Munich Security conference: Netanyahu awakebehi Waajemi

Nakubaliana na wewe Kiongozi; mafuta sio chanzo cha mauwaji hapo Middle East. Tangu enzi za tawala za Babeli, Rumi, Ottoman, n.k. wanachinjana tu hao majamaa. Mudi mwenyewe kakata shingo nyingi sana katika harakati zake zile; watu wengi sana wamekatwa koromeo kwa kigezo cha dini. Duh! Damu nyingi sana zinatoa machozi ardhini ukanda huo.

Hivi lile jangwa lina kitu gani cha ziada ???

To put it clear; tatizo ni Putin!

Naweza kubaliana na wewe mkuu kwamba Putin ameyaamsha na kuyachochea yale ya zamani
Japo tusisahau kwamba Vladmir Putin hakuanza tu kujifanyia haya mambo bila sababu yoyote ile ya msingi.
Maana Marekani na Korea Kaskazini wameanza muda mrefu na Putin ameuta wanaendelea kutishiana tuuu.
Syria nako tangia miaka ya 1947 na Uchina tokea mwaka 1949 hata kabla Putin hajazaliwa......

NB: Kuna kitu hakiko sawa kidogo!
 
Israel wanataka kuexpand territory ya nchi yao, mashariki ya kati ni eneo ambalo halitakaa liwe na utilivu kwa sababu Israel anataka aongeze eneo na anataka awe na sauti na hapa ndipo tutapoona vita kubwa ikiwa njiani inakuja. Wazayuni wapo kazini wanahaha usiku na mchana kuhakikisha kuwa ndoto yao ya kuitawala dunia siku moja inatimia, hakuna atakayesema tena Yerusalemu sio capital city of Israel tena, baada ya kufanikisha hili what next they are looking to expand their territory. WW3 is on the way.
 
Ndo kushindwa kwenye huko bos.Kama NEC ikikukata jina lako utaweza kwenda kwny uchaguzi?

Ndo ushashindwa hivyo
Hata kufika kwenye kinyanganyiro hakufika ni majina yaliyopitishwa ndiyo yalienda kwenye kupigiwa kura ambapo Rohan alishinda tena kwa mara ya pili.
Nadhani Iran wana utaratibu kama wa Urusi mihura miwili ikipita unapumzika anaingia mwingine muhura wake wa kwanza tu ukiisha unaweza rudi kugombea kama alivyotaka kufanya Ahmed.
Sema maisha yao nayapenda japo alikuwa raisi alipomaliza karudi kufundisha na anaanda usafiri wa uma na anashika bomba kama siti zimejaa hakuna anayempisha akae yani kama mwananchi mwingine tu na siyo jambo la kushangaza sisi kumuona waziri tu kapanda bajaj basi story kubwa
 
Netanyau kapanick kibarua chake kiko hatarini kuota nyasi kwa kashifa ya kula rushwa,anafanya kila sarakasi waisrael wamuunge mkono asilazimishwe kujiuzulu.

Kama ni drone hata za israel zinatunguliwa mara nyingi tu,hakuna kitu rahisi kudungua kama drone,vinginevyo zingekuwa zinavuka mpaka daily.

Waziri wa mambo ya nje wa iran,ilipofika zamu yake nae kamjibu vizuri tu,kuwa huyo netanyau anasumbuliwa na domestic issue hadi analeta vituko vya kutoka israel na scraper kwa ajili ya kufanya drama mkutanoni na ana machungu ya kudunguliwa ndege yao ambazo mwanzo waliamini syria hawawezi kuziangusha
 
Israel wanataka kuexpand territory ya nchi yao, mashariki ya kati ni eneo ambalo halitakaa liwe na utilivu kwa sababu Israel anataka aongeze eneo na anataka awe na sauti na hapa ndipo tutapoona vita kubwa ikiwa njiani inakuja. Wazayuni wapo kazini wanahaha usiku na mchana kuhakikisha kuwa ndoto yao ya kuitawala dunia siku moja inatimia, hakuna atakayesema tena Yerusalemu sio capital city of Israel tena, baada ya kufanikisha hili what next they are looking to expand their territory. WW3 is on the way.
Middle east inakosa amani sababu ya hawa wayahudi....Binafsi naona wayahudi ni watu ambao wanaubaguzi sana...ni watu ambao hawataki kuchangamana na watu wengine....na hili ndo tatizo...ukiangalia katika historia ya ulimwengu jamii nyingi zimekua zikiingiliana...kwa kuoana ,kuzaliana na hivyo kutengeneza jamii nyingine ambayo inakua ni mchanganyiko wa jamii husika...ni kama hapa Tz..nafikiri miaka 100 mbele makabila yatakufa, sababu watu wanachangamana sana....
Wayahudi wako kivyao, hawataki.wanawaona wenzao kama race ndogo tu....Wayahudi waliwasuppport sana wazungu wa South Africa wakati wa Apartheid...waliwapa silaha etc....
Hawa jamaa historia yao ni ugomvi tu...ukisoma biblia kiujumla utaona Mungu anawapa nchi ambayo sio yao na tayar inakaliwa na wengine matokeo yake ndo haya sasa...watu hawakubali
 
Huyu jamaa ni mkorofi sana,
Kaenda na mabaki ya ndege ya Irani ambayo haina rubani (Drone) akamuuliza waziri wa Iran kama anaikumbuka na akasema ni lazima aikumbuke kwasababu ni yao. Akatuma ujumbe kwamba waambie madikteta wa Iran wasiwajaribu Waisrael. Lakini naona kwa yanayoendelea sasa hivi nchini Syria, Iran na Israel watakuja kutuletea matatizo makubwa sanaaaaa! Mashariki ya kati imekaa vibaya sanaaa na vita ikianza Iran basi India, Pakistan na Uchina watahusika kwa kiasi kikubwa sanaa.

HAKIKA NRTANYAU HAMUNG'UNYI MANENO DONT TEST ISRAEL YUPO VIZURI SIO MNAFIKI
 
Lengo la israel sio kuexpand ardhi,
population ya wayahudi duniani kote haizidi milioni 16,hawawezi kuexpand eneo lao kwa kuhofia identity yao itamezwa,
kumbuka ni waisrael milioni 8 tu ndo wao israel,huku wengine karibu milioni 8 wakiwa nchi mbalimbali,kama wangekuwa wengi wangependa mno kuextend hati mto frati kama hadithi za mababu zao zinavyodai mungu wao aliwapa.
Wanachotaka waisrael nchi zinazoizunguka zibaki weak ili zisiwe tishio kwa usalama wake na ndo kisa hasa cha kuundwa ISIS,

Na pia ndo maana vita syria havitaisha hasa baada ya mmarekani kusema wao hawaondoki syria ng'o,
na sasa wanaunda jeshi jipya la new syria army kupambana na assad baada ya Isis kumalizwa huko syria.
Big picture,marekani anataka New world order,na haiwezekana kama bado kuna Russia yenye nguvu,
wanapanga kama afaghnistan ilivyokuwa kabuli la soviet union,
basi pia syria iwe kabuli la Russia na hata pia iran.

Putin anajua Russia is now fighting for survival.

Kwa upande mwingine,nchi za magharibi hazijasahau zilivyoshindwa vita vya crussade,
 
Nakubaliana na wewe Kiongozi; mafuta sio chanzo cha mauwaji hapo Middle East. Tangu enzi za tawala za Babeli, Rumi, Ottoman, n.k. wanachinjana tu hao majamaa. Mudi mwenyewe kakata shingo nyingi sana katika harakati zake zile; watu wengi sana wamekatwa koromeo kwa kigezo cha dini. Duh! Damu nyingi sana zinatoa machozi ardhini ukanda huo.
Rudi kwenye vitabu vya dini utaelewa nini kinachoendelea middle east na wala hauta sumbuka.

To put it clear; tatizo ni Putin!
 
Israel wanataka kuexpand territory ya nchi yao, mashariki ya kati ni eneo ambalo halitakaa liwe na utilivu kwa sababu Israel anataka aongeze eneo na anataka awe na sauti na hapa ndipo tutapoona vita kubwa ikiwa njiani inakuja. Wazayuni wapo kazini wanahaha usiku na mchana kuhakikisha kuwa ndoto yao ya kuitawala dunia siku moja inatimia, hakuna atakayesema tena Yerusalemu sio capital city of Israel tena, baada ya kufanikisha hili what next they are looking to expand their territory. WW3 is on the way.
Dajjal order are on the way, take care dude
 
Middle east inakosa amani sababu ya hawa wayahudi....Binafsi naona wayahudi ni watu ambao wanaubaguzi sana...ni watu ambao hawataki kuchangamana na watu wengine....na hili ndo tatizo...ukiangalia katika historia ya ulimwengu jamii nyingi zimekua zikiingiliana...kwa kuoana ,kuzaliana na hivyo kutengeneza jamii nyingine ambayo inakua ni mchanganyiko wa jamii husika...ni kama hapa Tz..nafikiri miaka 100 mbele makabila yatakufa, sababu watu wanachangamana sana....
Wayahudi wako kivyao, hawataki.wanawaona wenzao kama race ndogo tu....Wayahudi waliwasuppport sana wazungu wa South Africa wakati wa Apartheid...waliwapa silaha etc....
Hawa jamaa historia yao ni ugomvi tu...ukisoma biblia kiujumla utaona Mungu anawapa nchi ambayo sio yao na tayar inakaliwa na wengine matokeo yake ndo haya sasa...watu hawakubali
Dajjal order
 
Lengo la israel sio kuexpand ardhi,
population ya wayahudi duniani kote haizidi milioni 16,hawawezi kuexpand eneo lao kwa kuhofia identity yao itamezwa,
kumbuka ni waisrael milioni 8 tu ndo wao israel,huku wengine karibu milioni 8 wakiwa nchi mbalimbali,kama wangekuwa wengi wangependa mno kuextend hati mto frati kama hadithi za mababu zao zinavyodai mungu wao aliwapa.
Wanachotaka waisrael nchi zinazoizunguka zibaki weak ili zisiwe tishio kwa usalama wake na ndo kisa hasa cha kuundwa ISIS,

Na pia ndo maana vita syria havitaisha hasa baada ya mmarekani kusema wao hawaondoki syria ng'o,
na sasa wanaunda jeshi jipya la new syria army kupambana na assad baada ya Isis kumalizwa huko syria.
Big picture,marekani anataka New world order,na haiwezekana kama bado kuna Russia yenye nguvu,
wanapanga kama afaghnistan ilivyokuwa kabuli la soviet union,
basi pia syria iwe kabuli la Russia na hata pia iran.

Putin anajua Russia is now fighting for survival.

Kwa upande mwingine,nchi za magharibi hazijasahau zilivyoshindwa vita vya crussade,
Mkuu umeongea ukweli kwamba Russia is fighting for its survival huu ni ukweli uliowazi. Na umesema Amerika is planning for the new world order exactly, lakin ngoja niongezee ivi NWO haiwezi kutokea mpaka ipiganwe vita tena vita ya maana kweli, the question is why NWO is coming, is because Zionists want to rule the world. Ndio maana Israel na wayahudi wengine popote walipo duniani pamoja na washirika wao lengo lao ni moja tu ni kuhakikisha kuwa Wale wanaonekana as an obstacle kuelekea dhamira yao hiyo kuu wanawaprovoke ili tuu wapate sababu ya kuanzisha vita, vita hii ikipigwa itahakikisha kwamba duniani kunabakia dola moja tu lenye nguvu, of course Russia anajua na anafahamu fika kuwa yeye ndiye atakayekuwa the main target in this war, and this is the reason Russia is preparing to face them kwa kuweka military bases kule Syria na kalichukua jimbo la crimea ili aweze kuidominate Black Sea na pia kuicontroll Mediterranean Sea.
 
Back
Top Bottom