hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Asante ndio nini [emoji13] nenda kwanza kaungame kisha sema Asante Yesu kwa Neema ya Msamaha ambayo hukuistahili bali ulistahili Hukumu..[emoji120]Muda mwingine hasira zinazidi. Nitajitahidi kufanya hivyo. Asante kwa shauri jema! UBARIKIWE
Mungu Mwenyezi Amemuheshimu huyu Mama itakuwa hawa viumbe dhaifu mbugila mbugila..[emoji13] [emoji12]jaji mfawidhi, Wakatoliki hawamwabudu Mama Bikira Maria ila wanamuheshimu(venerate her and not adore) so if you don't know the difference between adore(worship) and venerate then consult your Imam or any professor of Islamic affairs(sharia law) usiende kwa hao wenye fikra za Daesh/ISIS watakupotosha.
Haya majibu Lazima aombe po!Baba yangu na mama yangu ni wewe..[emoji13] [emoji13]
MUNGU wa makonda yuko Mbingunihatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Vyetihatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Jr Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah , mtume muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Kumbe hunijui, I do not believer in the existence of the so called God! Oh kumbe hunijui! Naweza nikafuta all what I have confessed! and maintain the status quo!Asante ndio nini [emoji13] nenda kwanza kaungame kisha sema Asante Yesu kwa Neema ya Msamaha ambayo hukuistahili bali ulistahili Hukumu..[emoji120]
nikujue wee nani [emoji348] [emoji348] heri nijue ugali mboga iwe ubwabwa nitashiba...kulikuwa na watu wenye kiburi cha uzima we we chamtoto..kama hujui umuhimu wa makalio kalia kichwa...[emoji13]Kumbe hunijui, I do not believer in the existence of the so called God! Oh kumbe hunijui! Naweza nikafuta all what I have confessed! and maintain the status quo!
Wewe ni mke wake?Bila kumuongelea Makonda ni kama hamuwezi kula. Kweli amewaweza wengi
Hapa kazi tu
Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
Nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah, Mtume Muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
Je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Mtahangaika sana.Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
Nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah, Mtume Muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
Je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?
Hahahaha amemuweza nani...leo uko kwa mashehe kesho kwa maaskofu keshokutwa i bet hatujui labda kwa waganga ...mara.nmetupiwa majini aahhahaha.kwani mental disorders hua zinaanzaje...kila mahal anapogusa panateleeza..eti katuweza ...hahahaBila kumuongelea Makonda ni kama hamuwezi kula. Kweli amewaweza wengi
Hapa kazi tu
Umenena vema Mtumishi Wetu.Sasa mpendwa unapotea usijibu ubaya kwa ubaya.
Jibu ubaya kwa wema umpate ndgyo usimpoteze!!
Hahahaha amemuweza nani...leo uko kwa mashehe kesho kwa maaskofu keshokutwa i bet hatujui labda kwa waganga ...mara.nmetupiwa majini aahhahaha.kwani mental disorders hua zinaanzaje...kila mahal anapogusa panateleeza..eti katuweza ...hahaha
Hapa vyeti feki tu
Yeye mwenyewe si alijiita mungu.....!!!!
Haka kamtu kameshaonyesha vyeti? Bashite hebu popote ulipo iwe msikitini bakwata au kanisani lete cheti wacha maneno onyesha vyeti bashite.