Mungu wangu! Huu ni uchawi wa aina gani? Inatisha sana

Nimeiona hii picha ikrend sana mtandaoni hususan watssap!

Na reactions za watu haswa zinaonyesha huu ni aina ya uchawi hatari sana na unaoogopwa

Maana ukitazama hata picha inaonekana kutisha

Wakuu huu ni uchawi wa aina gani?mbona nikisikia baadhi ya maelezo ya watu wanasema usiombe ufanyiwe hivi?

Nimebaki njia panda nikijiuliza ni aina gani ya uchawi maana wengi wamebaki wakisema "wanamuonea huruma huyo alofanyiwa atakua ana hali mbaya au hata ashafariki"

Binafsi hadi nimeingiwa na hofu sana

Ni aina gani ya uchawi huu ?View attachment 1510236
Jiwe anamloga membe asiwe raisi ccm ina vigagula hatari
 
Kufanikiwa kwa uchawi ni probability, mpaka uchawi ufanikiwe ni kazi kubwa imefanyika.

Wachawi wangekuwa na nguvu hakuna mtu mwenye mafanikio angekuwa hai.
Yes uko sahihi.
Hadi kumroga mtu kuna process ndefu hufanyika.
Mchawi anaweza kukuchukia akawa akawa anafanya majaribio ya kukuroga hata kwa miaka 20 asikupate kutegemea na kinga zako.
Yaani kunakuwa na action and reaction,opposite forces inategemea kinga zako.
Kuna kinga za asili yaani za kuzaliwa nazo na zingine za kufanyiwa uganga.
Na kingine tena mchawi akitaka kumroga mtu huwa hakurupuki lazima apime kwanza,akishakuona mweupe kabisa ndio huanza kufanya mashambulizi.
 
Kama uchawi,kwanini hao wachawi wasiwaloge mameneja wote wa benki?ili wawape pesa?
Uchawi ni utamaduni wa mtu maskini,fukara,uwezi kukuta imani za kishirikina Masaki,Upanga,oysterbay,wachawi utawakuta,Manzese,Yombo,Tandale,
Uswazi,mtu akiugua,ugonjwa usipoonekana,atasema amelogwa,Masaki,mtu anatafuta huduma za kibingwa,
 
Mpaka 25 October 2020 tufike na kumalizika tutaona kila rangi na vituko? Kuna mmoja huko Sumbawanga leo alikuwa anatafuta ofisi ya CCM anakotakiwa kurudisha fomu na hakuiona kabisa. Yaani ofisi aliyoizoea kama duka la Mangi leo hakuiona.
Kwa hiyo alishindwa kurudisha fomu au wasamaria walimsaidia?
 
hisia za mtu ndo mtu mwenyewe....unaweza kuona hisia za mtu bila ya muonyesha hisia kutambua kama anaonesha hisia zake E;mitazamo maoni au maono..... labda upo sahihi mkuu....
Hahah hivi hujui JF wote tuna degree😁 stupid utopian!
Nenda google na wewe usumbuke na hicho kingereza
 
Nina movie moja ni ya Hispania kuna uchawi kama huo wa mdoli sio poa...jamaa alipata mateso mengi mpaka akafa kifo kibaya.

Mdoli umefungwa miguu na mikono so haujiwezi kujisaidia something like coma,so sad...formula ni ishi maisha yako kimya kimya watu wasijue maisha yako
 
Kina mijitu inastahili kulogwa mm sijapata mganga wa kweli yani simwachi salama mbaya wangu potelea mbali !!!nampa kitu cha ukweli
 
From my experience.......Hapo kuna mtu kafungwa kimwili & kiakili.....kwenye soccer hasa ukanda huu wa pwani ukisikia mtu kapigwa misumali basi ndio hivyo (tazama kwenye miguu ya huo mdori), hapo mchezaji huandamwa na majeruhi ya mara kwa mara, mchezaji anakuwa kama biskuit akiguswa tu benchi linamuhusu hata mwaka mzima.





Let's meet at the top, cheers
4--1 hahaahaaa hajiiiiiiiiii njooo huku
 
uchawi wa KUUA unapigiliwa Misumali ya maana.
Huyo mdoli ndo mtu mwenyewe..
Mimi nina vitabu vingi vya kiganga ila sipendi kuvifuata uwa navisoma alafu naviacha.
"KUNA KITABU KIMOJA KINAITWA MSAADA KWA TABIBU ".

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kina patikana wapi!! Nikiwanacho naweza mloga mtu!!!? Msaada tafadhali kuna kitombi anatusumbua mtaani
 
Back
Top Bottom