Mungu wangu weee..... tumelogwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu wangu weee..... tumelogwa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shomari, Oct 4, 2012.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hebu angalia tofauti kubwa iliyopo hapa chini:

  Mlipa kodi[HR][/HR][HR][/HR][HR][/HR] untitled.jpg 1302008.jpg
  Mtafuna Kodi:

  ot18.jpg
  2012-10-03t204931z_871122130_gm1e8a40dd401_rtrmadp_3_canada-politics.jpg

  kama picha na kichwa cha habari zinavyojieleza, je una maoni gani? je umeridhika na hali hii? toa maoni yako tafadhali.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,319
  Likes Received: 13,025
  Trophy Points: 280
  Hahaha hii ndio t bana ukikataa unahama bana si walitoa kura kwa kula

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Vitu vingine vinatia hasira!!Jamaa anaenjoy wakati wananchi wake wanataabika!!!!hiyo hela yake ya safari angenunua magari ya kubebea wagonjwa mangapi?
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwahilo poz la kwenye carriage dhaifu anasema moyon 'duh siamin wananitreat kama prince chalz' hapa kakosekana2 shavu dododo mamaa ya wama
   
 5. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Picha ya mwanzoni nilipatwa na huruma, ya pili nikabaki kushangaa kisha nikakasirika na mwishowe nimejikuta nacheka tu! Jamani hizi safari zina raha yake. Hata kama ingekua wewe ungeacha kurudi huko tena na tena? Msinivae jamani I'm just thinking aloud! Lol!
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kutoka kwenye bembea ya Jamaika mpaka kwenye farasi wa Canada ni maendeleo kwa kweli. hayapaswi kubezwa, mwenye macho haambiwi tazama.
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Picha ya kwanza sio TZ hao punda ni huko Zimbabwe
  Picha ya pili ni kweli TZ sioni ulazima ukiwa Dar upande Corolla au Daladala mm nimesoma Mwitikira P/school na nilikaa Mtitaa km 6 unaamka usiku sio alfajiri
  Hizo picha 3 na 4 sijui ni Rais gani agome utamaduni wa mwenyeji au agomee mwaliko ba Itifaki
  Mwezi uliopita Katibu na Mkiti wa vyama vya siasa wametembelea USA na UK hatukuhoji huu ubavu unatoka wapi?
   
 8. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo ambulance inatia huruma sana. Mungu awarehemu mafisadi wa Tanzania kwani hawaoni kile wanafanya.
   
 9. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amina!
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukwaju, we usitake kukataa, mazingira ya Tanzania yanajulikana kabisa, ukienda mikoa ya Singida na Dodoma vijijini hauwezi kukosa hali kama hii, tena bora hawa inakokotwa na ng'ombe. kuna sehemu nyingine kina mama wajawazito wanakokotwa mpaka na mkokoteni wa tairi moja, tukikubali ukweli kwamba tumesahau kuwekeza baadhi ya sekta maalumu nadhani tutasonga mbele.

  Unaongelea suala la mwenyeji kumkarimu mgeni, nimekushangaa sana, sijui unaishi karne gani. kwa taarifa yako Canada ni nchi ya kibepari na hawana utamaduni wa kukarimiana, wao kwa wao hawajikarimu itakuwa mgeni!! na hii sio kwa hao Canada tu bali ngozi nyeupe kiufupi hawajui kitu kinachoitwa ukarimu au utu, kama ilikuwepo hiyo ni miaka 500 iliyopita. wao katika kujenga urafiki na mahusiano kwa ujumla wanachoangalia zaidi ni pesa, ama ni jinsi gani wanaweza kunufaika na huo uhusiano. na wakishanufaika tu basi na urafiki unakomea hapo wanakwenda kuanza kujenga uhusiano mwingine.
  Barrick Gold wale ni wacanada, hivyo ni lazima wampe treatment ya kutosha huyu ****** ili kulinda maslahi yao yaliyopo Tanzania, naye ****** huenda akavimbiwa kichwa kwa kudhani kwamba anapata special treatment!

  Kumbe ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wana strategy kali sana, kwanza wanamsoma mtu wanayedeal naye, wakishagundua tu udhaifu wake , Kwisha kazi! na kama unavyojua huyu ndugu yetu ana udhaifu wa aina kedekede , ikiwamo udhaifu wa kupenda kuuza sura. hebu angalia hapo chini:

  Hapa analainishwa!
  o9.jpg
  sasa hebu niambie, kikwete anachezea timu gani mpaka apewe jezi?

  Hapa kalainika
  o5.jpg
  kama picha zinavyojieleza hapo juu, ukiangali hapo anaposaini utaona kwamba nyuma yake kuna wanasheria, upande wa kushoto na kulia kuna njemba hizo zimevaa badge za vyeo vya kijeshi, inaonekana hao wote hapo ni top officials , hivyo moja kwa moja naamini hapo kuna jambo kubwa sana linafanyika , iwe kati ya kuongeza msamaha wa kodi kwa makampuni ya kigeni yanayochimba madini, ama JK ndio hivyo tena anasaini mkataba mpya wa madini. utashangaa utakaposikia kwamba wamepewa kuchimba madini kwa miaka 200 na msamaha wa kodi juu, lolote linawezekana kwani Tanzania karibu kila kona kuna madini na yanachimbwa kwa kasi, tukija kuamka tutakuta kweupe.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  asante kwa kuja!!!:tongue::tongue:

  lovenesss.jpg
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Huo ubwabwa tuliokula walau ungetuama tumboni basi, ukiambiwa tuliamka na njaa na saa hizi khanga zilishapauka. Sina hamu!
   
 13. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani hata kama hatukusoma hata picha hatuoni? Mkuu unayosema ni kweli, hapo tushapigwa changa la macho. Mpaka Mkataba uje uangukie mikononi mwa vyama vya upinzani na kuchambuliwa na hatimaye kuingia bungeni,tumeshakwisha manake.
   
 14. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Safi saaaaaaana!! Kumbe wadhungu nao wanatunyenyekea wabongo? Saaaafi Saaaaaaaaanaaaaa!!!!!
   
 15. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kwa maoni yangu binafsi nadhani Rais wetu hatumii Kodi zetu amealikwa na Mkuu wa nchi hiyo.
   
 16. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanamshukuru kwa kuwapatia fursa mwanana za kuvuna utajiri wa nchi kama hawana akili vile kupitia African Barrik Gold Mine.
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kuwa Rais raha jamani
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280

  Linganisha tu na matanuzi mengine haya...

  [​IMG][​IMG]
  Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe baada ya kushuka kwenye gari la bei mbaya

  Wananchi tumeumia!!!
   
 19. a

  adolay JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Hakika hatuna aliempa jina la vasco da gama alikosea, huyu kikwete anatia hasira sana..........

  Da gama alikuwa na kazi ya kusaini mikata kwa faida ya inchi yake, alishughulika na matatizo ya huko kwao

  Da gama hakuiuza inchi yake, lakini huyu wetu, ahadi nyiiiingiii anaishia kwenye propaganda na visingizio.
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  HIVI jk ALIPENDA KUPANDA ULE MKOKOTENI UNAOSUKUMWA NA FARASI?
   
Loading...