Mungu yuko wapi?

Mungu yuko ndani ya kila mtu na kila kitu unachokiona.

Zaburi 82:6 imeandika "Mimi nmesema,ndinyi miungu,na wana wa aliye juu,nyote pia".

Wote tunatokea kwenye one atom to have different experiences.
 
Sa we unadhani nani anaweza kujibu hilo swali???
 
Dunia ni sehemu ndogo tu ya uumbaji katika viumbe vyoote alivyoumba Mwenyezi Mungu katika sayari zingine. Si kwamba viumbe vipo duniani tu vipo vingi tu katika sayari zingine pia. Mfano UFO sio uongo ni viumbe halisi kwa mujibu wa wanazuoni wengine ikiwemo watu waliowahi fika kwenye sayari zingine kupitia nguvu za giza mfano Prof Uzoma huyu alikuwa na phd nyingi elimu ya uchawi na mambo ya giza. Pia sisi wanadamu bado tupo chini sana kimaendeleo ya technology na vyote vilivyomo, kulinganisha na viumbe vingine mfano UFO.
Mfano ulimwengu wa giza tu wao wapo mbele miaka elf 3 zaidi yetu. Vitu kama laptop, simu, flats screen, nuclear weapons, jet fighter wanavyo miaka elf 3 nyuma.
 
Hakuna swali rahisi kama hili na majibu yanayoingia akilini na kwenye nafsi kama la MUNGU yupo wap na ni nan
 
What is the point, unasema hakuna Mungu na at the same time unaadmitt dunia iliumbwa,

Huoni kama unajichanganya kk
 
Mungu yupo Mkuu, unajua hii Dunia ukiitafakari Sana huenda usipate majibu ila Amini hivyo Mungu yupo na kwakulithibitisha hili hebu angalia jinsi tunavyopata usiku namchana.
mkuu yes Mungu yupo ila ukitumia reference ya usiku na mchana unakosea kuna nchi zina sehemu hakuwi usiku miez minne na kuendelea
 
Katika tumbo la mama kulikuwa na watoto wawili. Mmoja akamuuliza mwenzake: “Je, unaamini maisha baada ya kujifungua?” Yule mwingine akajibu, “Kwa nini, bila shaka. Lazima kuwe na kitu baada ya kujifungua. Labda tuko hapa kujitayarisha kwa kile tutakachokuwa baadaye.”

"Upuuzi," wa kwanza alisema. "Hakuna maisha baada ya kujifungua. Je, hayo yangekuwa maisha ya aina gani?” Wa pili akasema, "Sijui, lakini kutakuwa na mwanga zaidi kuliko hapa. Labda tutatembea kwa miguu yetu na kula kutoka kwa midomo yetu. Labda tutakuwa na hisia zingine ambazo hatuwezi kuelewa sasa.

Wa kwanza akajibu, “Huo ni upuuzi. Kutembea haiwezekani. Na kula kwa midomo yetu? Kichekesho! Kamba ya umbilical hutoa lishe na kila kitu tunachohitaji. Lakini kamba ya umbilical ni fupi sana. Maisha baada ya kujifungua yanapaswa kutengwa kimantiki.” Wa pili alisisitiza, "Nadhani kuna kitu na labda ni tofauti na ilivyo hapa. Labda hatutahitaji kamba hii ya mwili tena." Wa kwanza akajibu, “Upuuzi. Na zaidi ya hayo, ikiwa kuna uhai, basi kwa nini hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka huko? Kujifungua ni mwisho wa maisha, na katika baada ya kuzaa hakuna ila giza na ukimya na usahaulifu. Haitupeleki popote.” “Sawa, sijui,” akasema wa pili, “lakini hakika tutakutana na Mama naye atatutunza.

” Wa kwanza akajibu “Mama? Unamwamini Mama kweli? Hiyo inachekesha. Kama mama yupo, yuko wapi sasa hivi?" Wa pili akasema, “Anatuzunguka pande zote. Tumezungukwa naye. Sisi ni wake. Ni ndani Yake tunaishi. Bila Yeye, ulimwengu huu haungekuwepo na tusingekuwepo." Alisema wa kwanza:

"Kweli, simuoni, kwa hivyo ni sawa kwamba Yeye hayupo." Ambayo wa pili alijibu, "Wakati mwingine, unapokuwa kimya na ukizingatia na kusikiliza, unaweza kuona uwepo Wake, na unaweza kusikia sauti Yake ya upendo, ikiita kutoka juu." Labda hii ilikuwa moja ya maelezo bora ya dhana ya MUNGU.
 
Mungu yupo mahali pote hana physical limitations, Mungu amekuwepo, alikuwepo na atakuwepo...Mungu hana hizo limitation za kibinadamu.....Mungu ni Roho...sio physical matter....naweza kukubaliana kidogo na aliyesema kuwa Mungu ni ENERGY..ipo tu....
 
Mzee umetumia akili kubwa sana...
 


Aisee
 
Unalijua neno Alshi!!?? Hilo neno original yake Anajua Mungu peke ako coz wakati Mungu anaumba mbigu na dunia na vilivyomo!! Bas alikuwa kwenye hiyo Alshi yake sema wanazengo msiniulize iyo alsh imekaa wapi
 
Maelezo yenye kufikkrisha sn..kuna uwezekano Sisi tupo tumboni pia ndy maana tubabishana kuhusu MUNGU wengine wakisema hawahisi uwepo wake
 
Ukileta mstari unaosema Mungu aliona wanadamu watamfikia naomba nipigwe BAN ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…