Munich Security conference: Netanyahu awakebehi Waajemi

Munich Security conference: Netanyahu awakebehi Waajemi

Bila kusahau hata yesu aliuawa hapo hapo mashariki ya kati.
Nakubaliana na wewe Kiongozi; mafuta sio chanzo cha mauwaji hapo Middle East. Tangu enzi za tawala za Babeli, Rumi, Ottoman, n.k. wanachinjana tu hao majamaa. Mudi mwenyewe kakata shingo nyingi sana katika harakati zake zile; watu wengi sana wamekatwa koromeo kwa kigezo cha dini. Duh! Damu nyingi sana zinatoa machozi ardhini ukanda huo.
 
Fuatilia hii conference utaona kuna vita kubwa sana sanaa inakuja dhidi ya Urusi. Maana wazungu wameona yote yanayoendelea sasa hivi yana mkono wa Mrusi...Kuanzia silaha za Uchina, Silaha za Iran, Silaha za Korea Kaskazini Ushindi wa Syria. Yaani Agenda imekuwa ni Urusi...
Urusi amewekwa kwenye kikaango kule Ukraine.

Sehemu zake muhimu kama Syria na Iran zikawa wazi na kushambuliwa.

Kuna msemo wanasema hivi "Shoot the head and the body will fall"
 
Back
Top Bottom