itakuwa ni sababu maana hawa jamaa huwa hawana maono niWatu wa kondoa hawajui chama kingine zaidi ya CUF au CCM.Mimi nimesoma shule ya Miningani kama unaenda kondoa girls, darasani tulikua wakristu wawili tu.Shule nzima ilikuwa na wakristu wasiozidi 20.
Mwishoni Mheshimiwa Kikwete aliwanadi wagombea udiwani na ubunge na kuomba wananchi wachague CCM na wagombea wote kwa staili ya mafiga matatu.
Jamani wana jf tembea uone, uangalie jinsi Tanzania ilivyo, nilibahatika kwenda kondoa miezi iliyopita hali ya uko hususan miundombinu ya barabara inatisha, mimi nilipanda basi la kondoa via kiteto, yani ile tunaiacha barabara ya kwenda makao makuu ya nchi na chama, barabara yote kuanzia hapo ni vumbi tupu na makorongo mbaya zaidi usafiri wa uko ni shida,watu wanabanana afadhali hata ya posta asubuhi, kwa kifupi wilaya nzima haina lami? Lami uchwara inaonekana kwenye daraja lilojengwa enzi za mkoloni, naona kwa wakazi wa hapo ambao hawajawahi kutoka nje ya wilaya yao lami wanaionea hapo, huwezi kudhani kama hapo ndo makao makuu ya wilaya nyumba za polisi utadhani mabanda ya ng'ombe, benki wana moja tu NMB.kondoa jinsi ilivyo utadhani si mji wa kihistoria, manake una michoro ya mapangoni na mali kare kibao. Kwa kifupi kondoa ovyo.
Sikonge hata LAMI UCHWARA haipo na watu wanapangwa humo ndani kama meli ya kubeba Konteina.
Halafu basi lenyewe la Shakira unakuta hadi sakafu yake imetoboka chini na limepigwa welding kila kona.
Sisi sasa tusemeje? Ila wenyewe tulichagua November mwaka jana viongozi waliokuwepo waendelee.
Sasa leo tunamlilia nani? Utavuna ulichopanda.
Hiyo ya Kondoa ni picha tu nenda Kbondo ukaone ya dunia kuna basi la Mwarabu linatoka Kigoma hadi Kahama lenyewe tu ni vumbi linalotembea ukiwa ndani unaweza kuona hata matairi yanavyozunguka lakini bado linapakia binadamu,kwa maeneo ya Kondoa Babati au kanda ya kaskazini haliwezi kupakia hata ng`ombe sembuse binadamu, lakini linafanya kazi na polisi wanaliangalia tu.
Wee MATAKA inaonekana ni mgenii hapa nchini, au umekuwa mtoto wa mjini maana unashangaa. Unashangaa nini? WENZIO TUSHAZOEA, ,MIMI KAZINI KWANGU KILA MWAKA HUWA NINAPATA BAHATI YA KWENDA MIKOANI NA HUCHAGUA MKOA NIUTAKAO, KWA SASA NIMESHAONA MENGI NA NIMECHOKA. MAENEO MENGINE UKIBAHATIKA KUKUTANA NA MAJI YA MTO YANATIRIRIKA UNASEMA ALHAMDULIAHI, UNAPIGA MAGOTI UNAKUNYWA KAMA NG'OMBE, MAANA HUJUI UTAKUTANA NAYO WAPI, USAFIRI SAHAU, HATA KAMA UNA HELA ZAKO HAKUNA CHA KUKODI HATA BAISKELI HAKUNA, UNACHAPA KWA MGUU KILOMETA 30, NA KUENDELEA. SEMBUSE WEWE HUKO KUNA BASI JAPO NI UCHWARA.
KAZI NI KWAKO
itakuwa ni sababu maana hawa jamaa huwa hawana maono ni
We hapo umependekeza kweli, mi nipo Kahama huku sasa shughuli zangu ziko vijijini hayo mnayosema ni ya kawaida.Katika nchi yetu hali za vijiji ni mbaya sana,unaongelea barabara peke yake nenda kwenye maswala ya maji huko utatoa machozi kwani mabomba yanatoa kutu na tope.mungu ibariki tanzania.
kinachorudisha nyuma watu wa kondoa ni unafiki, udini, elimu duni na kumsikiliza mbunge mpumbavu na aliyelaaniwa kama zabein mhitaJamani wana jf tembea uone, uangalie jinsi Tanzania ilivyo, nilibahatika kwenda kondoa miezi iliyopita hali ya uko hususan miundombinu ya barabara inatisha, mimi nilipanda basi la kondoa via kiteto, yani ile tunaiacha barabara ya kwenda makao makuu ya nchi na chama, barabara yote kuanzia hapo ni vumbi tupu na makorongo mbaya zaidi usafiri wa uko ni shida,watu wanabanana afadhali hata ya posta asubuhi, kwa kifupi wilaya nzima haina lami? Lami uchwara inaonekana kwenye daraja lilojengwa enzi za mkoloni, naona kwa wakazi wa hapo ambao hawajawahi kutoka nje ya wilaya yao lami wanaionea hapo, huwezi kudhani kama hapo ndo makao makuu ya wilaya nyumba za polisi utadhani mabanda ya ng'ombe, benki wana moja tu NMB.kondoa jinsi ilivyo utadhani si mji wa kihistoria, manake una michoro ya mapangoni na mali kare kibao. Kwa kifupi kondoa ovyo.
kinachowaua warangi ni ile division ya udini inayopandwa na wachache.... imefikia hatua hata kama unapita tu kwennda babati au hata kiteto unaweza kuulizwa dini, ole wako useme mkristuWatu wa kondoa hawajui chama kingine zaidi ya CUF au CCM.
Mimi nimesoma shule ya Miningani kama unaenda kondoa girls, darasani tulikua wakristu wawili tu.
Shule nzima ilikuwa na wakristu wasiozidi 20.
hivi unamjua vizuri huyu mama?Sasa huyu mbunge wao mbona hata bungeni hasikiki akisema au kumbana magufuli atengeneze barabara ya dodoma-kondoa anapokea posho tu na kupiga uzingizi kweli wajinga ndio waliwao,hapo ndio unajiuliza kila mahali watu wamelogwa tu.