lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 804
vp kwema?najua kuwa ngumu sababu imeangukia kwaowayapate wapi![]()
![]()
![]()
vp kwema?najua kuwa ngumu sababu imeangukia kwaowayapate wapi![]()
![]()
![]()
nimesharithi..au unataka niziache!?Acha uzembe mkuu mali za urithi ni upuuzi tuu tafuta zako
Ni kweli huyo jamaa akili yake siku zote huwaza kukashifu imani za wengine tu,ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia hapo hana lingine alijualo.Mkuu huyo jamaa kwenye comments zako ndiyo yupo hivyo aisee usimshangae
Hahaha.... haya bnnimesharithi..au unataka niziache!?
Yupo najuzi juzi walimshika kwenye mapambano ya maandamano ya iranHivi alishastaafu? maana sikumsikia kitambo
kwema mkuu! hata hiyo ya kuangukia kwao ni maujanjavp kwema?najua kuwa ngumu sababu imeangukia kwao

kristo yupi...kama ni yesu wa nazareth wa kwenye biblia jibu ni kwamba hakuwahi kuwepoSiasa za mashariki ya kati ni ngumu sana sanaa.
Ziko kama zile za Ulaya kipindi cha Reformation (Protestants V Catholics)
Wengi tunasema chanzo ni mafuta lakini zimeanza hata kabla ya kristo kuzaliwa.
wrong.Chanzo #1 cha migogoro ya Mashariki ya Kati ni DINI ama directly au indirectly hayo mengine yanajazilizia tu. Niorodheshe michache;
(a) Houthi kule Yemen - power struggle between Shia and Sunni - DINI
(b) Qatar Vs Saudi Arabia and others - Qatar anatuhumiwa na wenzie ku-support makundi ya kigaidi - DINI.
(c) Iran support for Hamas Vs Israel - DINI
(d) Palestine Vs Israel - Mji wa Jerusalem - DINI
(e) Iran support for Hizbullah Vs Israel (kuifuta katika uso wa dunia) - DINI
(f) Iran support for Syria - Shia influence - DINI
(g) Muslim Brotherhood Vs Coptic (Egypt) - DINI
(h) Iraq - Shia Vs Sunni - DINI
(i) etc. etc. etc.
Kwa namna moja au nyingine lazima "elements" za dini ziwepo popote penye migogoro middle east unlike other parts of the world.
ni kweli pilot wako vizuri maana walijua wangeangukia syria yangekuwa mengine wakajitahidi kufika nyumbani.kwema mkuu! hata hiyo ya kuangukia kwao ni maujanja![]()
Punguza ujuaji na ku-complicate mambo manake from the beginning huishi kujitia "oh; unajua hili;.oh unajua lile" with inclusion of lots of terms! Twende kiuhalisia!Hapa ndipo pana tatizo,
Mosi,
Nimekuuliza swali rahisi hujanijibu.
Can you separate any state law (Whether its Positive or natural) from the Legal System ??
Jibu la hili ndilo litafungua uwanja mwingine mpana kimtazamo kwamba Iranian Legal System is a Holistic one; In the sense that it is a creature of Secular, non-secular, traditional laws and positive laws (Laws made my a legislature)
Pili,
Na pia huwezi kusema Supreme Leader Ayatollah ni kiongozi wa Kiroho tu wakati he Wields a considerable powers beyond those of the President. Tuangalie uhalisia wa mambo tofauti na vile vitabu vinatuambia:
1. Ayatollah is the Commander in Chief of all the Iranian Forces.
- The Iranian President cannot appoint Minister of Intelligence and Foreign affairs without the approval of the Ayatollah.
- And he is the one who has all the political powers to declare war and peace on behalf of the Islamic Republic.
2. He is the head of all branches of the government (The Judiciary, The Legislature and the Executive)
3. He has the ability to Veto legislation passed by the parliament.
4. He can dismiss and reinstate minister of the executive of the Islamic Republic.
NB: Mpaka hapa bado tu unahisi kwamba Ayatollah ni kiongozi wa Kiroho tu na siyo Siasa wakati ana nguvu za kuingilia moja kwa moja utendaji kazi wa mihimili yote ya Serikali ???
Tatu,
Tafadhali naomba uelewe lugha Khamenei alitoa mapendekezo na Ushauri na kauli yake haioneshi kuwa amekataa.
Msuome hapa tena "I didn’t tell him not to participate, I told him I won’t recommend him participating" Ni wapi ambapo Khamenei amekataza Ahmedinejad asigombee ?? USHAURI ni tofauti na KATAZO, hivyo mtu unaweza kuukubali au kuukataa wala hufungwi na mtu.
Nne,
Islamic Laws are not only laws as per Quran and Hadith.
In Muslim Jurisprudence Islamic law has more than four Sources apart from these you have mentioned. (Find them)
Sasa kuna kitu unashindwa kukielewa hapa, Islamic Law is one of the major sources of law within the Islamic Republic.
Kila sheria inayotungwa ni ndani ya nchi ni lazima iwiane na Sheria za kiislamu (Any positive laws enacted must be in conformity with the Sharia and traditional laws so as to create Congruence and harmony within the legal system).
Hivyo basi kama ambavyo Papa au Malkia wa Uingereza walivyo viongozi wa Kisiasa na kiroho ndivyo ilivyo kwa bwana Ayatollah Khamenei. Ukifuatilia nchi Uingereza mpaka kufika mwak 2014 bado kulikuwa na kosa la Blasphemy against God, The Church of England and The Queen: Hii sheria ilikuwa inashughulikiwa na mahakama za kawaida kabisaaaa.
NB: Tanzania yenyewe Sheria za Kiislamu ni Sehemu ya Sheria za nchi na zinafanya kazi kwa Waislamu kwenye baadhi ya mambo yanayowahusu, lakini ili ifanye kazi ni lazima ilingane na sheria za nchi (Positive laws). Lakini Iran ni kinyume kabisa, ili sheria za nchi zipite ni lazima zikubaliane na Sheria za kidini (Sharia Law). Na ndiyo maana Iran ni nchi ya kidini kwasababu msingi wa Sheria, Siasa na Uchumi ni Sheria za Kiislamu...
Tano,
Narudia tena kusema hivi,
Huwezi kulinganisha Siasa za Tanzania na zile za Iran kwasababu utakuwa unafananisha maji na mafuta.
Tena huwezi kuielewa katiba ya nchi ya Tanzania bila kupitia mapendekezo ya NYALALI COMMISSION, never ever!
Tanzania yetu kuna ukomo wa Uraisi na katiba imesema wazi kabisa kama nilivyokuwekea mfano hai hapo juu.....!
I rest my case!
The main issue hapa ni dini, angalia British empire aliivunja ottoman empire baada ya hapo uisilamu haujawahi kuwa na khilafa tena, katika hii vita ya kwanza ya dunia majeshi ya uengereza yakiongozwa na meja gen Allen B waileteka aridhi ya palestina, baada ya hapo wakaanza mpango wa kuwakusanya wayahudi ambao walkuwa wametimuliwa siku nyingi sana kutoka aridhi takatifu na kuanza kuwarudisha tena pale mashariki ya kati. Baada ya zoezi hilo kukamilika mnamo mwaka 1948 taifa la Israel likaasisiwa upya kupitia umoja wa mataifa. Na Israel aliona kama hii haitoshi bila wao kuimiliki Jerusalem, kila kiumbe anafahamu unapotaja Jerusalem unataja eneo takatifu, unataja dini, hata kwa ndugu zangu waisalumu wanajua umuhimu wa hilo eneo kwa sababu ya uepo wa mskiti wa al-aksa. Israel vivile waliona kwamba eneo walilopewa halkuwa lote kama vile walivyopewa na Mungu baada ya kutoka utumwani Misri dini hiyo , so kutokana na hii sababu Israel analenga kuwachokoza majirani zake ili waanzishe vita, baada ya vita atateka maeneo na kuwa miliki yake.Walivyopigana The Ottoman Empire na The British Empire kuhusu Mashariki ya kati kwenye vita ya kwanza ya dunia dini ilihusika vipi ?? Nakubaliana na wewe kwamba dini imechochea sana huu mgogoro. Japo swala la msingi kabisa uliloliacha ni kwamba umeaungalia huu mgogoro ambao ni wa kimataifa katika nyanja ya kikanda tu. Nadhani tuhusishe kila chembe kwenye huu mgogoro: Iran, Muslim Brotherhood, Palestine, Israel, Hezbollah, Daesh na Iraq zipo na ndiyo hatari sana lakini pia usisahau kwamba huu mgogoro umekuwepo sana pale hata kabla ya hawa wadau na unavaa sura mpya kila siku.
Zamani Ulikuwa katika sura ya Crusade na Jihad,
Ukabadilika na kuvaa sura mpya ya Siasa za kimataifa kama ambapo mataifa Makubwa kama The Russian Empire, Imperial Germany, The British Empire, The Republic of France na The Ottoman Empire yalihusishwa moja kwa moja kugombania ile ardhi ya Mashariki ya kati. Hapa dini ilihusika kidogo sanaaa, zaidi zaidi maslahi ya mataifa makubwa ndiyo ilikuwa ni chanzo.
Jiulize hivi Uingereza wasingekubaliana kubaliana na Wazayuni hadi kupelekea The Balfour Declaration leo hii huu ugomvi ungekuwa wapi ??
AU Marekani na Warusi wasingekubaliana kuigawanya Palestina mwaka 1947 chini ya Umoja wa Mataifa na Yerusalem ingebaki chini ya Umoja wa Mataifa kama ilivyokubalika leo hii huu mgogoro ungekuwa wapi ??
AU Marekani na Urusi leo waamue kujitoa nje ya Mashariki ya kati na kuweka vikwazo vya Silaha eneo lile huu mgogoro utachukua sura gani ??
source...oil and gasMkuu Malcolm heshima kwako..... Kwa mtazamo wako nini kiini cha mgogoro wa mashariki ya kati na suluhisho ni lipi maana miaka na miaka ni vuta nikuvute tupu!!
The main issue hapa ni dini, angalia British empire aliivunja ottoman empire baada ya hapo uisilamu haujawahi kuwa na khilafa tena, katika hii vita ya kwanza ya dunia majeshi ya uengereza yakiongozwa na meja gen Allen B waileteka aridhi ya palestina, baada ya hapo wakaanza mpango wa kuwakusanya wayahudi ambao walkuwa wametimuliwa siku nyingi sana kutoka aridhi takatifu na kuanza kuwarudisha tena pale mashariki ya kati. Baada ya zoezi hilo kukamilika mnamo mwaka 1948 taifa la Israel likaasisiwa upya kupitia umoja wa mataifa. Na Israel aliona kama hii haitoshi bila wao kuimiliki Jerusalem, kila kiumbe anafahamu unapotaja Jerusalem unataja eneo takatifu, unataja dini, hata kwa ndugu zangu waisalumu wanajua umuhimu wa hilo eneo kwa sababu ya uepo wa mskiti wa al-aksa. Israel vivile waliona kwamba eneo walilopewa halkuwa lote kama vile walivyopewa na Mungu baada ya kutoka utumwani Misri dini hiyo , so kutokana na hii sababu Israel analenga kuwachokoza majirani zake ili waanzishe vita, baada ya vita atateka maeneo na kuwa miliki yake.
The main issue hapa ni dini, angalia British empire aliivunja ottoman empire baada ya hapo uisilamu haujawahi kuwa na khilafa tena, katika hii vita ya kwanza ya dunia majeshi ya uengereza yakiongozwa na meja gen Allen B waileteka aridhi ya palestina, baada ya hapo wakaanza mpango wa kuwakusanya wayahudi ambao walkuwa wametimuliwa siku nyingi sana kutoka aridhi takatifu na kuanza kuwarudisha tena pale mashariki ya kati. Baada ya zoezi hilo kukamilika mnamo mwaka 1948 taifa la Israel likaasisiwa upya kupitia umoja wa mataifa. Na Israel aliona kama hii haitoshi bila wao kuimiliki Jerusalem, kila kiumbe anafahamu unapotaja Jerusalem unataja eneo takatifu, unataja dini, hata kwa ndugu zangu waisalumu wanajua umuhimu wa hilo eneo kwa sababu ya uepo wa mskiti wa al-aksa. Israel vivile waliona kwamba eneo walilopewa halkuwa lote kama vile walivyopewa na Mungu baada ya kutoka utumwani Misri dini hiyo , so kutokana na hii sababu Israel analenga kuwachokoza majirani zake ili waanzishe vita, baada ya vita atateka maeneo na kuwa miliki yake.
Duh haya maswali ni magumu sana umemuuliza watu wengi sana wana chukuliaga Iran kama nchi ya kiisalam 100% mwanzo ata mimi nilijuwaga hivyo nikakutana na bint mmoja kuongea naye kavaa kama katokea kuswali kumuuliza jina nikashangaa wa 2 naye hivyo hivyo wa 3 naye hivyo hivyo !!Punguza ujuaji na ku-complicate mambo manake from the beginning huishi kujitia "oh; unajua hili;.oh unajua lile" with inclusion of lots of terms! Twende kiuhalisia!
Simple and clear hoja ilikoanzia ni kwamba ulidai Ahmedinejad alishindwa uchaguzi na Rouhan!
Hapa peke yake unaonesha siasa za Iran huzifahamu!
Nikakuambia hakushindwa bali alishatumikia 2 terms na kikatiba asingeweza kugombea 2013!
Nikakuambia 2017 alifanya come back attempt kwa sababu katiba ya Iran inasema sitting president anaweza kugombea only one consecutive term itakayoweka a total of 2 consecutive terms. Lakini kv 2013 hakugombea, bila shaka akaona ile requirements ya 2 consecutive terms ceased to work kv katiba haisemi what kama ametumikia 2 terms halafu akafuata Rais mwingine! Hapo nikakupa mfano wa katiba ya URT!
Nilipotoa mfano wa URT ndipo nawe ukaleta habari za Islamic Law! Nikakujibu Iranian Predency has nothing to do with Islamic Laws!
Kwahiyo jaza ma-terms yako uwezavyo ambayo kuyajibu ni very simple hata kama si mwanasheria! Hoja ni kwamba, Rais wa Iran hachaguliwi kwa sheria za kiislamu!
Ingawaje mara kwa mara umekuwa ukinihoji ikiwa nafahamu hili, mara oh kama nafahamu kwa nia ya kuonesha upo deep; in short unaonekana huzifahamu siasa za Iran!
And FYI, hata hiyo Legal System unayoimba kila wakati haipo kama unavyodhani!
Wakati pale juu kuna Supreme Leader mwenye lots of power backed by religious laws, chini yake kuna The Executive Power.
Kwenye executive power ndipo anapatikana President ambae anachaguliwa kama tunavyochagua sisi and Islamic Laws has nothing to do wit presidency.
Aidha hapa ndipo inapatikana timu ya uongozi wa serikali!
Tafuta katiba ya Iran Article 114 to 132 ndiyo inaelezea kwa kirefu hii Executive Power halafu rudi hapa na hizo habari za Islamic Laws!
Baada ya Executive Power, ndipo unakutana na Legislative Power.
Ndani ya Legislative Power, ndimo miongoni mwa bodies zinazounda zipo zile ambazo purely ni religious kama vile The Guardian Council ambayo inaundwa na Islamic Scholars.
Na ni hawa jamaa ndio walimkata Ahmedijenad in 2017!
Bunge nalo, ni sehemu ya Legislative Power na ingawaje Bunge linaitwa Islamic Consultative Assembly, lakini lina uwakilishi wa Wayahudi & Wakristo according to katiba yao.
Ukitoka kwenye hiyo branch ndo unakutana na mfumo wa mahakama ambao nao ni very complex.
Hizo Islamic Laws unazoimba tangu asubuhi ndizo zipo huko BUT depending na stage ya mahakama husika!
Kwahiyo huwezi kuilezea legal system ya Iran kiujumla jumla kama unavyofanya wewe na kutoa conclusion kwavile tu umesikia Iran is an Islamic country with Islamic law ndo ukadhani kila kitu kinapelekwa Kiislam Islam!
Punguza ujuaji na ku-complicate mambo manake from the beginning huishi kujitia "oh; unajua hili;.oh unajua lile" with inclusion of lots of terms! Twende kiuhalisia!
And FYI, hata hiyo Legal System unayoimba kila wakati haipo kama unavyodhani!
I am humbled kuitwa huku na mwanazuoni Malcom Lumumba kushiriki Kwenye huu mjadala. Nikianza na Legal system ya nchi kama Tanzania, Kifungu cha 4 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kinaelezea kuhusu mugawanyo wa madaraka wa mihimili ya serikali kama, Bunge, Executives na Mahakama. nimeanza kusema hivi kwa sababu kuna hoja huko mbele itakayojibiwa kuhusu Legal system, Katiba and jurisprudence. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Mfumo wa kisheria nchini Tanzania unategemea sheria ya kawaida ya Kiingereza ( English common law).. Hata hivyo Kwa mjibu wa ibara ya 2 of the Judicature and Application of Laws Act, Cap. 358, common law, doctrines of equity and statutes of general application are enforceable in Tanzania. Kwa mantiki ya kifungu cha sheria hapo juu, sisi tuliotawaliwa na waingereza tumejikuta tukitumia English Legal system, ingawa siyo wote e.g America etc. Baada ya utangulizi huu, nijikite kwenye kujibu hoja.though katika upembuzi wangu haraka haraka, nimeweza ku-note vitu vifuatavyo kutoka kwa mchambuzi wa awali comrediHoja ya mimi kuwa mjuaji inatokea wapi ??
Umeishiwa na hoja unaanza kunishambulia mimi sasa! (Ad hominem arguments)
Umekasirika hivi kisa mjadala wa kitaaluma ambao una lengo la kutuongezea wote maarifa ??
Hizi kehebi zinaashiria kitu kimoja tu kinachotutesa wasomi wengi wa Tanzania "Intellectual Arrogance"
NB: Usisahau kwamba ntaendelea kuleta maneno (inclusion of terms) kwasababu kila neno linaloongelewa hapa lina maana yake kabisa katika ulimwengu wa Sheria, Siasa na Falsafa. Hivyo utanisamehe sana kama nakuboa au nakukera kwa kufanya hivi, kwasababu kwangu mimi kila neno katika sentensi lina maana yake ambayo mimi nataka kuielewa.
Ungekuwa unajua nini maana ya Legal System basi nina uhakika tusingefika hapa tulipo. (Hili nina uhakika 100%)
Walau hata kama ungekuwa umesoma vizuri MUSLIM JURISPRUDENCE na CONSTITUTIONAL LAW vizuri basi ni lazima tungeelewana na kama kupishana tungepisha kidogo sanaaa. Lakini nimekwambia vitu ambavyo viko wazi sana ambavyo mtoto anayesoma Sheria pale UDSM mwaka wa kwanza anavifahamu kwa undani.
NB: Au niombe msaada kwa watu wengine aidha mimi ndiyo naweza kuwa sielewi,
Hivi ndugu Prof unaweza kutenganisha Sheria za dini nje ya Legal System hasa kwenye nchi ambayo ni ya Kiislamu kikatiba ?? Au ni jambo la Busara kisheria kufanya Comparative Analysis baina ya Islamic Legal System na Common Law Legal System ??
Mkuu wangu myplusbee tuyaache haya mambo maana hayatatusaidia sanaa na wala hatutafika popote.
Cheers to you mkuu!