Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Ahmadinejad alikuwa anakuwa popular mno ndo maana akafanyiwa figisu na jina kukatwa bila sababu za msingi,
baadae nikasikia aliihusika na maandamano ya mwezi uliopita ya wananchi kudai ugumu wa maisha ,vitu kuwa bei juu etc.
Ujue enzi ya utawala wa ahmadinejad serikali yake ilitoa ruzuku kwa vitu mbalimbali na hivyo bei ya vitu ikawa balanced,sasa bajeti ya mwaka huu baadhi ya ruzuku zilifutwa na kukaleta maandamano,
ambayo kwa bahati mbaya yakaingiliwa na majasusi ya CIA na kugeuzwa kuwa maandamano ya Regime change ambayo baadae yalizimwa,
so nasikia Ahmadinejad ni miongoni mwa waliokamatwa na kuwekwa lokapu kwa kuchochea maandamano,
na sijui kama alishaachiwa ama bado yuko kizuizini