Mungu wangu! Siamini kama ile ni kondoa

Kama umeshawahi kutembea nje ya nchi ama kuishi nje ya nchi,basi utapatwa na hasira mara mia zaidi tofauti na ikiwa hujawahi toka nje ya bongo kabisa.Ndo maana viongozi wengi wanawachukia wananchi walio nje ya nchi na kuwaita wabeba box.Kiukweli utakuwa na hasira zaidi na it really pains ukiangalia maisha ya wananchi.Kuanzia wa mijini hadi vijijini.Na hasira hiyo inaweza kuwa mbaya sana.

Mi hasira huwa zinaanzia airport, maana nikiangalia airport yetu ilivyochoka na baadhi ya wafanyakazi walivyo rough, nakatika hadi basi...:(

kwahilo la gari kuwaacha njiani wakristo sina hakika nalo, nisingependa mfikirie kama uislamu ni mbaya la hasha to be honest maendeleo ya kondoa yamedumazwa na udini ambapo elimu dunia haipewi uzito na uktaka kudhibtsha hilo kwa kijiji kama HAUBI ambapo kuna wakristo wengi kwa kiasi fulani kuna maendeleo na hata warangi wengi walioosoma kama kina Prof semesi(RIP), jaji lubuva, damian foka katbu mkuu mstaafu wa bunge n.k wametokea eneo hilo.
Elimu ni tatizo mojawapo lililodumaza maendeleo nadhani si kondoa tu bali maeneo mengi ya kufanana na kondoa. Ila wakati mwingine hata wale wenzetu walobahatika kujikwamua huwa hawakumbuki kurudisha fadhila watokako!Binafsi sitaki kuona tuhuma zinaelekezwa kwenye kundi fulani la dini, lawama zibebwe na wana kondoa kwa ujumla wao.

btw: warangi ambao wako agressive kwenye maendeleo wanatoka Haubi (bila kujali dini) na kuna kijiji kingine maarufu sana kwa biashara ya mahindi nikikumbuka nitaandika, na huko waislam ndio wako kwa wingi na kuna maendeleo tu!

Kwa hiyo wote tuwe atheists au Freemasons kama wewe eeh,umechelewa kweli.Kwanza unachoita maendeleo ni nini hasa.Nikikuuliza utasema ni barabara nzuri zenye fly-overs nk.Ungejua kwanza hayo sio maendeleo.

Wewe uko Tanzania hii au unatoka Nibiru.Maana huko ndiko ambako kuna technology za hawa jamaa za kutisha sana.Vinginevyo most of Tanzania iko hivyo,

Pole sana kwa kuishi "Posta" miaka yote hiyo. Yanii ndo'umeanza leo kiijua nchi yako? Ukitoka huko pita na Makete, kibondo, chamwino, kantaramba, na kwingineko alafu ndo'uchukue hatua..

Chamwino ipi? kama ni ya Dodoma naifahamu ina lami mpaka ikulu. Na mimi naongeza. Ukitaka kuona uchumi wetu "Unapaa" na maendeleo yetu yanatisha nenda kapite barabara ya kutoka Nyakanazi mpaka Kibondo,halafu Kibondo mpaka Kasulu mpaka Kidahwe, Klometa chache toka Kigoma.

Nenda wakati wowote, wa masika au kiangazi utaburudika kwa utelezi au poda jekundu la bure; ishara ya maendeleo yetu miaka 50 taangu tupate Uhuru.

Barabara ya Arusha - Dodoma ni lazima iwekwe lami, na swala la kutengeneza barabara za Kondoa mjini ni la Halmashauri ya Wilaya, mimi kama mtu mwenye asilia ya Kondoa hili linaniuma sana. Ni lazima tuamke, tutafute kujiendeleza wenyewe kabla hatujategemea serekali itusaidie.

Elimu ni tatizo mojawapo lililodumaza maendeleo nadhani si kondoa tu bali maeneo mengi ya kufanana na kondoa. Ila wakati mwingine hata wale wenzetu walobahatika kujikwamua huwa hawakumbuki kurudisha fadhila watokako!Binafsi sitaki kuona tuhuma zinaelekezwa kwenye kundi fulani la dini, lawama zibebwe na wana kondoa kwa ujumla wao.

NAUNGA HOJA MKONO 100%

Chamwino ipi? kama ni ya Dodoma naifahamu ina lami mpaka ikulu. Na mimi naongeza. Ukitaka kuona uchumi wetu "Unapaa" na maendeleo yetu yanatisha nenda kapite barabara ya kutoka Nyakanazi mpaka Kibondo,halafu Kibondo mpaka Kasulu mpaka Kidahwe, Klometa chache toka Kigoma. Nenda wakati wowote, wa masika au kiangazi utaburudika kwa utelezi au poda jekundu la bure; ishara ya maendeleo yetu miaka 50 taangu tupate Uhuru.

Mambo mabaya Best! Hakunaga ukombozi na Ukombozi labda Mwalimu Nyerere afufuke toka wafu kwani hapo tutapona.

maeneo yote yenye shida kama hizo ndiko magamba huzoa kula. Hebu angalia Lindi, Mtwara, tabora ,Singida, Dodoma na kwingineko. Sehemu zote hizo zimeachwa nyuma siku zote na magamba lakini bado wanachagua kwa kishindo. Ngoja waendelee kusota hadiwaige mfano wa shinyanga na mwanza ambao wameamka

Jamani, huko nako maisha bora kwa kila mzalendo hayakufika? natamani kufahamu hali ya shule za umma ikoje huko?aliye na picha za huduma za jamii aweke hapa please ili tujifundishe juu ya maisha bora yalivyo kondoa

Hiyo ya Kondoa ni picha tu nenda Kbondo ukaone ya dunia kuna basi la Mwarabu linatoka Kigoma hadi Kahama lenyewe tu ni vumbi linalotembea ukiwa ndani unaweza kuona hata matairi yanavyozunguka lakini bado linapakia binadamu,kwa maeneo ya Kondoa Babati au kanda ya kaskazini haliwezi kupakia hata ng`ombe sembuse binadamu, lakini linafanya kazi na polisi wanaliangalia tu.

Vumbi maana yake CHAKULA,Kwa ubovu wa magari Kahama-Kibondo huo ni uongo inawezekana hujasafiri njia hiyo muda mrefu.

maeneo yote yenye shida kama hizo ndiko magamba huzoa kula. Hebu angalia Lindi, Mtwara, tabora ,Singida, Dodoma na kwingineko. Sehemu zote hizo zimeachwa nyuma siku zote na magamba lakini bado wanachagua kwa kishindo. Ngoja waendelee kusota hadiwaige mfano wa shinyanga na mwanza ambao wameamka

lindi wana yule jamaa wa cuf kidogo wamejitahidi kisiasa ila maendeleo duuh

Back
Top Bottom