inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,906
- 18,174
sio wote tunatafuta pesa kwa jasho na mitulinga..wengine tuna nyumba nyingi za urithiTafuta pesa mkuu
sio wote tunatafuta pesa kwa jasho na mitulinga..wengine tuna nyumba nyingi za urithiTafuta pesa mkuu
Dini ziko nyingi Mkuu; dini ipi labda?Rudi kwenye vitabu vya dini utaelewa nini kinachoendelea middle east na wala hauta sumbuka.
Acha uzembe mkuu mali za urithi ni upuuzi tuu tafuta zakosio wote tunatafuta pesa kwa jasho na mitulinga..wengine tuna nyumba nyingi za urithi
UislamDini ziko nyingi Mkuu; dini ipi labda?
Sio kushindwa bali muda wake ulishaisha!Alishindwa uchaguzi dhidi ya Rouhani...
We jamaa una chuki za kidini hadi shetani mwenyewe akikuona tu anatimua mbio! Hii dunia imekuwa uwanja wa vita kila eneo including Africa lakini hakuna uliyemuona wa kumtolea mfano ni Mtume Muhammad. No wonder hata User ID yako ina elements za kishetani!Nakubaliana na wewe Kiongozi; mafuta sio chanzo cha mauwaji hapo Middle East. Tangu enzi za tawala za Babeli, Rumi, Ottoman, n.k. wanachinjana tu hao majamaa. Mudi mwenyewe kakata shingo nyingi sana katika harakati zake zile; watu wengi sana wamekatwa koromeo kwa kigezo cha dini. Duh! Damu nyingi sana zinatoa machozi ardhini ukanda huo.
na kama duniani kweli kuna taifa teule basi urusi mkuu.Putin sio tatizo....Putin kaaribu world order ambayo US walitaka kuijenga....Putin and Russia ndio pekee ambao wanawapa changamoto za kiusalama US na western world
hapa ndipo ninapopashangaa mungu awape nchi ya watu,basi sio mungu huyo ni karagosi huyo.biblia imewapaisha tu na au ni kitabu cha kizandiki.Middle east inakosa amani sababu ya hawa wayahudi....Binafsi naona wayahudi ni watu ambao wanaubaguzi sana...ni watu ambao hawataki kuchangamana na watu wengine....na hili ndo tatizo...ukiangalia katika historia ya ulimwengu jamii nyingi zimekua zikiingiliana...kwa kuoana ,kuzaliana na hivyo kutengeneza jamii nyingine ambayo inakua ni mchanganyiko wa jamii husika...ni kama hapa Tz..nafikiri miaka 100 mbele makabila yatakufa, sababu watu wanachangamana sana....
Wayahudi wako kivyao, hawataki.wanawaona wenzao kama race ndogo tu....Wayahudi waliwasuppport sana wazungu wa South Africa wakati wa Apartheid...waliwapa silaha etc....
Hawa jamaa historia yao ni ugomvi tu...ukisoma biblia kiujumla utaona Mungu anawapa nchi ambayo sio yao na tayar inakaliwa na wengine matokeo yake ndo haya sasa...watu hawakubali
Alishastaafu tyr. But muhura mmoja wa rais Rouhan uliviisha akataka yena kugombea wakamkata mapemaaaaa km lowasaaHivi alishastaafu? maana sikumsikia kitambo
Sio kushindwa bali muda wake ulishaisha!
Ndo kiongoz pekee aliebaki duniani wa kuivimbia marekani. Wengine wooote ni full kufyata mkia kwa kila jamboPutin sio tatizo....Putin kaaribu world order ambayo US walitaka kuijenga....Putin and Russia ndio pekee ambao wanawapa changamoto za kiusalama US na western world
Aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2005 ambapo first term iliisha 2009. Akagombea tena 2009 na term yake ya pili na ya mwisho ikaisha 2013 ndipo akaja Rouhan.Muda wake uliisha lakini alikuwa anaruhusiwa kugombea awamu ya pili.
Swali: Je, aligombea au hakugombea ?? Alishindwa au hakushndwa ??
Utasema muda wake umeisha wakati yeye alitaka kuendelea ??
Pole Mkuu na samahani kama nimekukwaza sikuwa na nia mbaya ila ni mfano tu. Hata wewe una uhuru wa kuchagua mfano wowote. Nikuulize swali rahisi sana; unaifahamu hiyo picha hapo chini?We jamaa una chuki za kidini hadi shetani mwenyewe akikuona tu anatimua mbio! Hii dunia imekuwa uwanja wa vita kila eneo including Africa lakini hakuna uliyemuona wa kumtolea mfano ni Mtume Muhammad. No wonder hata User ID yako ina elements za kishetani!
Nilikuwa nakupa angalizo lakini kwa bahati mbaya kwangu ni ujuha uliovuka mipaka kujaribu kuleta kashifa kwa imani za wengine. Sio hivyo tu; ni ujuha vile vile kujaribu kuleta mijadala inayoashiria chuki za kidini.Pole Mkuu na samahani kama nimekukwaza sikuwa na nia mbaya ila ni mfano tu. Hata wewe una uhuru wa kuchagua mfano wowote. Nikuulize swali rahisi sana; unaifahamu hiyo picha hapo chini?
View attachment 697888
Mkuu huyo jamaa kwenye comments zako ndiyo yupo hivyo aisee usimshangaeNilikuwa nakupa angalizo lakini kwa bahati mbaya kwangu ni ujuha uliovuka mipaka kujaribu kuleta kashifa kwa imani za wengine. Sio hivyo tu; ni ujuha vile vile kujaribu kuleta mijadala inayoashiria chuki za kidini.
Kwa maana hiyo basi, angalizo nililokupa linatosha na kama interest yako ni hayo niliyo-classify as ujuha, basi nasaha yangu kwako ni kutafuta mtu mwenye mawazo sawa na yako!
Wala simshangai! Namfahamu sana ki-JF JF. Jamaa ana chuki za kidini hadi wakati mwingine mtu unaweza kujiuliza ikiwa anayemfuata ni Kristo huyu huyu tunayemjua wote au kuna Kristo mwingine!Mkuu huyo jamaa kwenye comments zako ndiyo yupo hivyo aisee usimshangae
Aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2005 ambapo first term iliisha 2009. Akagombea tena 2009 na term yake ya pili na ya mwisho ikaisha 2013 ndipo akaja Rouhan.
Acha kurukaruka jibu swali. Swali rahisi tu, hilo jambia la nani? Na matumizi yake yalikuwa nini? Majibu ya maswali hayo yanasherehesha hoja yangu ya mwanzo. Ni kitu kilicho wazi wala hakuna cha chuki wala nini. Nenda jumba la makumbusho pale Istanbul Uturuki utapata maelezo ya kina kuhusu matumizi ya hilo jambia. Tatizo baadhi yenu hamtaki ukweli uwekwe wazi kwa kisingizio cha "chuki" au "kashfa".Nilikuwa nakupa angalizo lakini kwa bahati mbaya kwangu ni ujuha uliovuka mipaka kujaribu kuleta kashifa kwa imani za wengine. Sio hivyo tu; ni ujuha vile vile kujaribu kuleta mijadala inayoashiria chuki za kidini.
Kwa maana hiyo basi, angalizo nililokupa linatosha na kama interest yako ni hayo niliyo-classify as ujuha, basi nasaha yangu kwako ni kutafuta mtu mwenye mawazo sawa na yako!