Mungu yuko wapi?

He is beyond our understanding. Kwa akili yetu ya kibinadamu haitatosha kumjua. Toka tu ndani ya mwili, ubaki roho na uingie kwenye ulimwengu wa roho utapata ufunuo zaidi. You are a spirit with soul who live in a body.
 
Tabu inaanza pale tunapotaka kutumia akili za kawaida kuelewa mambo yasiyo ya kawaida...
 

Kutoka 3:14​

Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
Hawa watafsri wetu wa mombasa nao walikua sijui wamekula miraa?
 
Allah yuko wapi? Kwani ni swali gumu sana hili? Mbona unazunguka? Kumbe ni rahisi kurukia kwenye kukashifu imani zingine ilhali ya kwako mwenyewe huna hata idea?

Allah yuko wapi, shaikh?
Hiyo aya niliyokupostia huioni au unajitia upofu??? Au hujui kusoma??
 
God is a Spirit (Roho). God is Omnipotent( Mwenye Ukuu usio na mipaka), Omnipresent (Yupo kila mahali kwa wakati mmoja)
Yuko muda wote na kila mahali. Yupo sehemu kuu kwenye Ulimwengu wa roho (Spritual realm).
Na zaidi, yupo ndani yako kwenye pumzi yako ya uhai(spirit) ambayo imetoka kwenye pumzi yake na kamwe haifi hata kama mwili ukifa. Alikuumba kipekee kwa mfano wake.
Jishushe mbele yake na linda roho yako dhidi ya maovu, utamwona Mungu.
 
Hiyo aya niliyokupostia huioni au unajitia upofu??? Au hujui kusoma??
Achana na aya ambayo haijibu swali, jibu Allah yuko wapi? Soma hiyo aya halafu utuambie Allah yuko wapi?
Haiwezekani uweze kuelezea kiundani kwa kejeli na majigambo Mungu wa wakristo nawe huwezi hata kusema mungu wako yupo wapi! Huu ni ucheshi mkumbwa sana!

Sema Allah yuko wapi?
 
Jibu la swali lako utalipata siku ya hukumu ya mwisho.
 
ALLAH yupo juu ya A'rsh...!!
 
Sasa kama aya haijibu swali lako , unataka nikujibu nini zaidi? Nimekuwekea ushahidi wa andiko na bado huutaki, nini kingine kitakufanya ukubaliane nami? Au umekuja hapa ukiwa na majibu yako?
 
ALLAH yupo juu ya A'rsh...!!
HiyoArsh ilikuwepo milele au kuna wakati haikuwepo? Kama ilikuwepo milele hiyo Arsh nayo ni Mungu kama kuna kipindi aikuwepo kipindi hicho Allah alikuwa wapi?

Na hiyo Arsh iko wapi?
 
Sasa kama aya haijibu swali lako , unataka nikujibu nini zaidi? Nimekuwekea ushahidi wa andiko na bado huutaki, nini kingine kitakufanya ukubaliane nami? Au umekuja hapa ukiwa na majibu yako?
Allah yuko wapi ndio swali. Kusema yuko kwenye kiti cha enzi haijibu swali ila inaongeza tu Allah na kiti chake cha enzi wapo wapi?
 
Allah yuko wapi ndio swali. Kusema yuko kwenye kiti cha enzi haijibu swali ila inaongeza tu Allah na kiti chake cha enzi wapo wapi?
A'rsh ya ALLAH ipo juu ya mbingu ya saba!! A'rsh ndio kiumbe kikubwa zaidi kuumbwa na ALLAH .

Wanaadamu tupo chini kabisa ,juu yetu kuna mpangilio wa mbingu saba, then kuna kursiy, then kuna maji na juu yake kuna A'rsh ya ALLAH...then juu kabisa yupo ALLAH.
 
Tabu inaanza pale tunapotaka kutumia akili za kawaida kuelewa mambo yasiyo ya kawaida...
Kuna mtu aliwahi kusema hivi kwa kiingereza

...it is not that God has given us a confused word in the scripture but rather; the CONFUSION arises when we TRY to accommodate the DEVINE STANDARDS to the LACK OF STANDARDS in our contemporary morality

Mtu anataka atumie akili ambayo ni ndogo sana kuliko hata ile aliyowahi kutumia wakati anajifunza ABCDEFG........,na wakati huo huo tena anataka aweze ku-capture knowlegde ya kitu kikubwa zaidi kuliko vyote; MUNGU
 
Mungu ni Roho isiyo na mwili...kiufupi Mungu ni Hewa tunayovuta ili tupumue

Kwa kukujibu MUNGU aliumba Dunia na vitu vyake akiwa Hewa
 
Umesahau kutupa marejeo ya hizi hadithi.
 
Umesahau kutupa marejeo ya hizi hadithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…