Mungu wangu weee..... tumelogwa?

Mungu wangu weee..... tumelogwa?


Linganisha tu na matanuzi mengine haya...

imagejpeg
V8.jpg

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe baada ya kushuka kwenye gari la bei mbaya​

Wananchi tumeumia!!!

Sio magari ya chama, ni ya wanachama
 

Linganisha tu na matanuzi mengine haya...

imagejpeg
V8.jpg

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe baada ya kushuka kwenye gari la bei mbaya​

Wananchi tumeumia!!!

si bora hili gari lipo tz nauwakika limelipiwa kodi,,kodi iliyolipiwa baada ya kununua vitabu imekatiwa tiketi ya ndege kwa jk
 
Mkulu hajagundua kwamba hiyo jezi ina msalaba nini?
 
Back
Top Bottom