Mungu wangu! Huu ni uchawi wa aina gani? Inatisha sana

Nimeiona hii picha ikrend sana mtandaoni hususan watssap!

Na reactions za watu haswa zinaonyesha huu ni aina ya uchawi hatari sana na unaoogopwa

Maana ukitazama hata picha inaonekana kutisha

Wakuu huu ni uchawi wa aina gani?mbona nikisikia baadhi ya maelezo ya watu wanasema usiombe ufanyiwe hivi?

Nimebaki njia panda nikijiuliza ni aina gani ya uchawi maana wengi wamebaki wakisema "wanamuonea huruma huyo alofanyiwa atakua ana hali mbaya au hata ashafariki"

Binafsi hadi nimeingiwa na hofu sana

Ni aina gani ya uchawi huu ?View attachment 1510236
Mambo ya siasa hayo
 
HIYO PICHA PAMOJA NA HII HIZI ZIMETOKA KATIKA MITANDAO YA KIARABU NA WATU WAMEYAJAZA MANENO WALA HAINA MAHUSIANO HAPA KWETU KABISAAA ,

BINAFSI NISHAIKUTA KATIKA PAGE MOJA TIBA YA KIARABU

KWAHIYO HIYO WATU WAMEICHUKUA NA KUANDIKA MANENO SIJUI IMEKUTWA WAPI NA BRA BRAA NYINGI
IMG-20200716-WA0006.jpg
 
HIYO PICHA PAMOJA NA HII HIZI ZIMETOKA KATIKA MITANDAO YA KIARABU NA WATU WAMEYAJAZA MANENO WALA HAINA MAHUSIANO HAPA KWETU KABISAAA ,

BINAFSI NISHAIKUTA KATIKA PAGE MOJA TIBA YA KIARABU

KWAHIYO HIYO WATU WAMEICHUKUA NA KUANDIKA MANENO SIJUI IMEKUTWA WAPI NA BRA BRAA NYINGIView attachment 1511048
..Africans ni rahisi sana kushawishika bila ya kujiuliza mara mbilimbili.....
 
Kweli uchawi hauna mipaka

Huo uchawi unaongozea kwa kiroga watu nchi za amerika ya kusini, huo mdoli unaitwa vodoo doll (sechi google) uchawi unaitwa vodoo, hapo mchawi akichomeka pini kwenye mkono alierogwa atapata maumivi yasiyokwisha kwenye mkono
 
Back
Top Bottom