanafuata Islamic Legal System.
Japo mfumo wao uko tofauti kabisa na Saudi Arabia kwasababu umeruhusu sheria za Kimila (Customary Laws), Sheria za Bunge (Positive Laws) na Sheria za nje (Foreign Laws). Ndiyo maana nikasema neno MFUMO au SYSTEM: Ambapo kwa lugha rahisi tu, mfumo ni muunganiko wa vitu vingi vinavyofanya kazi tofauti tofauti ili kutimiza lengo moja.

NB: Iran ni Jamhuri ya Kiislamu lakini wako tofauti kabisa na Saudi Arabia.
 
Nilikuambia punguza ujuaji baada ya post zako kujaa terms like "hivi unajua hiki wewe; hivi unajua kile" huku base yako ikiwa kwenye texts huku mimi nikijikita kwenye uhalisia bila kujali legal terms!

Na ni kutokana na hilo ndo maana nilisema kabla kwamba ingawaje Iran inafuata Islamic Law with Islamic Legal system lakini practically legal system of Iran ipo very complex na kwahiyo huwezi ku-generalize Islamic Laws to every aspect of life!

Na ni kutokana na hilo ndo maana nikasema ingawaje Iran ni Islamic state with Islamic Laws lakini upatikanaji wa rais wake ni purely modern democratic hata kama kuna general requirements zinazoakisi religious issues kwa sababu religion is part of their life!
 
Mkuu hujasoma bandiko langu [HASHTAG]#109[/HASHTAG].
Ambapo nimesema dhahiri kabisa kwamba Iran wanafuata Islamic Legal System.
Japo mfumo wao uko tofauti kabisa na Saudi Arabia kwasababu umeruhusu sheria za Kimila (Customary Laws), Sheria za Bunge (Positive Laws) na Sheria za nje (Foreign Laws). Ndiyo maana nikasema neno MFUMO au SYSTEM: Ambapo kwa lugha rahisi tu, mfumo ni muunganiko wa vitu vingi vinavyofanya kazi tofauti tofauti ili kutimiza lengo moja.

NB: Iran ni Jamhuri ya Kiislamu lakini wako tofauti kabisa na Saudi Arabia.
Na hii ndiyo hoja yangu na nimeisema kabla kwamba Legal System ya Iran ni very complex hata kama general texts zinasema Iran inafuata Islamic Law.

Na si kwamba hizo general texts na katiba vinakosea kusema Islamic Law bali ni msisitizo tu kwamba whatever the law is lakini isiwe against Islamic system. So, it's more of being kutokwenda kinyume na maadili ya Kiislamu kuliko sheria husika strictly kufuata maadili ya Kiislamu.

Hiyo post yako 109# of course nilikuwa sijaisoma kwa sababu sikuwepo online.
 
Wakuu Malcom Lumumba na myplusbee tafadhali turudini kwenye mjadala wa ushiriki wa Russia ya Putin kwenye mzozo wa mashariki ya kati pamoja na uundwaji wa NWO kama mada ilivyoanza.
Ninachopenda kufahamu hasa ni nani yuko pamoja na Putin pia sababu zinazopelekea marekani kuwa mfuasi wa matamanio ya kataifa kadogo kama Israel kuitawala dunia. CC Elungata na Eiyer kama atafika pande hizi
Mkuu Malcom Lumumba, tuchukue ushauri wa huyu Mheshimiwa manake Legal System ya Iran ni universal debate ambayo hapa wala haitapata muafaka kwa sababu pamoja na yote tuliyojadili lakini tumeongelea just a fraction of Iranian constitution.
 
Prof,

Naomba nikujuze mwanzo wa hili suala ilikuwa ni namna gani Rais wa Iran anachaguliwa, possible re-election and possible come back after serving 8 years!

Hapa nikazungumza rais wa Iran anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na nikatolea mfano kwamba katiba yao inafanana na Tanzania!

Hapa ndipo tulipotofautiana na Malcom Lumumba kwamba how come nilinganishe nchi inayofuata Common Law (Tanzania) na nchi inayofuata Islamic Laws! The way you guys talk it's like mkisikia Iran inafuata Islamic Laws ndo basi tena Iran ni kama Saudi Arabia huku mkisahau kwamba pamoja na kwamba Iran ni theocratic country lakini pia ni democratic republic na ndio maana pamoja na chuki zao zote dhidi ya Wayahudi but still Wayahudi wana uwakilishi bungeni as per the very same Islamic Law!

Nilichogundua kuna conflict of understanding kati yangu na yenu!

Wakati nyinyi mnalichukulia neno Islamic Laws kama lilivyotumika kwenye katiba bila kujali practical usage mimi nachukulia what could exactly look like kama huyo rais angekuwa anapatikana according to Islamic Laws bila kujali general usage of Islamic Laws phrase in the constitution!

Angalia strict iliyomo kwa sifa za kuwemo in Guardian Council na The Assembly of Experts halafu linganisha na sifa za Rais ambazo there's nothing serious zaidi common/general requirements!

Kwa nchi kama Iran kusema mgombea awe from religious so and so hiyo sio issue kwa sababu dini ni mfumo wao wa maisha; ni sawa na nchi kama US wakisema mgombea ni lazima awe Mkristo! Hiyo haiwezi kuwa issue kwa sababu majority ni Christians na hiyo inakuwa ni general requirement tu ambayo hata kama usingeiweka still chance ya kupata mgombea asiye Mkristo ni less than 5% na chance ya kupata rais asiye Mkristo ni less than 0.5%!

Aidha, nizungumzie hiyo Article 115!

Rais anatakiwa awe elected from AMONG Religious & Political Elites!

Kwenye maelezo yako naona umejikita sana kwenye dini kama kigezo; tena fundamentalism wakati katiba imesema wazi Rais anaweza kutokana miongoni mwa vikundi vya dini na POLITICIANS lakini emphasis ikiwa kwenye kuamini in fundementals of the Islamic Republic of Iran and official religion lakini emphasize sio kuwa religious fundementalist!

Again, in practical sense hiyo ni general requirement that can be met by majority of Iranians!

Lakini hao religious fundamentalists uliowataja ni part of Iranian Legal Systems kama wanaopatikana kwenye the Guardian Council & Assembly of Expert bila kumsahau Supreme Leader mwenyewe ambao being a Muslim isn't enough! Kuwa Mwislam unayekung'uta Sala 5 bila ku-miss huku ukiwa tayari kupigania Uislam still not enough hayo yanaweza kufanywa na "Mwislam" yeyote hata asiye na uwezo wa kuhifadhi japo juzuu moja! Fanya ufanyayo; place your vow before God or anyone else; but are you a Muslim Scholar? Are you an expert in Islamic Laws?

Yote hayo hayapo kwenye requirement ya urais!

But again; hata hiyo Assembly of Experts; ni nusu tu ya wajumbe ndio wanatakiwa kuwa wataalamu wa Islamic Laws huku nusu yake requirement ni expertism in Civil Laws!
myplusbee,

Mheshimiwa, kwanza nitangulize shukran kwa kufanya rejoinder kwenye mjadala huu, kwa mujibu wa maoni yangu ya hapo awali na na majibu ya mheshimiwa Malcom Lumumba kwa pamoja kama tulivyowasilisha. Hali kadhalika nashukuru kwa maoni yako kwani nimejifunza kitu. As i said before, "kwamba hakuna anayejua yote, ndo maana tupo kujifunza kila siku." baada ya kusema hayo, naomba nijikite kwenye hoja za msingi kama ifuatavyo;-

Mosi, umejikita kwenye hoja ya Rais wa Iran anapatikanaje na kusahau kuhusu nature na utendaji kazi wa neno "legal system" pale ambapo nchi husika inaendeshwa kwa misingi na tamaduni za Uislam. Hivyo basi huenda mjadala wetu ukawa wa manufaa kama utajibu hypothesis za hapo awali kama ambavyo nime-quote hapa chini'-

  1. Either mchambuzi hafahamu maana ya legal system, utendaji kazi wake na chanzo chake...
  2. Either Hafahamu maana ya jurisprudence na mapana yake..
  3. Either Ametawaliwa na hisia/emotions na kushindwa kujenga hoja bila kuathiri taratibu nyingine..
Mheshimiwa, kwa kujibu hizo hypothesis tutaelewa kwa mapana falsafa ya kisheria katika nyanja zote whether it's Islamic legal system or English legal system (common law). Kama waswahili wanavyosema, "Eti kati ya yai na kuku nani alitangulia?".

Kama ulivyosema kuwa wewe siyo mwanasheria, It's okay. wala siyo dhambi kutokuwa mwanasheria. tupo hapa kuelimishana na kujadili hoja mtambuka katika misingi ya kuheshimiana. sheria zote unazoziona zinaongozwa na falsafa yaani Jurisprudence.

Nini maana ya Jurisprudence? Ni Falsafa ya sheria, au sayansi ambayo inayochukua kanuni za sheria nzuri na mahusiano mengine ya kisheria. kwa ufupi unaweza kusema kuwa ni nadharia au falsafa ya sheria, huku wengine wakiita kuwa ni legal system.
ukitaka kujua historia yake ni pana kidogo kwani inaanzia karne ya 10 BC (kwa mjibu wa vyanzo mbalimbali vya vitabuni) ingawa busara hizo za kisheria zimekuwepo kabla ya hapo. Hata hivyo kuna wanazuoni wengi ambao bila wao dunia ya leo isingekuwa kama ilivyo, hapa nawaongelea kama akina Aristotle, Thomas acquinas, Thomas Hobbes..etc. kwa mantiki Hiyo basi Iran inafuata falsafa ya sheria za Kiislam (Islamic legal system) huku akina Ayatollah na wanazuoni wengineo wakiwa ndo akina Aristotle katika kuchakata, kutofasri sheria kwa mujibu wa taratibu na maisha ya kawaida ya ki-persia. (Emphasis is mine).

As i quote you, "Wakati nyinyi mnalichukulia neno Islamic Laws kama lilivyotumika kwenye katiba bila kujali practical usage mimi nachukulia what could exactly look like kama huyo rais angekuwa anapatikana according to Islamic Laws bila kujali general usage of Islamic Laws phrase in the constitution!"....Mkuu wangu ningependa nikuambie kuwa umeteleza kidogo kwa kutotambua kuwa katiba ni zao la michakato mbalimbali ikiwemo tamaduni, desturi na mila ya jamii husika. kwa maana nyingine, mila na desturi za wa-Iran ndo zao la katiba yao katika misingi ile ile ya kiimani/Religious. Kwa Mfano, Ibara ya 9 ya katiba ya JMT inasema kuwa Tanzania ni nchi itakayoongozwa na misingi ya ujamaa na kujitegemea. I quote;-

The object of this Constitution is to facilitate the building of the United Republic as a nation of equal and free individuals enjoying freedom, justice,fraternity and concord,through the pursuit of the policy of Socialism and Self
Reliance which emphasizes the application of socialist principles while taking into account the conditions prevailing in the United Republic.

Je tunaweza kutofautisha ujamaa na kujitegemea na katiba yetu? sizani kama inawezekana. The same applies to Iran Legal jurisprudence, Legal system and their constitution. Ndivyo ilivyo mkuu, now and ever...

Nini maana ya katiba? Ni kanuni za kimsingi zilizowekwa kulingana na matakwa ambayo serikali kupitia wananchi wake/watawaliwa na mashirika mengine walizikubali na kuziridhia katika kutawala. Je tunaweza kumpata rais nje ya kanuni? Connect the dot...

KATIBA YA IRAN inasema hivi kwenye preamble; He sent aforetime our messengers with clear signs. And sent down with them the book and the balance (of right and wrong), that men may stand in justice.(The Qur’an, 57: 25)..."In the Name of Allah, Most Gracious, Most Merciful". So kiongozi lazima apatikane kwa misingi ya Dini...Katiba!

Ndugu, tofautisha demokrasia ya Iran na uongozi wa Ki-Imra wa Saudi Arabia kwani hawo wote ni waislam wenye kuamini katika different Legal system. Kwani demokrasia ni nini?...Wengi wape (Definition ya mtaani..achana na akina Lincoln).

Tofasiri ya Article 115 of Iran Constitution: Rais wa Jamhuri lazima achaguliwe kutoka kwa wasomi wa kidini na wa kisiasa wanaofikia sifa zifuatazo: asili ya Irani, utaifa wa Irani, uongozi wa utawala, rekodi ya wazi ya zamani, uaminifu na uadirifu, kuamini katika misingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dini rasmi ya nchi...sasa unaweza kuona point yangu ya hapo awali.

As i quote you..."Hapa nikazungumza rais wa Iran anachaguliwa kwa mujibu wa katiba na nikatolea mfano kwamba katiba yao inafanana na Tanzania!" Hapa na kubali na kukataa. kwanza nakubali kuwa Rais wao anapatikana kwa mujibu wa katiba (excellent) ila sikubali kuwa katiba yao inafanana na ya Tanzania. Haiwezekani kamwe. kwa sababu zifuatazo;-

  1. Katiba ya tz inasema kuhusu ujamaa na kujitegemea. even though into practice haiko hivyo, lakini kuna sheria mbali mbali zinazotungwa kusaidia katiba (enabling laws). eg. The economic sabotage Act/Economic crime Act zilitungwa kulinda sera ya ujamaa na kujitegemea na Azimio la Arusha. Katiba ya mwaka 1977 ilikusudia hilo henceforth, kuzaliwa kwa Azimio la Arusha. soma Ibara 1-10 ya katiba. kwa Iran, ni different case. nitaeleza kwa uchache. katiba yao inasema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Kiislam ya Irani ni tamko la msingi wa kijamii, kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi wa jamii ya Irani kulingana na kanuni za Kiislam na kanuni zinazoonyesha tamaa ya moyo wa jamii ya Kiislam. Tamaa hizi za msingi zimefafanuliwa katika sifa za mapinduzi makubwa ya Kiislam ya Iran, na mchakato wa mapinduzi ya watu wa Kiislamu, tangu mwanzo hadi ushindi; kanuni ambazo zimefunuliwa kupitia slogans kali na nguvu za makundi yote ya jamii. Sasa baada ya ushindi huu mkubwa taifa letu linatamani kwa moyo wote kutambua mahitaji haya. (End of quote)
NGOJA niishie kwenye sababu moja ila zipo nyinginezo nyingi tu..

Wakati nikihitimisha, niseme kuwa umejikita kwenye mchakato wa kuwapata viongozi (procedure) na uka-ignore foundation ya kufikia hizo procedures kama ulivyosema kuwa "But again; hata hiyo Assembly of Experts; ni nusu tu ya wajumbe ndio wanatakiwa kuwa wataalamu wa Islamic Laws huku nusu yake requirement ni expertism in Civil Laws". Nikuachie assignment hii;-

  1. Je unaweza kupata Uongozi wa juu kama wewe siyo mwislam?
  2. Sera, siasa na katiba ni kwa mujibu wa Dini ya Uislam, so, at what juncture can we separate this? unahisi inawezekana?
  3. Being expert in civil law kunawatofautishaje na kutokuwa wataalam wa Islamic Law?
On Serious note: wote tunajenga nyumba moja in the name of knowledge, Let's share our resources...

Be blessed mkuu.
 
Back
Top Bottom