Mungu wangu! Huu ni uchawi wa aina gani? Inatisha sana

Mpaka 25 October 2020 tufike na kumalizika tutaona kila rangi na vituko? Kuna mmoja huko Sumbawanga leo alikuwa anatafuta ofisi ya CCM anakotakiwa kurudisha fomu na hakuiona kabisa. Yaani ofisi aliyoizoea kama duka la Mangi leo hakuiona.
 
From my experience.......Hapo kuna mtu kafungwa kimwili & kiakili.....kwenye soccer hasa ukanda huu wa pwani ukisikia mtu kapigwa misumali basi ndio hivyo (tazama kwenye miguu ya huo mdori), hapo mchezaji huandamwa na majeruhi ya mara kwa mara, mchezaji anakuwa kama biskuit akiguswa tu benchi linamuhusu hata mwaka mzima.





Let's meet at the top, cheers 🥂
 
uchawi wa KUUA unapigiliwa Misumali ya maana.
Huyo mdoli ndo mtu mwenyewe..
Mimi nina vitabu vingi vya kiganga ila sipendi kuvifuata uwa navisoma alafu naviacha.
"KUNA KITABU KIMOJA KINAITWA MSAADA KWA TABIBU ".

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Nimeiona hii picha ikrend sana mtandaoni hususan watssap!

Na reactions za watu haswa zinaonyesha huu ni aina ya uchawi hatari sana na unaoogopwa

Maana ukitazama hata picha inaonekana kutisha

Wakuu huu ni uchawi wa aina gani?mbona nikisikia baadhi ya maelezo ya watu wanasema usiombe ufanyiwe hivi?

Nimebaki njia panda nikijiuliza ni aina gani ya uchawi maana wengi wamebaki wakisema "wanamuonea huruma huyo alofanyiwa atakua ana hali mbaya au hata ashafariki"

Binafsi hadi nimeingiwa na hofu sana

Ni aina gani ya uchawi huu ?View attachment 1510236
Ngoja aje mshana jr.
 
what's your main purpose and point of quoting me???

and why the hell would I waste my time for unnecessary shit things.....why you want me to buy my kid that doll???
alaf mbona umenishauri wapi nilikuomba ushauri???

If you can't answer my questions... I'm gonna start calling you dummyhead from now....
Basi Apo ukiandika kingleza unahisi unamtishaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom